Jinsi ya kuboresha afya ya mbegu za kiume (sperms)

Mimi niliambiwa na daktari bingwa kabisa wa masuala ya uzazi kwamba mate yanaharibu sperms, si vizuri kuyatumia wakati wa kuitafuta mimba
Hata Mimi ndivyo nilivyosikia Ila sikuwa na uthibitisho ndy maana nimekausha baada ya jibu la mleta mada..maana jamaa kapinga comment yangu ya Kwanza nikajaribu kujitetea tena pia kasimamia pale pale kwamba mate hayaathiri chochote

Nikakaa kimya coz no research no right to speak
 
Hata Mimi ndivyo nilivyosikia Ila sikuwa na uthibitisho ndy maana nimekausha na jibu la mleta mada..maana jamaa kapinga comment yangu ya Kwanza nikajaribu kujitetea tena pia kasimamia pale pale kwamba mate hayaathiri chochote

Nikakaa kimya coz no research no right to speak
Sijui utaalam wa mleta mada ni wa kiwango gani. Lakini daktari bingwa mwenye uzoefu wa kutosha, anayeattend hospital kubwa zaidi ya tatu hawezi kuchemsha katika jambo dogo kama hilo.
 
anaweza yeye kuwa yupo sahihi tusibishe ..Ila Alichopaswa kufanya ktk kunijibu swali langu ni kutoa maelezo na si Kusema neno moja Tu 'hapana'

Aongeze nyama kidogo katka kutetea jibu lake la 'hapana'
 
Nitatafuta muda nitolee ufafanuzi kwa ujumla jambo hili mkuu. Lakini una haki zote kuamini unachoamini.
 
kwa hiyo punyeto inaweza kusababisha mwanamke asishike mimba? maskin kina mama unaweza kuta unahangaika kutafta mtoto unatumia kila dawa kila hosp unaenda kumbe bwana MWENYEKITI WA CHAPUTA:confused:
Ahahaha 'bwana Mwenyekiti wa chaputa'
Bibie ukweli ni kwamba karibia 95% wameshawahi na wengine wanaendeleakupiga nyeto hata kwenye ndoa.sasa swali ni je watoto wanaozaliwa ni wa hawa aslimia 5 iliyobaki?..jibu siyo kweli
 
Naomba kuuliza
Hivi mwanaume mgumba hanwagi mbegu wakati wa majambozi
Kama ndio anamwaga nin?
Kama sivyo zinakua zimekosa nin?
 
Yaweza kuwa moja ya sababu. Chamsingi ni huyo bibie na bwana wake waende kucheki afya zao kwa pamoja hospitali ili kujua tatizo kwa undani zaidi.
 
Lazima kwanza ijulikane nini chanzo cha tatizo hilo la ugumba. Ugumba una sababu nyingi mkuu sio uliyouliza pekee.
 
Yaweza kuwa moja ya sababu. Chamsingi ni huyo bibie na bwana wake waende kucheki afya zao kwa pamoja hospitali ili kujua tatizo kwa undani zaidi.
Yaweza kuwa moja ya sababu. Chamsingi ni huyo bibie na bwana wake waende kucheki afya zao kwa pamoja hospitali ili kujua tatizo kwa undani zaidi.
Mwanaume kukubali kupima ni ngumu sana mpk akubali bibie kashaipta fresh yan kazunguka na kuhangaika sana kwa ajili ya matibabu yake.
 
je kuna dawa zinazosaidia mbegu zisio na ngvu au ambazo hazijakomaa ziweze kuwa na nguvu na zikomae ili ziweze kutungisha na kisaha kumpatia mwanmke mimba
 
Ahahaha 'bwana Mwenyekiti wa chaputa'
Bibie ukweli ni kwamba karibia 95% wameshawahi na wengine wanaendeleakupiga nyeto hata kwenye ndoa.sasa swali ni je watoto wanaozaliwa ni wa hawa aslimia 5 iliyobaki?..jibu siyo kweli
satoh mfano mkeo ana kufuma live unapiga punyeto unajisikiaje na yeye yupo jamn mim najua hayo mambo yana umri flani na labda kwa wapenzi walio mbali mbali ata kwa wanandoa wanaoishi pamoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom