Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

He he ebu nijichekee shunie mm
[emoji4] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Cheka shoti angu hawa wamwaga hela washenzi balaaa....

Shunie si unakumbuka eehhh!!kuleni hela zao but Take care maradhiiiii!!!!maradhiiiiii!!!
 
Ila wadada tuwe makini humu kuna watu kazi yao kuwachanganya changanya tu yaani ana ukipiga mahesabu kala kama wote humu jf kwa mkono wa pesa yaani...acha kabisaa!!!

Halafu mwajikuta mwagombana kisa danga La jf..kumbe shenzi tuu
Duh, kazi ipo
 
Mnanuniana kisa danga la jf?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom