Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Huna akili wewe, mimi nimeshaingiza hizo code na naangali machanel kibao ninapokwambia muda huu. kama akili yako inawaza ngono huwezi kujuwa kama kuna wanaume wanakesha na kuumiza vichwa kurahisisha maisha, kaa nyumbani kuna nazi mambo mengine waachie watu wenye akili timamu.

Chanel nyingi za Star times ni za bure si za kulipia ila kwa sababu Tanzania wamejaa vilaza kama wewe ndio maana wanaziscramble mlipie, na Serikali kwa kujuwa inatawala vilaza na Mambululas subiri mwezi huu uanze kulipia kodi ya simcard yako.

kwanza nikutaarifu kuwa huyo dada anaheshimika sana humu jamvini so stop ujinga wako wa kutukana watu usiowajua.ujinga wako peleka huko kwenu.pili sio peke yako uliyejaribu hiyo kitu inayoongelewa nakushangaa hizo channel kibao unazozisema ziko wapi coz ukiangalia zimeongezeka kama 12 tu na hizo kuna kibox za non-conax program kinagoma kuondoka.
 
zimeongezeka mkuu,asante nimepata hadi emmanuel tv,yaani hawa startimes hadi channel za bure wanataka tulipie.
Ngoja nisubiri azamtv niangalie channel 100 kwa malipo tshs. 2000 tu

mkuu kuna hicho kibox cha non conax program unakiondoaje?maana kuna mdau alisema bonyeza subtitle lakini ukibonyeza kinaondoka kinarudi just inakuambia no subtitles found.
 
Mi naona humu sasa hiv kitanuka kichapo, ngoja niskizie pembeni wababe wakipandishiana misuli,zen niwambie staa taimu kuna ngumi bila nyie kushirikishwa duh !bongo hakuna kabisa.
 
Unachosema ni kweli but now a days hiyo code '531' wameibana somehow, miaka miwili iliyopita nilikuwa naitumia vizuri na haikusumbua now inanisumbua sana na mda mwingine kwangu haikubali, sijui tatzo nini or may be wanilishtukia coz niliitumia about 1 year.
Hazipo effective kama mwanzo na walionipa nia wao wenyewe.
 
kwanza nikutaarifu kuwa huyo dada anaheshimika sana humu jamvini so stop ujinga wako wa kutukana watu usiowajua.ujinga wako peleka huko kwenu.pili sio peke yako uliyejaribu hiyo kitu inayoongelewa nakushangaa hizo channel kibao unazozisema ziko wapi coz ukiangalia zimeongezeka kama 12 tu na hizo kuna kibox za non-conax program kinagoma kuondoka.

kila mtu ana heshima yake stahiki kwenye hili jukwaa,acha kujishusha,this is globalized world not feudal society.
 
kwanza nikutaarifu kuwa huyo dada anaheshimika sana humu jamvini so stop ujinga wako wa kutukana watu usiowajua.ujinga wako peleka huko kwenu.pili sio peke yako uliyejaribu hiyo kitu inayoongelewa nakushangaa hizo channel kibao unazozisema ziko wapi coz ukiangalia zimeongezeka kama 12 tu na hizo kuna kibox za non-conax program kinagoma kuondoka.

Dada yako mzushi ataitaje watu waongo while wapo walojaribu na wanafanikiwa.. au alijua hapa ni chitchat.. ki box ukibonyeza subtitles hapo kwenye rimoti yako kitaondoka..

Channel 12 ni nyingi
 
Hiyo code 531 ni ya kisimbusi cha Ting. Kina chaneli karibu 30. Lakini kwa sasa naona startime wameshitukia ishu kwa hiyo naona wameifunga hiyo code haifanyi kazi.
 
Dada yako mzushi ataitaje watu waongo while wapo walojaribu na wanafanikiwa.. au alijua hapa ni chitchat.. ki box ukibonyeza subtitles hapo kwenye rimoti yako kitaondoka..

Channel 12 ni nyingi

nimebonyeza kinaondoka kinarudi yaani nikibonyeza kinanambia no subtitle available then kile kibox kinarudi.
 
chicco. ukiona kinarudi kuna tatizo ya network iweke vizuri antena.
 
Last edited by a moderator:
kwanza nikutaarifu kuwa huyo dada anaheshimika sana humu jamvini so stop ujinga wako wa kutukana watu usiowajua.ujinga wako peleka huko kwenu.pili sio peke yako uliyejaribu hiyo kitu inayoongelewa nakushangaa hizo channel kibao unazozisema ziko wapi coz ukiangalia zimeongezeka kama 12 tu na hizo kuna kibox za non-conax program kinagoma kuondoka.

unamheshimu wewe,mi namuheshimu huyu jamaa aliyenipa maujanja
 
chicco. ukiona kinarudi kuna tatizo ya network iweke vizuri antena.

asante mkuu nikirudi nyumbani jioni nitajaribu kufanya kama ulivyosema maana hata hizo zilizokuja zilikuwa zinakatikakatika sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom