Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

Kubold au kufanya maandishi yawe mazito weka hivi andika utakacho hapa halafu weka hivi
Kufanya maandishi ya rangi weka hivi [color=weka jina la rangi] andika utakacho hapa halafu weka hivi. [/color]

Kufanya maandishi ya kulala yani Italic weka hivi andika utakacho halafu weka hivi


Kikubwa zingatia hizo bracket na herufi zilizomo ndani ya bracket.


Nakutakia mafanikio

Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
Kama ni mwalimu unafundisha wanafunzi Darasa zima litafell hujui kufundusha weka hivi weka hivi ndio nn kamq mtu anakuona
 
Back
Top Bottom