Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

ingia kwenye serching kisha ingiza code number 531 chanel zitaonekana usicheze na wabongo ukianza tu tunamaliza

tangu jumamosi zimetoka hazionekani msaada nimejaribu tena received 0 nimeweka 531,515,570 zote hamna kitu
 
Wadau hii imetulia! Naomba msaada baadhi ya chanel sipati sauti msaada pls
 
kwenye remote yako juu kulia kuna kitufe kimeandikwa TRACK, bofya hicho itakuja AUDIO SETTING,chagua AUDIO TRACK then bofya button ya remote yenye V+ hapo upande wa kulia kwenye screen yako utaona maneno haya: STEREO, LEFT na RICHT.chagua moja kati ya haya na ubofye OK, endelea kuchagua kama hukupata sauti kati ya moja wapo ya hayo moja itatoa sauti. Endelea kupata muvi na cnn kwa sh.0!
 
tangu jumamosi zimetoka hazionekani msaada nimejaribu tena received 0 nimeweka 531,515,570 zote hamna kitu

kwanini ubadilishe badilishe?. ikikata tulia kwa dakika ishirini itajirestart tena. kuwa na subra mkuu. mia
 
Ingia menu, then system setting, then channel search, right click kwenye manual search then andika 531 au 570

Ukishafanya hivyo ndo unaanza kula bwelele?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwenye remote yako juu kulia kuna kitufe kimeandikwa TRACK, bofya hicho itakuja AUDIO SETTING,chagua AUDIO TRACK then bofya button ya remote yenye V+ hapo upande wa kulia kwenye screen yako utaona maneno haya: STEREO, LEFT na RICHT.chagua moja kati ya haya na ubofye OK, endelea kuchagua kama hukupata sauti kati ya moja wapo ya hayo moja itatoa sauti. Endelea kupata muvi na cnn kwa sh.0!

Mkuu huko kote nimejaribu kuna chanel moja ya FOX
 
Back
Top Bottom