Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Wakuu, bado kuna guests wanaaccess hii thread
Msafara wa Mamba na kenge hawakosekani, na ukiukaguwa vizuri utawaona mpaka mijusi na magong'ole.
mbona mi inakataa? maana inasearch halafu inasema received chanels 0?? nipeni maujanja
Mimi nimepata na kibox nimekitoa kwa kubonyeza subtittles. Ahsante mkuu.
hii jana imesababisha nimeweka password kwenye king'amuzi changu maana nilikuwa nabonyeza subtitle inakataa nikabonyeza setting ikaja password nikabonyeza tena ili kuondoa hicho kibox kumbe ndo naweka password.mbaya hata sijui ni pasword gani so now siwezi fanya any changes hadi niweke password ambayo ndo hivyo tena siijui.
Huna akili wewe, mimi nimeshaingiza hizo code na naangali machanel kibao ninapokwambia muda huu. kama akili yako inawaza ngono huwezi kujuwa kama kuna wanaume wanakesha na kuumiza vichwa kurahisisha maisha, kaa nyumbani kuna nazi mambo mengine waachie watu wenye akili timamu.
Chanel nyingi za Star times ni za bure si za kulipia ila kwa sababu Tanzania wamejaa vilaza kama wewe ndio maana wanaziscramble mlipie, na Serikali kwa kujuwa inatawala vilaza na Mambululas subiri mwezi huu uanze kulipia kodi ya simcard yako.
duuuu hatimaye nimezipata chaneli kumi
Kaka mbona mi hizo namba zinakataa kubadilika? Au ndo jamaa wamestukia wakazilock?Ingia menu, then system setting, then channel search, right click kwenye manual search then andika 531 au 570
Kaka mbona mi hizo namba zinakataa kubadilika? Au ndo jamaa wamestukia wakazilock?
hii jana imesababisha nimeweka password kwenye king'amuzi changu maana nilikuwa nabonyeza subtitle inakataa nikabonyeza setting ikaja password nikabonyeza tena ili kuondoa hicho kibox kumbe ndo naweka password.mbaya hata sijui ni pasword gani so now siwezi fanya any changes hadi niweke password ambayo ndo hivyo tena siijui.
mi niko arusha anayefaham code za arusha anijuze
kwanza nikutaarifu kuwa huyo dada anaheshimika sana humu jamvini so stop ujinga wako wa kutukana watu usiowajua.ujinga wako peleka huko kwenu.pili sio peke yako uliyejaribu hiyo kitu inayoongelewa nakushangaa hizo channel kibao unazozisema ziko wapi coz ukiangalia zimeongezeka kama 12 tu na hizo kuna kibox za non-conax program kinagoma kuondoka.