Jinsi ya kuboresha afya ya mbegu za kiume (sperms)

Mimi sina mke sinyora..namsubiria BWANA anipe mke mwema

Lakini kiukweli kufumwa ukiwa unapiga nyeto ni fedheha kubwa sana,siyo na mkeo Tu Bali hata na mtu yeyote hata awe mshikaji wako.Punyeto inapigwa Kwa Siri sn,km upo home lazima mlango na madirisha uhakikishe haviko wazi

Nikupe kisa kimoja;mwaka Fulani nyuma Sana kuna wasafiri Walikuwa wanatoka Dar es salaam kwenda Lindi na basi la abiria,Kama ilivyo Ada gari lilipofika kilwa sehemu wanaita nangurukuru abiria wakashuka kwenda kula,abiria mmoja akaingia chooni,enzi hizo hotel za Kula hazikuwa za kisasa Kama za miaka hii so Choo pia kilikuwa cha kienyeji Tu kina ukuta wa makuti ya mnazi.jamaa alipoingia akachomoa dudu akaanza kusuuza lungu Kwa mkono huku amefumba macho kuvuta hisia za Kula tunda..

Basi nyeto ikazidi utamu miguu ikaanza kulegea na mgongo kupinda wazungu wanakaribia kutoka(hapa wataalamu wa chaputa wananielewa,mtu ukipiga nyeto wakati umesimama wima,wazungu wakikaribia kutoka huwezi kusimama tena sawasawa,lazima upinde mgongo utake usitake)..basi jamaa Kwa utamu si akaegemea ukuta!! Bwana bwana!!Miti iliyoshikilia Ukuta wa Choo si ilikuwa imeoza,jamaa kuegemea Tu akashuka nao Ukuta wote chini chaliii..basi abiria waliokuwa maeneo Yale wakabaki wamepigwa na butwaa kumwona mtu ameanguka na Choo chake alafu mkono wake umeshikilia dudu huku linacheua wazungu

dada achana na nyeto,ukiwa unapiga wanawake wote unawaona hawana maana yoyote

Ila sasa punyeto inaleta mfadhaiko sn..ukishamaliza kupiga unajisikia vibaya sn na hutamani kurudia,Ila zikipita siku kadhaa unajikuta unahamu ya kurudia tena na tena na huo ndy unakuwa mfumo wa maisha yako Hadi pale neema ya MUNGU itakapokushukia ukaacha
huyo jamaa alirudi kwenye hilo basi kweli?
 
Navuta picha kishindo cha ukuta na body la jamaa anapodondoka chali, halafu kaushikilia mkuyenge wazungu wanaruka, huku stand nzima ikishuhudia wallah sirudi hata kama nina mzigo nitaufuatilia

Nmechekaaa una jikaze Mkuu unasafiri umelala safar nzima kuziba soo wakushangae wakuseme wew umechapa usingz
 
Navuta picha kishindo cha ukuta na body la jamaa anapodondoka chali, halafu kaushikilia mkuyenge wazungu wanaruka, huku stand nzima ikishuhudia wallah sirudi hata kama nina mzigo nitaufuatilia
Itakuwa alisema anaumwa au amelogwa..huwezi kuingia ndani ya basi hivi hivi bila Kusema chochote Kwa nn umeangusha Choo cha watu
 
Hata Mimi ndivyo nilivyosikia Ila sikuwa na uthibitisho ndy maana nimekausha baada ya jibu la mleta mada..maana jamaa kapinga comment yangu ya Kwanza nikajaribu kujitetea tena pia kasimamia pale pale kwamba mate hayaathiri chochote

Nikakaa kimya coz no research no right to speak
Vp kuhusu kygel inamadhara kwa utumiaji,hapa naongelea k kavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom