Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Hapana mkuu, sijawahi kua mtaalam wa haya mambo!

Mimi ni mwendo wa salamu tu. Mambo? Niambie! Umeamkaje? Umekula? Unafanya nini? Na mengineyo..

Sasa mtu hataki kujuliwa hali anataka nini kingine?



Kidding....
Ha ha. Ha ha wewe ndio wale salamu kama dozi,asubuhi mchana jioni?! Ila nakuaminia hutumii nguvu wanakuja wenyewe tu.
 
nilitumia hizi mbinu zote haka ka-bibi kizee carbamazepine kakanichomolea kabisa
yaani umeamua kuniita bibi kisa hii picha yangu?
Nakuendea kwa mshana haki tena
tapatalk_1534521197076.jpeg
 
Nimemtumia screenshot anasema mwambie Eli wangu nitakuja kumlike mpaka basi mwambie nammiss sana
Shemeji zima taa
Mwambie asiwe na wasi, nimefungia na kufuli funguo nikatupa mto msimbazi.
 
Back
Top Bottom