ekessy
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 258
- 151
Mkuu na kwa sikio linalotoa usaha kipindi cha baridi je?Chukua Yale majani yatoayo miba midogo midogo huku kwetu tunaita "choma nguo" ukipita porini hushika sana kwenye Nguo. Twanga yalainike halafu changanya na maji kijiko kimoja. Hayo maji yenye supu ya majani hayo chukua weka matone kadhaa sikio linalokusumbua. Utapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahah khaa! Umenichekesha sanaMchawi anaweza akayanywa yeye hayo maji akakuwekewa mikojo,hawa watu wana laana
Wapendwa wakati tukisubiria jukwaa letu lianzishwe (jukwaa la mambo ya kiroho ama jukwaa la mambo ya giza) tuendelee mdogo mdogo huku HM.
Kwanza lazima ifahamike wazi kwamba maji ndio yanachukua asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu na asilimia hiyo hiyo kwenye dunia katika ujumla wake.
Ni katika hayo maji kuna aina zake tofauti
1. maji baridi na maji chumvi
2. maji mfu na maji hai
Maji baridi ni yale ya kwenye mito mabwawa na baadhi ya maziwa wakati yale majimoto (majichumvi) ni yale ya baharini
Maji mfu ni yale maji ya viwandani yaliyochanganywa na kemikali mbalimbali, haya maji tunayoita special, maji ya chupa
Maji hai ni maji asili ambayo hayajapitia mkondo wa kuyasafisha kwa kutumia kemikali zozote. Maji baridi na maji chumvi pia ni maji hai
Kwenye mambo haya ya kiroho wengine huita ya gizani, maji yana matumizi yake pia. Hasa kwenye kutakasa, kunuia, kubariki, kubatiza nakadhalika. Na ili upate maji husika yenye nguvu ya kutenda katika hayo inabidi ufanye yafuatayo;
1. weka maji baridi kwenye bakuli
2. weka kiasi kidogo cha chumvi
3. weka kipande cha jiwe angavu/jiwe kioo(quartz stone) kwenye bakuli husika
4. weka bakuli lako kwenye kiambaza ambapo mwanga wa mwezi mpevu utafika moja kwa moja na kwa urahisi..
5. Alfajiri toa bakuli lako weka maji kwenye chupa safi tayari kwa matumizi husika...!!!
Maji haya hayahusiani na ulozi wala ushirikina yoyote anaweza kuyatumia kama kinga na tiba ya nguvu hasi na roho hasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nitag pleaseLinafanana na kioo linapatikana chini ya miamba ambapo hapo mwanzo kulikuwa na mapito ya maji kisha yakatuama na 'kuganda'
Quartz ina nguvu kwenye ulimwengu wa roho... Mao Tse Tung rais mkomunist wa China alizikwa kwenye kaburi lililozungushiwa quartz! Yuko hivyo hivyo mpaka Leo... Kwa Wachina quartz ni alama ya nguvu na mamlaka View attachment 583193kuna mada yake ngoja nikutag
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm Nna mawe Aina ya quartz tu
Ngoja nku pm kama uko wibu utanifahamu tuMe too naishi Kinondoni Manyanya.
Wibu street.....wapi nije?
Najua utakuwa na madini mengine adimu pia.
Msalimie rose kwenye pub hapo wibuMe too naishi Kinondoni Manyanya.
Wibu street.....wapi nije?
Najua utakuwa na madini mengine adimu pia.
Naomba na mimi unitag!Linafanana na kioo linapatikana chini ya miamba ambapo hapo mwanzo kulikuwa na mapito ya maji kisha yakatuama na 'kuganda'
Quartz ina nguvu kwenye ulimwengu wa roho... Mao Tse Tung rais mkomunist wa China alizikwa kwenye kaburi lililozungushiwa quartz! Yuko hivyo hivyo mpaka Leo... Kwa Wachina quartz ni alama ya nguvu na mamlaka View attachment 583193kuna mada yake ngoja nikutag
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioMmh mbona kama Wibu iko A? Nyuma ya kituo cha daladala?
Jr![]()
Usijali.
HahhhaMsalimie rose kwenye pub hapo wibu
Ova