Jinsi watu wanavyotongozana JF

Kumbe ndio maana ulinipuuza pm kwako baada,nimeanzia mbaaaali,lol,nikija tena itabidi nipige shortcut
 
Ahaa ila nilishakwambia mambo ya kijijin yaache huko. Bado haujazoea mjini tuu jamani miaka yote hiyo?
Nifundishe namna ya kupata ile app ya free access..
A day after tomorrow you'll be taught, and I will teach you each and everything you want
 
Hahaha ,asee mie choka mbaya ndio maana haya mambo wala ,najifunza siku nikipata inshalah atakaye bahatika atapata zaidi ya laki ,bila hata kuniomba
safi kbs!hatusemi mtoe daily lakin kumtunuk kqazawadi ht kadogo ni kitu kikubwa sana!ht umpe pipi tu!kwetu sisi hua burdaniii!...hongera
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…