Jinsi weusi wanavyouawa na polisi wa Marekani

Sikiliza ndugu

Hebu fikiri unajadiliana na mtu ambae hajui kabiaa Talmud ni nini,haya ndio majibu ungempa na yangemsaidia?

Achana na injil kwakuqa hiyo ni khabari nyingine tafadhali nijibu maswali yangu mhindi!
Mhindi amekurupuka, anatakiwa ajibu Talmud ni maneno ya nani!?
 
Asubuhi nilikuambia inawezekana size ya ukubwa wa ubongo wako inawezekana iko sawa na nzi ndio maana unashindwa kuelewa vitu rahisi kama hivi

Lakini inaonekana nilikupandisha chati,wewe size ya ukubwa wa ubongo wako ni kama sisimizi tu na ndio maana unashindwa kuelewa kabisa!
Mkuu inawezekana huyo jamaa alifanyiwa kama hapa chini
Howtomussie.jpg
 
Unipandishe Chat ndio kufanya nini!
Upimbi wa kuabudu Picha unaathiri mno!

Jitu zima Linalipa Pesa eti likasamehewe!
Halafu ulivyo na nyodo na Akili ka ya tembo eti "..asubuhi bla..bla..bla"
Ulivyokuwa mbumbumbu unadhani Asubuhi yako Ni asubuhi ya kila mtu!
Nyie ndio maana mnashkishwa ukuta kilaini!

Ubongo size ya sisimizi una taabu kweli

Yaani mimi kuzungumzia asubuhi umeshindwa kuelewa nilizungumzia asubuhi yangu na ishu hiyo umeifanya subject

Halafu unaendelea kuonesha vile size ya ka ubongo kako kalivyo kadogo unaleta masuala ya imani wakati hata huko siko

Ubongo size ya sisimizi ni janga sana!
 
Talmud ni ile wakristo wanaita Agano la Kale,Jews wanaamini ni mafunzo aliyopewa Musa kutoka kwa Mungu.

Mwenzako hapo juu kasema Wayahudi hawatumiibagano la kale yu bali wanatumia na Talmud hii inamaana kuwa hivyo ni vitabu viwili tofauti,wewe unakuja na kudai Talmud ndio agano la kale,hivi unalijua agano la kale wewe?

Unajua hicho ndio kitabu kitakatifu kwa wayahudi kuliko kitu kingine chochote?

Yaani wewe unarahisisha tu eti hiyo ni agano la kale

Wewe ndio mashati kweli!
 
Ni agano la kale,ila mpangilio wa vitabu kati ya wakristo na wayahudi tofauti.Kama ahadi yakuja masihi,wakristo wanaamini Yesu ndio masih aliyesubiriwa lakini wayahudi wanasema Yesu siye Masih aliyetabiriwa.
 
Ni jina la kiebrania la biblia ya Kiyahud,ndio hiyo hiyo Agano la kale.Katika Tanakh wanaamini bado Masih wanayemsubiri hajafika,ndio mana wayahudi,hawamuani Yesu kama ndiye Masih.
Nilikuwa nakuonyesha ni jinsi gani utofautishe kati ya Talmud na Tanakh, Tanakh ndio agano la kale kwenye Biblia yetu hii, mpangilio ndio unatofautiana lakini mambo ni yale yale, ambapo sisi tumepangilia namna hii, Fungu la 1 ni vitabu vya Musa, ambapo vipo vitano au sheria, Fungu la 2, vitabu 12 vya historia, Fungu la 3, vitabu 5 vya mashairi, Fungu la 4 vitabu 5 vya manabii wakubwa, Fungu la 5 vitabu 12 vya manabii wadogo...

Tanakh yenyewe imepangiliwa tofauti kidogo lakini kitu kilekile, Haya basi niambie Talmud ni maneno ya nani!? kwasababu kuna Mishnah pamoja na Gemara, ambapo ina jumuisha Babylon Talmud na Jerusalem Talmud, mi kwa mtazamo wangu naona Talmud haijakidhi hichi kigezo hapa chini

2 Timotheo 3:16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
 
Huyu mhindi wa vingunguti tabu sana

Ngoja arudi hapa!

Mwenzako hapo juu kasema Wayahudi hawatumiibagano la kale yu bali wanatumia na Talmud hii inamaana kuwa hivyo ni vitabu viwili tofauti,wewe unakuja na kudai Talmud ndio agano la kale,hivi unalijua agano la kale wewe?

Unajua hicho ndio kitabu kitakatifu kwa wayahudi kuliko kitu kingine chochote?

Yaani wewe unarahisisha tu eti hiyo ni agano la kale

Wewe ndio mashati kweli!

Ubongo size ya sisimizi una taabu kweli

Yaani mimi kuzungumzia asubuhi umeshindwa kuelewa nilizungumzia asubuhi yangu na ishu hiyo umeifanya subject

Halafu unaendelea kuonesha vile size ya ka ubongo kako kalivyo kadogo unaleta masuala ya imani wakati hata huko siko

Ubongo size ya sisimizi ni janga sana!

Huyo muhindi wa vingunguti.
Yule mwingine MASHATI.

mimi SISIMIZI. Na yule mwingine KILAZA.

Sasa wewe Sijui Ni Muuza mashati au Scientists au mwana jografia!

Au BANGI tu zinakupa tabu?
Hicho chuo cha Mkuu wa chuo Hapo yombo We una cheo gani?

Teh teh teh teh!

UKAFIRI kaazi kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Ni agano la kale,ila mpangilio wa vitabu kati ya wakristo na wayahudi tofauti.Kama ahadi yakuja masihi,wakristo wanaamini Yesu ndio masih aliyesubiriwa lakini wayahudi wanasema Yesu siye Masih aliyetabiriwa.
Yaani wewe hata unachokiandika hapa hukielewi

Suala la masih kuwa ni Yesu au sio Yesu linahusiana nini na mpangilio wa vitabu vya agano la kale?

Hivi kwanza wewe unaijua Talmud kweli wewe au unaajiandikia tu hapa?

Naweza kuwa napoteza wakati wangu tu hapa!
 
Mwenzako hapo juu kasema Wayahudi hawatumiibagano la kale yu bali wanatumia na Talmud hii inamaana kuwa hivyo ni vitabu viwili tofauti,wewe unakuja na kudai Talmud ndio agano la kale,hivi unalijua agano la kale wewe?

Unajua hicho ndio kitabu kitakatifu kwa wayahudi kuliko kitu kingine chochote?

Yaani wewe unarahisisha tu eti hiyo ni agano la kale

Wewe ndio mashati kweli!
Mkuu huyo jamaa hajui anachozungumza... Hajui hata tofauti ya Tanakh na Talmud... kiufupi amekurupuka...
 
Huyo muhindi wa vingunguti.
Yule mwingine MASHATI.

mimi SISIMIZI. Na yule mwingine KILAZA.

Sasa wewe Sijui Ni Muuza mashati au Scientists au mwana jografia!

Au BANGI tu zinakupa tabu?
Hicho chuo cha Mkuu wa chuo Hapo yombo We una cheo gani?

Teh teh teh teh!

UKAFIRI kaazi kweli kweli.
Usiusumbue ubongo wako mdogo kama wa sisimizi kutaka kujua kazi yangu wakati huwezi na utaparaganyika

Ngoja nikusaidie,mimi ni mkuluma,sema unachotaka kusema sasa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyo jamaa hajui anachozungumza... Hajui hata tofauti ya Tanakh na Talmud... kiufupi amekurupuka...

Hawa watu ni janga sana mkuu

Hivi kama mtu anashindwa tu kuona tofauti ya hayo ambayo ni rahisi kabisa,hivi ataelewa nini huyu?

Wanachosha sana hawa!
 
Usiusumbue ubongo wako mdogo kama wa sisimizi kutaka kujua kazi yangu wakati huwezi na utaparaganyika

Ngoja nikusaidie,mimi ni mkuluma,sema unachotaka kusema sasa!

Kukuluma ndio kufanywa nini tena?

Laanatullah!
 
Yaani wewe hata unachokiandika hapa hukielewi

Suala la masih kuwa ni Yesu au sio Yesu linahusiana nini na mpangilio wa vitabu vya agano la kale?

Hivi kwanza wewe unaijua Talmud kweli wewe au unaajiandikia tu hapa?

Naweza kuwa napoteza wakati wangu tu hapa!
Nimekupa kitu hukipendi ukisikie,ya kuwa ndani ya Agano la kale kumetwaja kuja kwa Masih,wakristo wanaamini ndiye Yesu lakini wayahudi hawaamini kama Yesu ni Masihi,huo mfano ni miongoni mwa tofauti zilizomo ndani ya hivyo vitabu.
 
Nilikuwa nakuonyesha ni jinsi gani utofautishe kati ya Talmud na Tanakh, Tanakh ndio agano la kale kwenye Biblia yetu hii, mpangilio ndio unatofautiana lakini mambo ni yale yale, ambapo sisi tumepangilia namna hii, Fungu la 1 ni vitabu vya Musa, ambapo vipo vitano au sheria, Fungu la 2, vitabu 12 vya historia, Fungu la 3, vitabu 5 vya mashairi, Fungu la 4 vitabu 5 vya manabii wakubwa, Fungu la 5 vitabu 12 vya manabii wadogo...

Tanakh yenyewe imepangiliwa tofauti kidogo lakini kitu kilekile, Haya basi niambie Talmud ni maneno ya nani!? kwasababu kuna Mishnah pamoja na Gemara, ambapo ina jumuisha Babylon Talmud na Jerusalem Talmud, mi kwa mtazamo wangu naona Talmud haijakidhi hichi kigezo hapa chini

2 Timotheo 3:16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
Bravo mkuu .........!!
 
Back
Top Bottom