Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Hahahahahaaa,,,,teknolijia ina faida na hasara zake,,,,
umerudia nlicho wai kukiandika katika jukwa laa Technologia nadhani miezi minne imepita kama sio mitano
Hamjui kama star times wamo humu tena verified.
ingia kwenye serching kisha ingiza code number 531 chanel zitaonekana usicheze na wabongo ukianza tu tunamaliza
Sawa kabisa bwana Polisi Jamiimwizi mkubwa wewe. badala ya kuwafundisha raia kulipia huduma zao wewe unawafundisha kuiba, tena unaliibia shirika la umma [TBC]. Hapa tafsiri yake ni kuwa unatunyima kodi ambayo ingetusaidia kimaendeleo.
Acha hizo bana... tii sheria bila shuruti....
Kitu na box kiongozi, just now nimebofya mambo yamejipa, hao wanaopiga porojo hapo juu waambie kama wana uchungu wawahi Maternity wakazae.ALiye-confirm aanithibitishie plse.
Ujinga huu...Ok,unafutaje frequenzy iliyopo mkuu ?
Mbona mi nimejarbu imekataa zinaonekana tu zile za free
Msafara wa Mamba na kenge hawakosekani, na ukiukaguwa vizuri utawaona mpaka mijusi na magong'ole.Mbona ni zilezile za free