Jinsi ya kuchaji maji

Jinsi ya kuchaji maji

Wapendwa wakati tukisubiria jukwaa letu lianzishwe (jukwaa la mambo ya kiroho ama jukwaa la mambo ya giza) tuendelee mdogo mdogo huku HM.

Kwanza lazima ifahamike wazi kwamba maji ndio yanachukua asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu na asilimia hiyo hiyo kwenye dunia katika ujumla wake.
Ni katika hayo maji kuna aina zake tofauti
1. maji baridi na maji chumvi
2. maji mfu na maji hai

Maji baridi ni yale ya kwenye mito mabwawa na baadhi ya maziwa wakati yale majimoto (majichumvi) ni yale ya baharini

Maji mfu ni yale maji ya viwandani yaliyochanganywa na kemikali mbalimbali, haya maji tunayoita special, maji ya chupa

Maji hai ni maji asili ambayo hayajapitia mkondo wa kuyasafisha kwa kutumia kemikali zozote. Maji baridi na maji chumvi pia ni maji hai

Kwenye mambo haya ya kiroho wengine huita ya gizani, maji yana matumizi yake pia. Hasa kwenye kutakasa, kunuia, kubariki, kubatiza nakadhalika. Na ili upate maji husika yenye nguvu ya kutenda katika hayo inabidi ufanye yafuatayo;
1. weka maji baridi kwenye bakuli
2. weka kiasi kidogo cha chumvi
3. weka kipande cha jiwe angavu/jiwe kioo(quartz stone) kwenye bakuli husika
4. weka bakuli lako kwenye kiambaza ambapo mwanga wa mwezi mpevu utafika moja kwa moja na kwa urahisi..
5. Alfajiri toa bakuli lako weka maji kwenye chupa safi tayari kwa matumizi husika...!!!

Maji haya hayahusiani na ulozi wala ushirikina yoyote anaweza kuyatumia kama kinga na tiba ya nguvu hasi na roho hasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mshana, asante kwa hii kitu. Haya ni mambo ya ying na yang, na chakra balancing. Ili isionekane huu ni ulozi, tueleze kidogo
  1. Why kwenye bakuli na sio kwenye sufuria, mtungi, ndoo, chupa , kikombe, glasi etc, why bakuli?
  2. Why uweke chumvi kidogo wakati natural water always ina chumvi kidogo?.
  3. Why kuweka jiwe angavu, what has that jiwe have to do na maji?, why quartz na sio any other stones?
  4. Why kuweka kiambazani?, na sio sebuleni, jikoni, mezani?.
  5. What has mwezi got to do with maji?
  6. Why mwezi mpevu, sio mwezi mchanga, sio mwezi mwandamo, sio full moon?
  7. Why mwanga wa mwezi, na sio mwanga wa jua, nyota, mwanga wa taa, mwanga wa tochi?
  8. Why uweke usiku, why sio asubuhi, sio mchana sio jioni?
  9. Why uyatoe alifajiri, kwa nini usiyaache hadi mchana, hadi jioni hadi usiku?
Paskali
 
Asante mkuu! Mungu akubariki sana! I wish nipone maana nimechoka hii hali hasa nikikumbuka kipindi nikiwa sijapata hili tatizo nafadhaika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua Yale majani yatoayo miba midogo midogo huku kwetu tunaita "choma nguo" ukipita porini hushika sana kwenye Nguo. Twanga yalainike halafu changanya na maji kijiko kimoja. Hayo maji yenye supu ya majani hayo chukua weka matone kadhaa sikio linalokusumbua. Utapona

Asante Mungu akubariki sana ningeomba kama utakuwa na picha yake nitumie ila kama huna usijali nitajiyahidi kuyaulizia.asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mshana, asante kwa hii kitu. Haya ni mambo ya ying na yang, na chakra balancing. Ili isionekane huu ni ulozi, tueleze kidogo Asante Pascal nitajibu kama ifuatavyo

  1. Why kwenye bakuli na sio kwenye sufuria, mtungi, ndoo, chupa , kikombe, glasi etc, why bakuli? HAPA NIMETUMIA BAKULI KAMA MFANO TU LAKINI CHOMBO KINGINE CHAWEZA KUTUMIKA KUFUATANA NA KIWANGO CHA MAJI
  2. Why uweke chumvi kidogo wakati natural water always ina chumvi kidogo?. CHUMVI KIDOGO NIMEMAANISHA FUMBA LA CHUMVI KWENYE KIPIMO CHA MAJI LITA MOJA (MAKADIRIO)
  3. Why kuweka jiwe angavu, what has that jiwe have to do na maji?, why quartz na sio any other stones? JIWE ANGAVU NDIO KIGEZO KUTOKANA NA NGUVU YAKE KIASILI
  4. Why kuweka kiambazani?, na sio sebuleni, jikoni, mezani?.NI MFANO TU LAKINI POPOTE PENYE DIRECT MOONLIGHT PATAFAA
  5. What has mwezi got to do with maji? KWENYE ELIMU YA NYOTA MWEZI UNA NGUVU YA UVUTANO CHANYA NA MAJI
  6. Why mwezi mpevu, sio mwezi mchanga, sio mwezi mwandamo, sio full moon? MWEZI MPEVU UNA MWANGA ZAIDI NAFIKIRI SI TOFAUTI NA FULL MOONLIGHT
  7. Why mwanga wa mwezi, na sio mwanga wa jua, nyota, mwanga wa taa, mwanga wa tochi? MWANGA WA MWEZI UNA SOUL POWER PENETRATION,WA JUA UNAKAUSHA, MINGINE NI MFU
  8. Why uweke usiku, why sio asubuhi, sio mchana sio jioni?USIKU KWA AJILI YA MWEZI
  9. Why uyatoe alifajiri, kwa nini usiyaache hadi mchana, hadi jioni hadi usiku? UKIYAACHA MCHANA KUTWA EVAPORATION ITACHUKUA NAFASI NA KUYAKAUSHA
Paskali

NAAMINI NIMEJIBU KWA KIFUPI LAKINI KWA MAKINI

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa wakati tukisubiria jukwaa letu lianzishwe (jukwaa la mambo ya kiroho ama jukwaa la mambo ya giza) tuendelee mdogo mdogo huku HM.

Kwanza lazima ifahamike wazi kwamba maji ndio yanachukua asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu na asilimia hiyo hiyo kwenye dunia katika ujumla wake.
Ni katika hayo maji kuna aina zake tofauti
1. maji baridi na maji chumvi
2. maji mfu na maji hai

Maji baridi ni yale ya kwenye mito mabwawa na baadhi ya maziwa wakati yale majimoto (majichumvi) ni yale ya baharini

Maji mfu ni yale maji ya viwandani yaliyochanganywa na kemikali mbalimbali, haya maji tunayoita special, maji ya chupa

Maji hai ni maji asili ambayo hayajapitia mkondo wa kuyasafisha kwa kutumia kemikali zozote. Maji baridi na maji chumvi pia ni maji hai

Kwenye mambo haya ya kiroho wengine huita ya gizani, maji yana matumizi yake pia. Hasa kwenye kutakasa, kunuia, kubariki, kubatiza nakadhalika. Na ili upate maji husika yenye nguvu ya kutenda katika hayo inabidi ufanye yafuatayo;
1. weka maji baridi kwenye bakuli
2. weka kiasi kidogo cha chumvi
3. weka kipande cha jiwe angavu/jiwe kioo(quartz stone) kwenye bakuli husika
4. weka bakuli lako kwenye kiambaza ambapo mwanga wa mwezi mpevu utafika moja kwa moja na kwa urahisi..
5. Alfajiri toa bakuli lako weka maji kwenye chupa safi tayari kwa matumizi husika...!!!

Maji haya hayahusiani na ulozi wala ushirikina yoyote anaweza kuyatumia kama kinga na tiba ya nguvu hasi na roho hasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa wakati tukisubiria jukwaa letu lianzishwe (jukwaa la mambo ya kiroho ama jukwaa la mambo ya giza) tuendelee mdogo mdogo huku HM.

Kwanza lazima ifahamike wazi kwamba maji ndio yanachukua asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu na asilimia hiyo hiyo kwenye dunia katika ujumla wake.
Ni katika hayo maji kuna aina zake tofauti
1. maji baridi na maji chumvi
2. maji mfu na maji hai

Maji baridi ni yale ya kwenye mito mabwawa na baadhi ya maziwa wakati yale majimoto (majichumvi) ni yale ya baharini

Maji mfu ni yale maji ya viwandani yaliyochanganywa na kemikali mbalimbali, haya maji tunayoita special, maji ya chupa

Maji hai ni maji asili ambayo hayajapitia mkondo wa kuyasafisha kwa kutumia kemikali zozote. Maji baridi na maji chumvi pia ni maji hai

Kwenye mambo haya ya kiroho wengine huita ya gizani, maji yana matumizi yake pia. Hasa kwenye kutakasa, kunuia, kubariki, kubatiza nakadhalika. Na ili upate maji husika yenye nguvu ya kutenda katika hayo inabidi ufanye yafuatayo;
1. weka maji baridi kwenye bakuli
2. weka kiasi kidogo cha chumvi
3. weka kipande cha jiwe angavu/jiwe kioo(quartz stone) kwenye bakuli husika
4. weka bakuli lako kwenye kiambaza ambapo mwanga wa mwezi mpevu utafika moja kwa moja na kwa urahisi..
5. Alfajiri toa bakuli lako weka maji kwenye chupa safi tayari kwa matumizi husika...!!!

Maji haya hayahusiani na ulozi wala ushirikina yoyote anaweza kuyatumia kama kinga na tiba ya nguvu hasi na roho hasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana jr nimeipenda hii na wala sio ushirikina wala ulozi.Ila hapa nazani kuna nguvu flani ya kiumungu.Mawe ya quarts sio kitu kigeni sana ni yale mawe meupe kabisa kama kiyoo mikoani yapo mengi tu labda kwa Dar nitajaribu hii kitu ahsante Mshana kwa mafundisho yako mengi
 
aina ya changarawe au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom