Jinsi weusi wanavyouawa na polisi wa Marekani

Jinsi weusi wanavyouawa na polisi wa Marekani

Takbiratul ihram

images

Hivi kwa nini huwa mnabong'oa?

Kwa elimu yako ilivyo ndogo na wingi wa upumbavu unadhani kwa kuandika hivi unawakashifu waislamu kumbe Hata Wakristo wengi tu wenye Kuyafahamu Maandiko yako PAMOJA na YESU MWENYEWE walisali Nama hii.

1418527798247.jpg

One of the oldest Church on earth they PRAY just like MUSLIMS.

1418527861144.jpg

1418527879056.jpg

1418527895985.jpg

1418527914050.jpg

1418527930471.jpg

Waulize na hawa why wanainama?

Kukosa elimu ukachanganya na Kutokumjua babako mzazi Lzm ni shida kubwa.

Pole sana mrs kiranga.
 
Kwa elimu yako ilivyo ndogo na wingi wa upumbavu unadhani kwa kuandika hivi unawakashifu waislamu kumbe Hata Wakristo wengi tu wenye Kuyafahamu Maandiko yako PAMOJA na YESU MWENYEWE walisali Nama hii.

View attachment 210710

One of the oldest Church on earth they PRAY just like MUSLIMS.

View attachment 210711

View attachment 210712

View attachment 210713

View attachment 210714

View attachment 210715

Hawa hawafuati maandiko,wanafuata wakubwa wao wanavyosema,hiyo ndiyo ibada aliyofanya Yesu ya kusujudu.
 
Ok Umejibu Moja bado Moja!
Nini maana ya uzao Wa Ibrahim?

Naomba unijibu Hilo then tuanze kuangalia mambo yote ktk hao watoto na Kwanini tunakua warithi na uzao wa Ibrahim! Na kwamba Mungu Wa Wakristo sio mbaguzi ni Mungu Wa watu wote!
Hapo wacha uzazi tunacho ongelea ni nani ambaye mtoto aliye tolewa kwa ajili ya SACRIFIC alikuwa Ismail. Mtoto wa kwanza wa Ibrahim, Isaac ni mwana Pili, alizaliwa miaka 14 baadaye. Mungu aliamua kupima imani ya Ibrahim, Akasema, amchukue mwanaye, mwanao tu {mwana}, umpendaye. Aliyekuwa ameandamana na Mtume Ibrahim na kufanya yale Mungu aliyataka wafanye. mzaliwa wa kwanza Ishmael, progenitor ya nabii Muhammad, au mzaliwa wa pili Isaac progenitor ya Yesu Kristo? Waandishi wa Biblia walikuwa na bandika jina la Isaka katika nafasi tupu juu. Waislam wanaamini Ishmael alikuwa mmoja kwamba ilikuwa kuchukuliwa na Ibrahim kwa 'Kuu Kafara'. Kila mwaka, Waislamu duniani kote kusherehekea Idd Al Hajj pale Makkah:becky:

In the verses of Genesis 22, God commands Abraham to sacrifice his only son. As all scholars of Islam, Judaism and Christianity agree, Ishmael was born before Isaac. From this, it would not be fit to call Isaac the only son of Abraham. "So We gave him the good news of a forbearing son. And when (his son) was old enough to help in his daily affairs, (Abraham) said: O my dear son, I have seen in a dream that I must sacrifice you. So look, what think you? He said: O my father! Do that which you are commanded. God willing, you shall find me of the patient." (Qur'an 37:101-102)"And when they both submitted (to the command of God), and he (Abraham) laid him (Ishmael) face down upon his forehead (in order to be sacrificed)." (Qur'an 37:103).
 
Alshabab ni makundi yanaoanzishwa na Wayahudi wa kimarekani.

Kwa nini unapenda wongo tu.Alshababu,bokoharamu wanachinja watu kwa kutumia imani potofu.wewe unataka kulinda upotofu huo kwa hila.ama u mmoja wao?
 
Kwa hivyo hao wa dini yako wakifundishwa nayeyote kuchinja watu,kuchinja wanafunzi,kulipua raia nk wanapokea bila kufikiria.huo ni uongo mtupu.
Hao wanafundishwa na USA na Israel namna ya kuchinja, waislam siku nyingi wao wanajua kuchinja lakini walikuwa wakichinjaa kondoo, mbuzi, ngo'mbe, na wanyama halali pamoja na ndege na kuku. Nyie ndio mmekuja na sheria mpya ya kuchinja binadamu sijui mnataka kuwaiga waislam kuchinja lakini waislam wanachinja wanyama tu si binadamu:becky:
 
Kwa hivyo hao wa dini yako wakifundishwa nayeyote kuchinja watu,kuchinja wanafunzi,kulipua raia nk wanapokea bila kufikiria.huo ni uongo mtupu.
Sio wanafundishwa,wanapewa maelekezo kwa kutumia PESA.Jiulize swali hawa Alshabab,Alqaeda,bokoharamu,hawatengenezi silaha,je silaha wanazipata wapi?
 
Sio wanafundishwa,wanapewa maelekezo kwa kutumia PESA.Jiulize swali hawa Alshabab,Alqaeda,bokoharamu,hawatengenezi silaha,je silaha wanazipata wapi?

Imani za aina hii ni za kuachana nazo.huwezi kutaka watu waingie mbinguni kwa kuwachinja
 
Imani za aina hii ni za kuachana nazo.huwezi kutaka watu waingie mbinguni kwa kuwachinja
Askofu Kibwetere na maaskofu wenzake kule Uganda waliwachinja na kuwatia moto maelfu ya waumini ndani na nje ya kanisa,kwa ahadi kwendwa kwa Bwana,mbinguni,au hujui hilo?
 
Askofu Kibwetere na maaskofu wenzake kule Uganda waliwachinja na kuwatia moto maelfu ya waumini ndani na nje ya kanisa,kwa ahadi kwendwa kwa Bwana,mbinguni,au hujui hilo?

Wote wa aina hii ni wa shetani. Sio wa Mungu muumba wa mbingu,nchi na mwanaadamu
 
Abrahamic theories are the Cancers of this universe......
 
Attachments

  • 1418581185561.jpg
    1418581185561.jpg
    30.3 KB · Views: 128
  • 1418581215213.jpg
    1418581215213.jpg
    47.1 KB · Views: 130
WHY DO CHRISTIANS LIE

From all the preceding Bible verses, it would seem that lying would never be acceptable. However, this is not necessarily correct, since there are times that telling the truth would actually facilitate the exercise of evil.

What about Christians who lie?
It often seems that Christian leaders get caught all the time lying or having affairs or doing some other evil thing that contradicts the tenets of Christianity. The perception that this is common is a function of the news media, which loves to report such kinds of behavior. Everyone loves to hate a hypocrite. When famous atheists commit adultery (even on a routine basis) it isn't news at all, since there is no tenet of atheism that one be faithful to his spouse.

Although there are "Christians" who lie, we can't be sure that they are really Christians at all. This is because being a Christian isn't based upon what a person says, but what Jesus says at the judgment. According to Jesus, many who claim to do things in His name will be rejected by Him at the judgment:

"Many will say to Me on that day, 'Lord, Lord, did we not prophesy in Your name, and in Your name cast out demons, and in Your name perform many miracles?' And then I will declare to them, 'I never knew you; DEPART FROM ME, YOU WHO PRACTICE LAWLESSNESS.'" (Matthew 7:22-23)
 
Kwanza wewe hujui kabisa imani ya Kiyahudi ikoje,hilo ni moja

Hujui kabisa tofauti ya Talmud na Tanakah,holo ni la pili

Suala la nani ni Masih halina uhusiano na agano la kale hilo ni jambo ambalo liko nje ya agano hilo hivyo halijaathiri mpangilio wa vitabu vya agano la kale,kwa kukufahamisha ni kwamba,najua Wayahudi hawakubali kuwa Yesu ndie Masih wala hilo sio geni na kama ungekuwa mtu makini hata kidogo tu ungeliona hilo

Umasihi wa Yesu uko nje ya agano la kale ambapo ni kwenye agano jipya hivyo vitabu havichangamani kabisa

Ukristo unatokana na Kristo na dini ya Kiyahudi inatokana na agano la kale,sijui umeelewa?

Then why is the Pentatuch and other Jewish books that makes the Old Testament are included in the Christian Bible then?
 
Eiyer hivi huyu jamaa anajua anacho argue kweli!?

If Jesus ministry is through the New Testament then why his bible contains the component of the Old Testament the books of Moses and Joshua etc? That is my arguement. This is where people have issues on the autheticity of the modern bible and may this be the reason you guys have 'Judaized' Christianity. WHY DON'T YOU GUYS JUST STICK TO HIS MINISTRY AND MISSION?

Even the Jews themselves say that he had been sent to tye Gentiles.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom