BILA KULIPIA vs KULIPIA: Artificial Intelligence(AI) TOOLS ZA BURE NIMETUMIA MWAKA 2025

BILA KULIPIA vs KULIPIA: Artificial Intelligence(AI) TOOLS ZA BURE NIMETUMIA MWAKA 2025

gabylovestech

Member
Joined
Jul 13, 2025
Posts
20
Reaction score
50
Wakuu mwaka 2025, zana za akili mnemba (AI) imechukua kasi kubwa kwenye kazi zetu za kila siku kuanzia kuandika, kutengeneza picha, hadi sauti na mawasilisho.

swali kubwa linabaki: Je, ni bora kutumia tools za bure au za kulipia?

Leo nakuletea tools bora Paid vs Free AI tools kwa matumizi ya

Kwa Research na Kujifunza

• Paid: ChatGPT.com – binafsi naitumia sana nzuri kwa kuandika makala, contents,coding na mengineyo.

• Free: DeepSeek.com – Bure kabisa na inatoa majibu ya kina kwa tafiti mbalimbali.

Kwa Kutengeneza Sauti (Voice Generator)

• Paid: Synthesia.io – inatengeneza video zenye sauti ya AI inayofanana na mtu halisi.

• Free: RecCloud.com/text-to-speech-online – inadilisha maandishi kuwa sauti bila kulipia.

Kwa Kuondoa Watermark kwenye Picha

• Paid: Fotor.com – ni premium kuondoa watermark.

• Free: Cleanup.pictures – Bure na inafanya kazi haraka.

Kwa Kutengeneza Picha za AI

• Paid: Midjourney.com – picha zake ni noma na zenye ubora wa juu.

• Free: Ideogram.ai – Bure, rahisi kutumia, na results nzuri.

Kwa Kutengeneza Presentations

• Paid: Beautiful.ai – Slideshow zenye mvuto na kali.

• Free: SlidesAI.io – Bure, weka text yako, AI itakutengenezea slides.

Kwa Uandishi

• Paid: Quillbot.com – Paraphrasing ya hali ya juu, grammar checking na style tofauti.

• Free: Scribbr.com – Uandishi wa kitaaluma bure, hasa kwa wanafunzi na watafiti.

Kwa Design

• Paid: Canva.com – Huduma kamili ya ubunifu, templates, brand kit na zaidi.

• Free: Designer.microsoft.com – Kutoka Microsoft, inasaidia kubuni bila gharama.

Kama unahitaji PROMPTS kali ili zikuletee matokeo mazuri basi tuma neno PROMPT kwenda whatsapp: 0694579000
Nitakutumia Bure kabisa.
 
Pamoja sana mkuu
 
Unaepuka vipi ile meseji -"you have reached max limit of a message/text". Unashangaa upo nusu ya project ndogo kanatokeza kameseji kanataka usubiri baada ya masaa kadhaa.
Hadi deepseek nao ni wahuni.
KIMI AI ndio pekee nimeona anakupeleka unapotaka.Anaweza ku develop 2000 lines of code bila vimeseji vya limit ila speed yske ndogo.
Claude AI ndio wajinga kabisa bora wadingesema ni ni subscription AI. Tutafute hela na project za maana ili ku subscribe. Mtazamo wangu kupata ubora wa juu bora kulipia tu. Wazungu na wachina wajanja sana.
Sio mda mrefu tutakuwa ATM zao kwenye AI services.
 
Mzee vp voiceover gani ya kiswahili ya ai umeitumia??? Mi zote nilizoona hazijo vizuri
 
Kakaaa NATAKA KUTENGENEZA msanii wangu asie binadam nmsimamie kurecord nyimbo na video kwa AI unazani ni app ipi itafanikisha hili kwa uharaka nmejaribu chatgp ILA inaniambia nisubiri BAADA ya masaa kadhaa kama mdau alivo SEMA HAPO JUU JE ntumie njia GANI mbadal kwa free na paid

Kwishaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Nzuri sana ila AI ni game changer juzi nimemfundisha dogo kemia na sijawahi isoma though ilikuwa kwa kumjibu maswali yake
Kama huna ujuzi wa hilo somo ni ngumu kujua kama AI imekupa matokeo sahihi.Otherwise prompts zitengenezwe na mtaalamu wa hilo somo.
Nilijaribu kwenye quantum computer ilivyotoka Chatgpt , niliitaka to derive Schrodinger equation, haikuleta matokeo mazuri.Ina maana kwa mtu ambae haijui hio equation angeamini.
Hata hivyo ilikuwa version ya 1 ya chatgpt sijajarib kwenye version za sasa hivi maana kuna maboresho makubwa mfano kuna thinking, deep research, google survey ambapo AI inatenbea kwenye articles zote za muhimu na ku summarize results na ku deliver.
Ni vizuri sana kutumia AI kwa prompts mahususi hasa kutoka kwa mjuzi wa hilo somo au kuziamrisha AI zikutengenezee prompts ili uzipest kwenye AI hio hio au nyingine.
Kwa ujumla AI ni msaada mkubwa.
 
Kakaaa NATAKA KUTENGENEZA msanii wangu asie binadam nmsimamie kurecord nyimbo na video kwa AI unazani ni app ipi itafanikisha hili kwa uharaka nmejaribu chatgp ILA inaniambia nisubiri BAADA ya masaa kadhaa kama mdau alivo SEMA HAPO JUU JE ntumie njia GANI mbadal kwa free na paid

Kwishaaa

Bro Alex on da beats yoow
Jaribu hizo prompts Kwenye KIM AI af utupe matokeo. Kwa tathmini yangu KIMI hana uchoyo kulinganisha na deepseek au claude au chatgpt.
Chatgpt nadhani inafaa projects ndogo sana, kubwa mpaka ulipie tena sijui maana sijawahi tumia ya kulipia huenda nayo ikawa miyeyusho.
Vilevile Chatgpt inakupa shairi na vidokeza kadhaa na kukuelekeza ufanye nini. Sasa chukua mashairi peleka kwenye app ilizoshauri ili umalizie kazi vinginevyo hutapata ukamilifu.
Hizi AI mda meingine unatakiwa utumie nyingi pamoja na machanganyiko wa app za kawaida.
Kuna kamaa nimeona ametumia SONO AI kutengeneza nyimbo mwanzo mwisho. Sasa ijaribu hio mie bado sijaijaribu.
 
Back
Top Bottom