Jinsi watu wanavyotongozana JF

Woyoooooooooo
Nitake nn shunie mm babe insta
Kabla haujazama mm nitakuja mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu uko vizuri
"Ukiwa na pesa utasifiwa kitambii
Baby me I like that
Nakukupamba kwenye simu, video snapchaat.
Kumbe hana maana hadi Mangii anamwita sweetheart
Kisa anakesha gym, kutafuta six packs

Unaiibiiwa
Unaibiiiwa

Unaibiiwa
Unaibiiwa"
 
Halafu babe insta acha kujaribu jaribu kila kitu unataka kujaribu
 
Sijawahi kupigwa kibuti hapa JF sababu sijawahi kutongoza mtu hapa JF.

You can't lose a fight if you don't fight at all.

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
We kwa sisi wazee wa pori na mapambano,huwa mnabaki kambini kuhudumia kambi,kupika,kufua na kuosha vyombo ,Hahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan mm sijui nimerogwa kuhusu pm naweza nikafungua haipiti nusu saa nafunga

We uliyeniroga kuhusu pm ulaanike sana nakosa mahela mm
Pm hukoo we funga tuu!!watu wanamwaga helaa kama zotee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hao wanaomwaga mahela nini??
Wewe!mafataki ya humu wana mbinuuuu...acha km za praimari zile ukinywa maji nakuona kwenye glass!!masihara unaingia kingii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…