Jinsi watu wanavyotongozana JF

Hapa wababe sisi tusio tongoza tu.
 
Hicho kielfu 50 unachoona kiduchu kina nunua kilo za unga na mchele mzee baba anakula mwezi mzima, au mwezi na nusu, sio kadogo mkuu kanasaidia maisha [emoji16][emoji16][emoji16]
nimetania tu...sio lazima iwe pesa wewe! sijui y wazito... wewe siku 1 mpelekee demu wako ht chupi tu uone atakavofurahia!
 
Leo lazima tuambiane ukweli mchungu humu ndani...unakuta mtu analeta mashauzi kibao...."ohhh mi bila laki sijibu pm zako"....most of them are fake...ndo hao wanaoongoza kwa kupigwa free P....yaani limtu ukiliangalia haijulikani sjui kiuno kiko wapi wala kifua vyote vimeungana but ulikute humu jf linavyojishaua sasa
mbona povu kaka!hahahaha!kwan umelazimishwa kuja pande hii my dear!poyeee
Sio povuuu...tunajaribu tu kuwekana sawa...mnashindwa kujibu mna nini haswa cha kufanya mtumiwe iyo laki moja wakati wengi wenu humu tunawafahamu hamna tofati na wasichana tunaoishi nao huku mtaani na hawa fake maisha kama nyinyi...eti sjui you need real men...real men atokee wapi kwa watu kama nyinyi ambao most of you are fake
 
Mkuu kapicha basi au jiwe la gizani [emoji848][emoji848]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…