Jinsi ya ku-upload nyimbo

Jinsi ya ku-upload nyimbo

Foxhound

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
28,740
Reaction score
76,383
Salaam wanajukwaa!

Natumai mko shwari wakubwa na wadogo. Mimi namshukuru Mungu muumba niko poa na naendelea vizuri na majukumu yangu ya kila siku.

Leo nina ombi moja kwenu, nalo ni namna ya ku-upload nyimbo humu maana mimi kila nikijaribu nashindwa. Sijui kama tatizo ni device ninayotumia au kipi kinashindikana. Msaada wenu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia device gani mkuu,kama unatumia computer ni rahisi sana,una`press icon iliyoandikwa attach files then inaku`direct kwenye folders zilizopo kwenye computer ili uchague unachotaka ku`upload then u you`re good to go...
mfano wake ni huo wimbo down bellow..
 

Attachments

Natumia simu

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Back
Top Bottom