gwakipanga
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 794
- 638
Ubaguzi wa rangi, kabila,dini, koo hautokuja kuisha duniani mpaka siku dunia itakapo kuja kuwa paradiso.
Unajua hata kama unawachukia watu fulani kwasababu zozote zile au kwa kuamua tu ni vyema ukafanya hivyo kwa kujilisha ukweli na sio uongo
Au kama umeamua tu kuwachukia bila sababu unaweza kueleweka,lakini kuwachukia watu kwasababu ya kujilisha au kulishwa uongo hiyo inkuwa ni zaidi ya ujuha
Ni dini ipi hiyo ambayo inaonesha binadamu ni Waisrael pekee na kwa ushahidi upi?
Wewe mdosi uwa unanifurahisha sana, teh teh teh.In short Wayahudi haipendi wakristo and watu yote haifuati dini yao. Sasa hii watu Lokole they like Wayahudi and believe Yesu yeye ni Yahudi. Same time wao ndio naweka yeye kwa Cross +, katika hiyo book yao Talmud wao nasema Jesus toto haramu ya askari wa Roman, wao nasema Maria iko Malaya, pia Yahudi naweza kuuwa anyone na hapana kitu kutokea sababu iko halali ku kill anyone sio Yahudi. They say Christian wote jumbani yao ni Hell. Wao nasema kristo yote sawa na dog. Mambo mingi sana chafu nasema against christians. But the same White Chritians in USA who hates black people and friends of Yahudis are happily enjoying the hospitality of Bongo lokoles like ile Mzee Upako even using flags of Israel and USA on stage!!!
Wewe mdosi uwa unanifurahisha sana, teh teh teh.
tukitoka hapo tunaambiwa wazungu wana roho nzuri ila waarabu ndo makatili,
Kulikuwa na sababu gani ya kumkaba vile mpaka kumuua wakati mtu alikuwa hana hata silaha yoyote...eti kisa alikuwa anauza sigara.....dah nami naomba haya maandamano huko New york yasiishe mpaka kieleweke
Mkuu nadhani tunaona kama ni mambo mapya ...
Mwangosi kauawa na polisi Wa-Tanzania tena akiwa hana silaha yoyote..
Afadhali hata huko haki inaweza kupatikana..
Mkuu Ubaguzi tulionao Tanzania ni zaidi ya U.S.A..
1-Uislam vs Ukristo
2-Wakulima vs Wafugaji
3-Zenj vs Bara
4-Ukabila...nk
Ukipata muda fuatilia hizi kesi..
1-Dittopile
2-Zombe
Halafu linganisha na hii bila Kuangalia rangi ya ngozi..
basi utakuta umezaliwa aga khan,umesoma olympio primary school pale upanga,umesoma mzizima secondary lakini kiswahili cha ugoko kama hiki...dah...but good analysis anyway.In short Wayahudi haipendi wakristo and watu yote haifuati dini yao. Sasa hii watu Lokole they like Wayahudi and believe Yesu yeye ni Yahudi. Same time wao ndio naweka yeye kwa Cross +, katika hiyo book yao Talmud wao nasema Jesus toto haramu ya askari wa Roman, wao nasema Maria iko Malaya, pia Yahudi naweza kuuwa anyone na hapana kitu kutokea sababu iko halali ku kill anyone sio Yahudi. They say Christian wote jumbani yao ni Hell. Wao nasema kristo yote sawa na dog. Mambo mingi sana chafu nasema against christians. But the same White Chritians in USA who hates black people and friends of Yahudis are happily enjoying the hospitality of Bongo lokoles like ile Mzee Upako even using flags of Israel and USA on stage!!!
Yaani huyo dingi kupigwa kabari kidoto tuu vile kafa???????
Inawezekana kabisa huyo dingi bonge alikuwa mgonjwa, ndiyo maana watu wazima ki-umri wanashauriwa kufanya mazoezi angalau mara 2 kwa wiki
We mwarabu nini? Kwa taarifa yako hakuna mtu mkatili duniani kama mwarabu, hata akiwa mkiristo mwarabu
Waarabu nao wana matatizo yao na hayawezi kusafishwa na matatizo ya wazungu
Kimsingi kila jamii ina matatizo yake kwani hata sisi weusi ni wabaguzi vile vile!
Mimi saidia Jesus kutoa elimu kwa ile sheep napotea kaka. Hata kama nasoma Geeta sisi najuwa what has been going long time. On the other hand the minds of neo-slavic fascists perception being supreme above all human. They are planning the extermination of the entire wold to bring about the Armagedon so they can rule the world.
tukitoka hapo tunaambiwa wazungu wana roho nzuri ila waarabu ndo makatili,
Waarabu nao wana matatizo yao na hayawezi kusafishwa na matatizo ya wazungu
Kimsingi kila jamii ina matatizo yake kwani hata sisi weusi ni wabaguzi vile vile!
IMANI KUU YA waisraeli Ni Kuwa WAO NI TAIFA TEULE na Wako JUU YA VIUMBE WOTE na NI WAO TU WATAKAO INGIA ktk UFALME WA MUNGU.
na BIBILIA inalithobitisha hilo.
Yaani kwa kifupi kwa mujibu wa WAISRAELI Mungu NI MMBAGUZI kawachagua wao tu.
Na hii ndio SABABU KUBWA ya WAKRISTO wa AFRIKA kujifanya na Wao ni WAYAHUDI kume Ni upuuzi mtupu.
Na ndio sababu kuu kwamba mkiristo au mpagani au muislamu ambae HAJAZALIWA NA MAMA WA KIYAHUDI HAWEZI Kujiunga na HIO IMANI.
Nyie mnajidanganya Kila siku kuwa hawa ni wenzenu lkn Wao wanawaona Nyie ka UCHAFU WA Mnyama.
And that is the fact.
We mwarabu anakuona kama nini bhana..!!
Armagedon ipi unayoiongelea rafiki?