Jinsi weusi wanavyouawa na polisi wa Marekani

Jinsi weusi wanavyouawa na polisi wa Marekani

Eiyer hujaona singasinga cjui muhindi amekuwekea quote hapo mwanzo kutoka kitabu cha wayahudi kuwa wao ndio bloodline ya Adam sisi wengine ni dogs. na wana haki ya kutuua na chochote watakachoamua juu yetu.
na ndo maana ukifuatilia historian yao vzr utaona miji yote iliyopo Israel wakati hao wayhudi wanaingia walikuta watu huko...wakawaua then wakatwaa hiyo miji....jiulize hao watu hawakuwemo wema ?? na kwann Mungu awatoe kwenye sehemu yao wayahudi wakae??? hapo utajua kuwa tangy mwanzo ilikuwa ni all about JEWS wengine wote duniani ilikuwa Kama ni maadui wa Jews ndo maana waliua wakaua and nothing happen to them
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana kuna watu wanakwambia ukienda Israel ukakaa na vibabu vyao vikupe neno LA Mungu wao haki unaambiwa ukirudi hutakuwa na dini yoyote
Watakwambia live kuwa Hakuna nabii aliyekuja kwa ajili ya watu tofauti na Wao na kuwa sisi tunapoteza mda tu huku...Kutoka Nuhu ..Abraham...mussa to Jesus wote walikuja kwa ajili ya tu
 
Maneno yako ni kweli kila mmoya/ mtu ana matatizo yake, lakini hao unaotaka jaribu ati kuwatetea ni zaidi ya unyama kwa wayafanzao.
Hivi wewe inajua kusoma na ukaelewa kweli?

Nimemtetea nani hapo?

Hao Waarabu mara nyingi matatizo yao hutengeezwa na hao Wazungu wako uwaonao ati wana utu kulikoni weye mweusi.
Nyie watu sijui mmelogwa au mliambiwa kusema kweli ni tatizo kwenu

Hapo juu nimesema kila jamii ina matatizo halafu wewe inakuja kudai eti nimesema wazungu wana utu kuliko watu weusi,umetoa wapi haya? Hivi hamuoni aibu hata kidogo?

Huko juu umetunga uongo kwa kudai mimi nawatetea wazungu kwasababu tu niliesema sio mtu wa imani yako, lakini hapa wewe unageuka kuwa mtetezi wa waarabu bila hata haya,mimi ni mtu mweusi na hapo juu nimekiri kuwa jamii zote zina matatizo na nikasema hata sisi weusi ni wabaguzi vile vile sijui kati yangu na wewe nani anatetea hapa

Yaani wewe hao waarabu sijui wamekufanya nini hadi huoni matatizo yao na kila anaesema ukweli basi anakuwa anawatetea wazungu

Sijui mna ubongo waaina gani nyie watu
Ukweli waufahamu ila tuu upo naezasema kazini upande wa kiimaani.

Tuendelee na kujifunza tokamana na mada tajwa.

Ahsanta nipo kipembeni hapa.
Yaani nyie huwa mko kama mazombie

Hakuna mahali ambapo nimetetea mtu lakini kwasababu wewe ndio unafanya mambo kwa kuongozwa na imani yako hata kama jambo lenyewe ni la kijinga basi unafanya tu

Nyie watu ni hatari sana
 
Na ndio maana ufunuo wa yohana unasema anaona watu 144000 ndo watakaoingia mbinguni...sass wewe kwa idadi ndogo km hy unadhani mataifa mengine yana nafasi halo??????
Sema naomba Khahtani unisaidie if this is true .......What about US???? Je mtume wetu was kuleta habari za Mungu dunia nzima hajazaliwa???
Je mwisho ukifika sisi tutakuwa wapi???
maana Kama Yesu akirudi atatukana kuwa siwajui ninyi coz sio Mayahudi
 
Eiyer, Read Talmud and especially (Sanhedrin 57a quoted in the last paragraph below) Sanhedrin are the 70 Elders mentioned in the bible and the body that authors and expert in the Jewish Laws, read :

The KKK White Supremacist Judeo-Evangelicans and Tea Party Neo- Conservatives of USA are incited and don't like Jews. And yet here are people who follows their Gospel call of Crusade. Now read what their Brothers in Arms teachings:

The Truth About Talmud
Talmudic Doctrine: Non-Jews are not Human

The Talmud specifically defines all who are not Jews as non-human animals, and specifically dehumanises gentiles as not being descendants of Adam. We will now list some of the Talmud passages which relate to this topic:

"The Jews are called human beings, but the non-Jews are not humans. They are beasts."
Talmud: Baba mezia, 114b

"The Akum (non-Jew) is like a dog. Yes, the scripture teaches to honour the the dog more than the non-Jew."
Ereget Raschi Erod. 22 30

"Even though God created the non-Jew they are still animals in human form. It is not becoming for a Jew to be served by an animal. Therefore he will be served by animals in human form."
Midrasch Talpioth, p. 255, Warsaw 1855

"A pregnant non-Jew is no better than a pregnant animal."
Coschen hamischpat 405

"The souls of non-Jews come from impure sprits and are called pigs."
Jalkut Rubeni gadol 12b

"Although the non-Jew has the same body structure as the Jew, they compare with the Jew like a monkey to a human."
Schene luchoth haberith, p. 250 b

"If you eat with a Gentile, it is the same as eating with a dog."
Tosapoth, Jebamoth 94b

"If a Jew has a non-Jewish servant or maid who dies, one should not express sympathy to the Jew. You should tell the Jew: "God will replace 'your loss', just as if one of his oxen or asses had died"."
Jore dea 377, 1

"Sexual intercourse between Gentiles is like intercourse between animals."
Talmud Sanhedrin 74b

"It is permitted to take the body and the life of a Gentile."
Sepher ikkarim III c 25

"It is the law to kill anyone who denies the Torah. The Christians belong to the denying ones of the Torah."
Coschen hamischpat 425 Hagah 425. 5

"A heretic Gentile you may kill outright with your own hands."
Talmud, Abodah Zara, 4b

"Every Jew, who spills the blood of the godless (non-Jews), is doing the same as making a sacrifice to God."
Talmud: Bammidber raba c 21 & Jalkut 772
How does a Jew prepare for his crime?

Moed Kattan 17a . If a Jew is tempted to do evil he should go to a city where he is not known and do the evil there.
-

Hitting a Jew is the same as hitting God

Sanhedrin 58b. If a heathen (gentile) hits a Jew, the gentile must be killed.
-
-

O.K. to Cheat Non-Jews

Sanhedrin 57a . A Jew need not pay a gentile ("Cuthean" the wages owed him for work.
-

Jews Have Superior Legal Status

Baba Kamma 37b. "If an ox of an Israelite gores an ox of a Canaanite there is no liability; but if an ox of a Canaanite gores an ox of an Israelite...the payment is to be in full."
-

Jews May Steal from Non-Jews

Baba Mezia 24a . If a Jew finds an object lost by a gentile ("heathen" it does not have to be returned. (Affirmed also in Baba Kamma 113b). Sanhedrin 76a. God will not spare a Jew who "marries his daughter to an old man or takes a wife for his infant son or returns a lost article to a Cuthean..."
-

Jews May Rob and Kill Non-Jews

Sanhedrin 57a . When a Jew murders a gentile ("Cuthean", there will be no death penalty. What a Jew steals from a gentile he may keep.

Baba Kamma 37b. The gentiles are outside the protection of the law and God has "exposed their money to Israel."
Jews May Lie to Non-Jews

Baba Kamma 113a. Jews may use lies ("subterfuges" to circumvent a Gentile.
-

Non-Jewish Children are Sub-Human

Yebamoth 98a. All gentile children are animals.

Abodah Zarah 36b. Gentile girls are in a state of niddah (filth) from birth.

Abodah Zarah 22a-22b . Gentiles prefer sex with cows.
Insults Against Blessed Mary

Sanhedrin 106a . Says Mary- was a -----: "She who was the descendant of princes and governors played the harlot with carpenters." Also in footnote #2 to Shabbath 104b of the Soncino edition, it is stated that in the "uncensored" text of the Talmud it is written that Jesus mother, "Miriam the hairdresser," had sex with many men.
-
-

Horrible Blasphemy Against Jesus Christ

Gittin 57a. Says Jesus is being boiled in "hot excrement."

Sanhedrin 43a. Jesus deserved execution: "On the eve of the Passover, Yeshu (Jesus) was hanged...Do you suppose that he was one for whom a defense could be made? Was he not a Mesith (enticer)?"
Nani mwandiashi wa Talmud?

Na aliandika kwa maelekezo ya nani?

Hicho ndicho kitabu cha kiimani cha Wayahudi?

Mkuu wa chuo hebu njoo umuone huyu Mhindi!
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo ulitaka ushahidi.
Sasa hutaki ushahidi tu! Bali unataka ushahidi KUTOKA KWA WAYAHUDI WENYEWE.!

Sasa toka lini Mtu anaetaka USHAHIDI achague Huo Ushahidi Utakapo tokea? Hii ndio naskia kwako leo!
We nawe sijui una ubongo kama wa nzi au vipi?

Hivi unapotoa madai kuwa "dini ya kahtaan inaruhusu kubaka" halafu ukaja ukataka ushahidi kisha nikakuletea ushahidi kutoka kwenye dini ya Budha utaniona mzima kweli?

Hapo mwanzo niliomba ushahidi kutoka kwenye dini ya wayahudi kwakuwa niliyemuomba alitoa madai kuwa dini ya wayahudi ndio inaagiza hivyo,sasa wewe unaniletea "ushahidi" kutoka agano jipya ambamo wayahudihata hawataki kusikia,utakuwa sawasawa kweli wewe?

Kwanza kabisa lzm ufahamu kuwa Ni KANUNI Ya KAWAIDA kuwa Ili wewe na Mimi au Yyt anaetaka Kujiunga Na IMANI YA KIYAHUDI basi LZN AWE NA MAMA WA Kiyahudi 100%.! Kinyume cha hapo Wote sisi kwa imani yao Ni UCHAFU TU!
Tazama tena hapa !!!!!!!

Hii imeandikwa wapi wewe?

Halafu tunajadili kuingia dini ya kiyahudi au ushahidi kuwa dini hiyo inasema binadamu wengine sio bibadamu?

Kimsingi kuna tofauti kubwa sana kati ya dini kutaja waty wa race fulani tu na dini hiyo hiyo kudai binadamu ni watu wa race fulani tu kwasababu uhinizwaji wa watu wa race fulani tu kiingia kwenye dini fulani inawezakuwa ni kwasababu ya misingi ya imani husika kuwa ni ya eneo moja tu na hata zile rituals za kwenye imani hiyo zinahusu watu wa race ile ike mfano hai ni Hindu na Budha

Ni vigumu sana kumkuta mzungu ni Hindu lakini hiyo haimaabishi wabawabagua wazungu kwakuwa sio binadamu

Kwa Imani ya Kiyahudi Huwezi kuwa Myahudi Mpaka uwe na Damu Ya Ki Israeli na Sababu kubwa ya Kusema hivi ni kuwa Wao Wana IMANI 100% kuwa Waisraeli ni TAIFA TEULE LA MUNGU lililo chaguliwa Kuwa More superior kuliko mataifa mengine yote.

Na hili LIMEELEZWA WAZI KABISA ktk KITABU CHA AGANO la KALE ambalo NI SPECIFIC KWA AJILI YA WAYAHUDI.

Wewe leo Unataka Kukataa kuwa AGANO LA KALE sio LA WAYAHUDI?

Kataa hapa Kuwa AGANO LA KALE sio La WAYAHUDI bali NI la Kwenu Nyie TUFUNGE HUU MJADALA.
Manake Hii tabia Ya Kugeuza geuza Maneno Ndio huwa INANICHAFUA mimi Naamua Kuwapeleka Mtakavyo Nyie!

Unajichefua mwenyewe kwasababu ya ubongo wako mdogo kama wa nzi

Agano la kale ni la wayahudi lakini haliwahusu wao tu kwenye baadhi ya naeneo hasa ya kinabii

Naomba uweke hiyo akilini

Kumbukumbu la TORATI 14:1-2
INASEMA WAZI KABISA KUWA.

1Ninyi (waisraeli) mmekuwa wana wa Bwana, Mungu wenu; msijitoje miili yenu, wala msifanye upaa katikati ya macho yenu kwa ajili ya aliyekufa.-
2-Kwa kuwa u taifa takatifu kwa Bwana, Mungu wako, na Bwana amekuchagua kuwa watu wake hasa, kuliko mataifa yote yaliyo juu ya uso wa nchi.-

The Book of Genesis (chapter 17) it also written: "And I [God] will establish My covenant between Me and you [the Jewish people] and your descendants after you in their generations, for an everlasting covenant, to be God to you and your descendants after you."

Hapa AGANO LA KALE limesha waweka WAISRAELI JUU kuliko MATAIFA YOTE DUNIANI.

Sasa Niambie Km Tuipuuze BIBLIA tutafute Vitabu vya kina MICHUZI na willy gamba km Ushahidi.
Kusema ni super kuliko mataifa yote ndio sawa na kusema binadamu ni wao tu na wengine sio binadamu?

Nikikuambia una ubongo mdogo kama wa nzi unang'aka!
 
We nawe sijui una ubongo kama wa nzi au vipi?

Hivi unapotoa madai kuwa "dini ya kahtaan inaruhusu kubaka" halafu ukaja ukataka ushahidi kisha nikakuletea ushahidi kutoka kwenye dini ya Budha utaniona mzima kweli?

Hapo mwanzo niliomba ushahidi kutoka kwenye dini ya wayahudi kwakuwa niliyemuomba alitoa madai kuwa dini ya wayahudi ndio inaagiza hivyo,sasa wewe unaniletea "ushahidi" kutoka agano jipya ambamo wayahudihata hawataki kusikia,utakuwa sawasawa kweli wewe?

Tazama tena hapa !!!!!!!

Hii imeandikwa wapi wewe?

Halafu tunajadili kuingia dini ya kiyahudi au ushahidi kuwa dini hiyo inasema binadamu wengine sio bibadamu?

Kimsingi kuna tofauti kubwa sana kati ya dini kutaja waty wa race fulani tu na dini hiyo hiyo kudai binadamu ni watu wa race fulani tu kwasababu uhinizwaji wa watu wa race fulani tu kiingia kwenye dini fulani inawezakuwa ni kwasababu ya misingi ya imani husika kuwa ni ya eneo moja tu na hata zile rituals za kwenye imani hiyo zinahusu watu wa race ile ike mfano hai ni Hindu na Budha

Ni vigumu sana kumkuta mzungu ni Hindu lakini hiyo haimaabishi wabawabagua wazungu kwakuwa sio binadamu

Unajichefua mwenyewe kwasababu ya ubongo wako mdogo kama wa nzi

Agano la kale ni la wayahudi lakini haliwahusu wao tu kwenye baadhi ya naeneo hasa ya kinabii

Naomba uweke hiyo akilini

Kusema ni super kuliko mataifa yote ndio sawa na kusema binadamu ni wao tu na wengine sio binadamu?

Nikikuambia una ubongo mdogo kama wa nzi unang'aka!

Upumbavu huu umevunja rekodi! Leo Unapinga mpaka BIBILIA YAKO MWENYEWE!

Nilijua ukipewa Ulichokuwa unakiuliza Utaanza Nyodo!

Wewe Muha unaejifanya MYAHUDI Hali ya kuwa wayahudi wanakuona ka mavi ya mwisho!

Unajipendekeza kwa Vitu vizivyo na faida Yyt!

Ugalatia Msiba.
 
Na ndio maana ufunuo wa yohana unasema anaona watu 144000 ndo watakaoingia mbinguni...sass wewe kwa idadi ndogo km hy unadhani mataifa mengine yana nafasi halo??????
Sema naomba Khahtani unisaidie if this is true .......What about US???? Je mtume wetu was kuleta habari za Mungu dunia nzima hajazaliwa???
Je mwisho ukifika sisi tutakuwa wapi???
maana Kama Yesu akirudi atatukana kuwa siwajui ninyi coz sio Mayahudi
Acha uongo wewe, kwanini unaongelea vitu ambavyo huna uelewa navyo!?
 
Upumbavu huu umevunja rekodi! Leo Unapinga mpaka BIBILIA YAKO MWENYEWE!

Nilijua ukipewa Ulichokuwa unakiuliza Utaanza Nyodo!

Wewe Muha unaejifanya MYAHUDI Hali ya kuwa wayahudi wanakuona ka mavi ya mwisho!

Unajipendekeza kwa Vitu vizivyo na faida Yyt!

Ugalatia Msiba.

Galatians 3:28-29.

There is neither Jew nor Greek, there is neither slave nor free, there is neither male nor female; FOR YOU ARE ALL ONE IN CHRIST

AND IF YOU ARE CHRIST'S, THEN YOU ARE ABRAHAM'S SEED, AND HEIRS ACCORDING TO THE PROMISE.

Naomba maoni yako kutokana na Hayo mafungu!

Kwa kukuongezea tu ni kwamba ktk agano la kale kuna mafungu mengi sn ambayo Mungu alikua akiwahusisha na watu Wa mataifa na mipango Yake mizuri ya wokovu!

Unaweza ukaanza na hili fungu la Jeremiah 3:17 uone ni namna gani watu Wa mataifa hawakuwekewa mipaka!

At that time Jerusalem shall be called The Throne of the Lord, and all nations shall be gethered to it, to the name of the Lord, to Jerusalem; they shall walk no more after the stubbornness of their evil heart.
 
Abraham's wife HAGAR received the following favor: And also of the son of the bonds woman, I will make a nation also, because he {is} thy seed. Gen. 21:13

Abraham's wife SARAH received the following favor: And I will bless her, and give thee a son also of her: yea, I will bless her, and she shall be {a mother} of nations; kings of people shall be of her. Gen. 17:16

Ok nini hoja yako ktk Hayo mafungu?
 
Na huu ndio msimamo wa uislam juu ya ubaguzi wa tangi."Enyi watu kwa hakika tumekuumbeni nyote kwa yule mwanaume mmoja na yule mwanamke mmoja.Na tumekufanyeni mataifa na makabila mbali mbali ili mjuane.Hakika aheshimikaye sana miongoni mwenu mbele ya Mwenyezimungu ni yule amchaye mungu zaidi katika nyinyi.Kwa yakini Mwenyezimungu ni mjuzi mwenye habari."Mwisho wa kunukuu suratul al- hujurat aya ya 13
 
Hilo sio jibu!

Sema ni nini hoja yako ktk Hayo mafungu?
Hivi bado tu hujafahamu dogo hebu kaosme mana ya seed ukisha elewa ndio utajua amekusudiwa Ismail, tazama Genesis 17:7-8.
God now informs Abraham that his covenant shall be given through circumcision, so Abraham immediately circumcises himself and Ishmael, the father of the Arabs (Genesis 17:23), thus establishing God's covenant with Ishmael.:becky:
 
Ishmael alikua mtoto pekee Wa Ibrahim?

Ni nini maana ya uzao Wa Ibrahim?
 
Ishmael alikua mtoto pekee Wa Ibrahim?

Ni nini maana ya uzao Wa Ibrahim?
Alikuwa wa kwanza kuzaliwa katika wa toto wa Ibrahim ni ni Ismail, na siku zote mtoto wa kwanza ndio ana rithi kila kitu:becky:
 
Alikuwa wa kwanza kuzaliwa katika wa toto wa Ibrahim ni ni Ismail, na siku zote mtoto wa kwanza ndio ana rithi kila kitu:becky:

Umejibu tofauti kabisa!

Au nikurahisishie tena!

Ibrahimu Alikua hana mtoto mwingine Zaidi ya Ishmael?

Na hili swali haukulijibu kabisa! Ngoja tena nikuulize!

Nini maana ya uzao Wa Ibrahim?
 
Umejibu tofauti kabisa!

Au nikurahisishie tena!

Ibrahimu Alikua hana mtoto mwingine Zaidi ya Ishmael?

Na hili swali haukulijibu kabisa! Ngoja tena nikuulize!

Nini maana ya uzao Wa Ibrahim?
Mbona hufahamu hata Bibilia imekiri kuwa huyo ndio seed yani ana rithi kila kitu, siku zote kwa warabu na wayahudi anaye rith kiti cha baba yake ni mtoto wa kwanza, unless mtoto wa kwanza akatae. Na Mungu alitoa hadi kwa mtoto aliye fanyiwa mtihani wa kukatwa jando na baba yake mwanzo ni Ismail tu, hakuna mwingine:becky:
 
Back
Top Bottom