Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,152
- 128,807
Mshaja hebu tumia hizi powers kuisaidia serikali yetu kuwabaini hawa watu wasiojulikana!.
Paskali
Mshaja hebu tumia hizi powers kuisaidia serikali yetu kuwabaini hawa watu wasiojulikana!.
Mshaja hebu tumia hizi powers kuisaidia serikali yetu kuwabaini hawa watu wasiojulikana!.
Mshaja hebu tumia hizi powers kuisaidia serikali yetu kuwabaini hawa watu wasiojulikana!.
Paskali
PaskaliMshaja hebu tumia hizi powers kuisaidia serikali yetu kuwabaini hawa watu wasiojulikana!.
Paskali
ya gizani kukipambazuka yote huonekana dhahiri bila hata kutumia nguvu yoyote..Pole sana ndugu lakini kama bado hujapona, tafuta mmea wa bangi, mbichi ponda ponda majani yake na mbegu zake bila kuweka kitu chochote ukipata na mizizi itakuwa poa...baada ya hapo kamua maji yake tone kwa sikio linalosumbua...halafu leta mrejeshoHospital wameshindwa mkuu zaid wameniambia nivae hearing aid! But akatokea docta tena na kusema nitafte tiba mbada kwani sikio halionyeshi kama kuna tatizo hivyo hiyo aid hearing itanihatibia sikio!
Sent using Jamii Forums mobile app
Logic reasoningMkuu Mshana, asante kwa hii kitu. Haya ni mambo ya ying na yang, na chakra balancing. Ili isionekane huu ni ulozi, tueleze kidogo
Paskali
- Why kwenye bakuli na sio kwenye sufuria, mtungi, ndoo, chupa , kikombe, glasi etc, why bakuli?
- Why uweke chumvi kidogo wakati natural water always ina chumvi kidogo?.
- Why kuweka jiwe angavu, what has that jiwe have to do na maji?, why quartz na sio any other stones?
- Why kuweka kiambazani?, na sio sebuleni, jikoni, mezani?.
- What has mwezi got to do with maji?
- Why mwezi mpevu, sio mwezi mchanga, sio mwezi mwandamo, sio full moon?
- Why mwanga wa mwezi, na sio mwanga wa jua, nyota, mwanga wa taa, mwanga wa tochi?
- Why uweke usiku, why sio asubuhi, sio mchana sio jioni?
- Why uyatoe alifajiri, kwa nini usiyaache hadi mchana, hadi jioni hadi usiku?
Lushoto sehemu gani na mimi kule ndio nyumbani?Kwa kule Lushoto haya mawe ni mengi mno
Blaza ina mana Mao hajaozaga mpk leo ?? Hii nlikuwa siijui aseeLinafanana na kioo linapatikana chini ya miamba ambapo hapo mwanzo kulikuwa na mapito ya maji kisha yakatuama na 'kuganda'
Quartz ina nguvu kwenye ulimwengu wa roho... Mao Tse Tung rais mkomunist wa China alizikwa kwenye kaburi lililozungushiwa quartz! Yuko hivyo hivyo mpaka Leo... Kwa Wachina quartz ni alama ya nguvu na mamlaka View attachment 583193kuna mada yake ngoja nikutag
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi mpevu ni upi mshana ?
Mshaja hebu tumia hizi powers kuisaidia serikali yetu kuwabaini hawa watu wasiojulikana!.
Paskali
Halafu hilo jiwe niliambiwa linafaa hata kubeba tu ni kama mkaa vileHapana mimi sio mchawi na kweli sijui
Jr![]()
Mbona wamfuatilia ?Hana hata moja !
Hizo ndio kazi zake, ila anapovuka mpaka kuja kwenye fxHuyu ndn mshana jr
Anaejua mengi lakini anajua namna ya kuongea kwa uchache.
Anaezua hoja na kukuachia tafakuri.
Unasitahili kuwa JF
Linakuwa na function sawa na kubebelea mkaa kwenye mfuko wa pesa ?Na ni jepesi sana n s tiny