Jinsi ya kuchakachua lift- majengo marefu!!(elevator)

Amini mkuu hata kama wamebonya watu kumi...ukija wewe uka gonga hizo combination basii wewe ndie bosi the owner!!! lift itakuhudumia kwanza wewe then order itarudi ileile.....u r the bossssssss
'

sawa sijawahi kujaribu but mimi najuwa jinsi ya ku cancel floor! mfano by mistake ulibofywa floor ya 4 na unataka kwenda ya 7 .. utakacho fanya unahold ile namba for 10 sec... kijitaa kinajizima!... and yeh ni LIFTZA otis PEKE YAKE
 
Kweli mkuu inaonekana kuna combination nyingi ambazo hatuzijui za ku override!! ngoja tutafute User manual ya lift za otis

Back
Top Bottom