Jinsi watu wanavyotongozana JF

Pale mafisi wanapokaribishwa buchani hakitasalia kitu
 
😂😂😂😂😂
bro wangu alinijengea sana kujiamini... mbele ya hawa viumbe...Alikuwa na usemi "UKICHEKA na NYANI utavuna MABUA" alaf alikuwa na kiupepo cha kupata madem.. yaan wanakuja wengine nyumbani wanajifanya kupikapika pale.. yeye akirudi kutoka job anawatimua na fimbo..
 
You make me laugh [emoji16] [emoji16] [emoji16] uko funny, wenzio wamepewa techniques wewe unawapeperushia ndege, vibaya hivo Evelyn.
 
Siku Virus akishambulia JF na PM zote zikawa PUBLIC ni IDs chache sana za zamani zitabaki humu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka km vyoteeeee!!!sanaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…