ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
mambo mengine yanataka akili hapa ushawazoa wengi wanaopenda vitu vya dezodezo bila kujituma wewe unafikiri wachina wajinga wakupe code hovyohovyo nenda wadanganye wengine sisis tumeshakujua
ingia kwenye serching kisha ingiza code number 531 chanel zitaonekana usicheze na wabongo ukianza tu tunamaliza