Jinsi ya kuchakachua lift- majengo marefu!!(elevator)

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
MH!!

ok Juzi nilikuwa na mkutano jengo moja hapa mjini ni refu lina kera floor nyingi....hivi nikawa nimechelewa sababu ya mafoleni ghafla nikakumbuka Trick moja hivi ya kufanya ili nikipanda lift iende bila kusimama simama kwenye floor nyingine hadi floor ninayotaka mimi....

here is how wajameni si uchawi!!!
(PLEASE FANYA HII UKIWA UNASHIDA KWELI MAANA NI KERO KWA WENZIO PIA)

1) Ingia kwenye lift
2) Tumia vidole vya mikono yote miwili
3) Bonya botton ya floor unayotaka kwenda na ile ya kufunga mlango kwa pamoja(kwa kama 5 sec hivi)
4) Enjoy your oneway to the floor unayotaka kwenda haitasimama floor yoyote ambayo watu wamebonyeza

Rahaaaaaaaa!! ehee!! tafadhari fanya hii kitu kama unaenda floor ya mbali na umechelewa maana watu wengine hawata pata huduma hadi wewe ufikishwe kwanza!!

NOTE:
This doesn't work on all elevators, but it works on all Otis models, and a few miscellaneous others. so jaribu ni rahisi

na LIFT za bongo nyingi ni za kizamani si unajua mambo ya used!!!

cheers!!!
 
INATEGEMEA NA HILO NENO UMELI TAFSIRI VIPI!! NADHANI WEWE NDIYO UNALITAFSILI KIUGUMU WA MAISHA..... ILA PIA LAWEZA MAANISHA KUWA NI trick,njia, ujanja,ujuzi...n.k

so nakushauri utafute mtaalamu wa lugha au utembelee jukwaa la lugha ukaulize maana yake na maana yake

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...71-nini-maana-ya-kuchakachua.html#post1402955

SOMA post ya 7 BY lAPTON2005. pole sana kwa ufinyu wa kuelewa mkuu!!

natanguliza pole kwanza

cheers!!
Mkuu, mbona akili yako imekaa kiuchakachuaji sana? au ndio ugumu wa maisha unakupelekea wewe kuwa hivyo?
 
Mkuu, mbona akili yako imekaa kiuchakachuaji sana? au ndio ugumu wa maisha unakupelekea wewe kuwa hivyo?
Hahaha Uncle unamiliki mjengo wenye ghorofa nyingì nini? Huyu anatufundisha sie tunaopenda kuchakachua huku hatukusoma kwahiyo anatusaidia
 
MH!!

ok Juzi nilikuwa na mkutano jengo moja hapa mjini ni refu lina kera floor nyingi....hivi nikawa nimechelewa sababu ya mafoleni ghafla nikakumbuka Trick moja hivi ya kufanya ili nikipanda lift iende bila kusimama simama kwenye floor nyingine hadi floor ninayotaka mimi....

here is how wajameni si uchawi!!!
(PLEASE FANYA HII UKIWA UNASHIDA KWELI MAANA NI KERO KWA WENZIO PIA)

1) Ingia kwenye lift
2) Tumia vidole vya mikono yote miwili
3) Bonya botton ya floor unayotaka kwenda na ile ya kufunga mlango kwa pamoja(kwa kama 5 sec hivi)
4) Enjoy your oneway to the floor unayotaka kwenda haitasimama floor yoyote ambayo watu wamebonyeza

Rahaaaaaaaa!! ehee!! tafadhari fanya hii kitu kama unaenda floor ya mbali na umechelewa maana watu wengine hawata pata huduma hadi wewe ufikishwe kwanza!!

NOTE:
This doesn't work on all elevators, but it works on all Otis models, and a few miscellaneous others. so jaribu ni rahisi

na LIFT za bongo nyingi ni za kizamani si unajua mambo ya used!!!

cheers!!!

Mkuu mambo mengine, likiwamo hili, siyo ya kuchakachua.
 
labda hiyo lift 1st floor umo peke yako!... but am sure kama mkiwa wnne kila mtu akibofya floor anayokwenda itasimama tu
 
Kuna mambo sio ya kufanyia mchezo ipo siku utakaa humu hata masaa kwa kufanya mambo ya ajabu,its very dangerous it worked for you that was ur lucky,chakachua vitu vyako sio public items,its very risky y try it?au likistuk likafanya v2 vya ajabu utamlaumu nani?na sidhani kama majengo ye2 kuna rum specific ya kumonitor utendaji wake,
 
Je hii ni kwa lift zozote au ni brand fulani tu ya lift. Ningejaribu tatizo sina jengo lenye lift karibu lakini simple concept inanimba hii inaweza kufanya kazi kwenye specific model na brand ya lift eg OTIS na sio kila aina ya lift.

But lets wait for the feedback.

Nice trick though
 
itakusaidia siku moja mkuu!! indio maana nikasema kama unashida ya ukweli ambayo haina option nyingine zaidi ya hiyo.

imagine umechelewa kwa interview...au una mgonjwa ndani ya lifti.....ni sawa na kugeuza gali lako binafsi liwe ambulace ukawasha taa fulll na harzad watu wanakupisha barabarani na hata trafiki atakupisha tu!!!
Mkuu mambo mengine, likiwamo hili, siyo ya kuchakachua.
 
Amini mkuu hata kama wamebonya watu kumi...ukija wewe uka gonga hizo combination basii wewe ndie bosi the owner!!! lift itakuhudumia kwanza wewe then order itarudi ileile.....u r the bossssssss
labda hiyo lift 1st floor umo peke yako!... but am sure kama mkiwa wnne kila mtu akibofya floor anayokwenda itasimama tu
 
Ni kweli mkuu!!! u r rite...ila ukipata dharula ni vizuri kujaribu.
Kuna mambo sio ya kufanyia mchezo ipo siku utakaa humu hata masaa kwa kufanya mambo ya ajabu,its very dangerous it worked for you that was ur lucky,chakachua vitu vyako sio public items,its very risky y try it?au likistuk likafanya v2 vya ajabu utamlaumu nani?na sidhani kama majengo ye2 kuna rum specific ya kumonitor utendaji wake,
 
Jaribu mkuu ujionee mwenyewe...nenda posta karibu majengo yote bado yanatumia OTIS model. we ukipanda lift soma pale juu penye maelezo utaona tu. ila kwa brand nyingine ni vizuri kujaribu harafu utupe matokeo ila otis nimefanya mwenyewe
Je hii ni kwa lift zozote au ni brand fulani tu ya lift. Ningejaribu tatizo sina jengo lenye lift karibu lakini simple concept inanimba hii inaweza kufanya kazi kwenye specific model na brand ya lift eg OTIS na sio kila aina ya lift.

But lets wait for the feedback.

Nice trick though
 
Knowledge is power!!

Sharobaro, uandishi wako ni wa aina yake na unafurahisha sana! Nimejikuta nafatilia mabandiko yako kutokana na hilo,lol.

Kuhusiana na topic; hata kama mtu hautakiwi kujaribisha kutokana na inconvenience yake kwa watumiaji wengine, kwangu mimi maudhui ya kinachoelezewa hapa ni uwepo wa override button(s). Kwani kwa designer wa system yoyote, particularly electronic, kuweka au kuwepo kwa bypass or override ni jambo muhimu na la utashi.

Hivyo basi, hata kama hizo combination anazozitaja mkulu Sharobaro hazifanyi kazi, basi kwa mtu mwenye interest au kupenda kujaribisha mambo anaweza kunakili tu model number ya lift na kwenda kujisomea zake kwenye internet ni nini bypass combination ya lift hiyo. Of course si zote zinatumia number combination, kwani nyingine ni mpaka electronic fob au funguo au ku-unscrew kidude kimojawapo.
 
STEVE DII...Thanx u made my Day mkuu thanks so much...nimejifunza kitu kipya toka kwako kumbe ni override......dah....pamoja MKUU
 
Mkuu thanks much imagine naishi floor ya 15 na sometimes nimechelewa mtihani halafu bado lift inafunguka njiana,ngoja nijaribu kwanza
 
Duh mkuu hapo noma sasa japo njia zipo ila hii sasa ni Criminal offence ita m cost mtu. haha dah unataka kuiba mkuu jela ipo kwa binadamu wote
shalobaro toa shule jinsi ya kuchakachua ATM
 
Yeah mkuu jaribu utupe feedback.....na model yake utupeQUOTE=Excellent;2133720]Mkuu thanks much imagine naishi floor ya 15 na sometimes nimechelewa mtihani halafu bado lift inafunguka njiana,ngoja nijaribu kwanza[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom