Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

[/color red]nakosea wapi mimi jamani]Color]
soma kwa utaratibu na ndani ya mabano ya pili ndio kuna hii alama\ wewe umeweka/ndo maana zinagoma, pia usiache nafasi ndani ya mabano au kwenye neno unaloaanza kuandika lililo karibu na mabano ya mwanzo na vilevile kwa neno lililokaribu na mabano ya mwisho na uliandike hivi[\color]kumbuka mabano ya mwanzo unaandika hivi[\color]
[color=blue au yellow n.k]
 
andika hivi;

neno[/COLOR ]

hapo kwenye "green" andika rangi yoyote mfano yellow,gray,blue,red au hata purple,

na sehemu niliyoandika "neno" ndio uandike sasa maneno ambayo unataka yawe na rangi husika. Humo ndani ya mababo usiruke nafasi kabisa, mi nimeruka ili rangi isibadilike.
[COLOR=red kama hivi sijui nimepatia!?[/COLOR]
 
Back
Top Bottom