Jinsi ya kuchaji maji

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,791
Wapendwa wakati tukisubiria jukwaa letu lianzishwe (jukwaa la mambo ya kiroho ama jukwaa la mambo ya giza) tuendelee mdogo mdogo huku HM.

Kwanza lazima ifahamike wazi kwamba maji ndio yanachukua asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu na asilimia hiyo hiyo kwenye dunia katika ujumla wake.
Ni katika hayo maji kuna aina zake tofauti
1. maji baridi na maji chumvi
2. maji mfu na maji hai

Maji baridi ni yale ya kwenye mito mabwawa na baadhi ya maziwa wakati yale majimoto (majichumvi) ni yale ya baharini

Maji mfu ni yale maji ya viwandani yaliyochanganywa na kemikali mbalimbali, haya maji tunayoita special, maji ya chupa

Maji hai ni maji asili ambayo hayajapitia mkondo wa kuyasafisha kwa kutumia kemikali zozote. Maji baridi na maji chumvi pia ni maji hai

Kwenye mambo haya ya kiroho wengine huita ya gizani, maji yana matumizi yake pia. Hasa kwenye kutakasa, kunuia, kubariki, kubatiza nakadhalika. Na ili upate maji husika yenye nguvu ya kutenda katika hayo inabidi ufanye yafuatayo;
1. weka maji baridi kwenye bakuli
2. weka kiasi kidogo cha chumvi
3. weka kipande cha jiwe angavu/jiwe kioo(quartz stone) kwenye bakuli husika
4. weka bakuli lako kwenye kiambaza ambapo mwanga wa mwezi mpevu utafika moja kwa moja na kwa urahisi..
5. Alfajiri toa bakuli lako weka maji kwenye chupa safi tayari kwa matumizi husika...!!!

Maji haya hayahusiani na ulozi wala ushirikina yoyote anaweza kuyatumia kama kinga na tiba ya nguvu hasi na roho hasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quartz inapatikana wapi?
clear-quartz-8.jpg
313e32fY6UL.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufafanuzi kidogo juu ya jiwe angavu/jiwe kioo ili tuweze kuufanyia
Linafanana na kioo linapatikana chini ya miamba ambapo hapo mwanzo kulikuwa na mapito ya maji kisha yakatuama na 'kuganda'
Quartz ina nguvu kwenye ulimwengu wa roho... Mao Tse Tung rais mkomunist wa China alizikwa kwenye kaburi lililozungushiwa quartz! Yuko hivyo hivyo mpaka Leo... Kwa Wachina quartz ni alama ya nguvu na mamlaka
1459276128234.jpg
kuna mada yake ngoja nikutag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linafanana na kioo linapatikana chini ya miamba ambapo hapo mwanzo kulikuwa na mapito ya maji kisha yakatuama na 'kuganda'
Quartz ina nguvu kwenye ulimwengu wa roho... Mao Tse Tung rais mkomunist wa China alizikwa kwenye kaburi lililozungushiwa quartz! Yuko hivyo hivyo mpaka Leo... Kwa Wachina quartz ni alama ya nguvu na mamlaka View attachment 583193kuna mada yake ngoja nikutag

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unitag na mimi mkuu
 
Wapendwa wakati tukisubiria jukwaa letu lianzishwe (jukwaa la mambo ya kiroho ama jukwaa la mambo ya giza) tuendelee mdogo mdogo huku HM.

Kwanza lazima ifahamike wazi kwamba maji ndio yanachukua asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu na asilimia hiyo hiyo kwenye dunia katika ujumla wake.
Ni katika hayo maji kuna aina zake tofauti
1. maji baridi na maji chumvi
2. maji mfu na maji hai

Maji baridi ni yale ya kwenye mito mabwawa na baadhi ya maziwa wakati yale majimoto (majichumvi) ni yale ya baharini

Maji mfu ni yale maji ya viwandani yaliyochanganywa na kemikali mbalimbali, haya maji tunayoita special, maji ya chupa

Maji hai ni maji asili ambayo hayajapitia mkondo wa kuyasafisha kwa kutumia kemikali zozote. Maji baridi na maji chumvi pia ni maji hai

Kwenye mambo haya ya kiroho wengine huita ya gizani, maji yana matumizi yake pia. Hasa kwenye kutakasa, kunuia, kubariki, kubatiza nakadhalika. Na ili upate maji husika yenye nguvu ya kutenda katika hayo inabidi ufanye yafuatayo;
1. weka maji baridi kwenye bakuli
2. weka kiasi kidogo cha chumvi
3. weka kipande cha jiwe angavu/jiwe kioo(quartz stone) kwenye bakuli husika
4. weka bakuli lako kwenye kiambaza ambapo mwanga wa mwezi mpevu utafika moja kwa moja na kwa urahisi..
5. Alfajiri toa bakuli lako weka maji kwenye chupa safi tayari kwa matumizi husika...!!!

Maji haya hayahusiani na ulozi wala ushirikina yoyote anaweza kuyatumia kama kinga na tiba ya nguvu hasi na roho hasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniachiaga maswali mengi sana we mkuu! Kwahiyo hata kama tayari ninatatizo naweza kuyatumia? Nimepata tatizo la kuunguruma sikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom