Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,514
jaribu 531 halafu subiri manuala search kwa dk 5 halafu toa feedback ,mimi emekubali chanel 17 new
ngoja nikajaribu home!
jaribu 531 halafu subiri manuala search kwa dk 5 halafu toa feedback ,mimi emekubali chanel 17 new
Dah,wakuu hii noma,yan ctak kuamin leo nimeipata had zee cinema. Sa najiuliza wakish2kia jamaa itakuaje. C watatukata utam nasi 2shazoea bure.
Wakuu heshima kwenu!!
Napata tatizo la "non conax program" msaada hapo tafadhali
Ingia menu, then system setting, then channel search, right click kwenye manual search then andika 531 au 570 then ok
nimeingia menu, nikaclick system setting lakini naambhwa niingize code nne zinaonyesha (????)
Tunafanyeje hapo wakuu.?
Ingiza code "0000"
daah.. Mbona kwangu inazingua wakuu.
Yaani sijui ni kwa nini post ya hili Jinga ndio nimeiona leo!! una bahati sana next time nakutandika makonzi tu.kwanza nikutaarifu kuwa huyo dada anaheshimika sana humu jamvini so stop ujinga wako wa kutukana watu usiowajua.ujinga wako peleka huko kwenu.pili sio peke yako uliyejaribu hiyo kitu inayoongelewa nakushangaa hizo channel kibao unazozisema ziko wapi coz ukiangalia zimeongezeka kama 12 tu na hizo kuna kibox za non-conax program kinagoma kuondoka.
Ahsante mkuu, ila nimepata channel 13 tu,
1. Atn
2. Tbc
3. Setanta Africa
4. Aljazeera
5. Tbn
6. Channel 10
7. Cnn
8. Muvi tv Africa
9. Itv
10. Mbc
11. Star tv
12. Emmanuel tv
13. Colors.
Nitazipataje channel zingine mfano eastv,dtv,fox, etc.?
Here at mwanza.
4.
ingia kwenye serching kisha ingiza code number 531 chanel zitaonekana usicheze na wabongo ukianza tu tunamaliza
appoh eeh,na mimi wa morogoro je niweke code zipi ikubali coz hzo ulizonipa nimetest zimegoma,halafu hyo 531 nikiweka automatically inajiweka 530,sijui why mkuuingia kwenye serching kisha
ingiza code number 531 chanel zitaonekana usicheze na wabongo ukianza
tu tunamaliza
Nmejaribu nimeweza ila kuna kiujumbe hakitoki kinasema . Non- Conax Program