Sasa huyu wa kwangu sjui kaburu, au mpemba hebu ngoja nikamuangalie tena ntarudi
Muache kuloweka ovyo, ndo itakuwa pona yako. Ili usingiziwe mtoto ni lazma uwe umeshafanya nae ngono bila kinga. Ukiuwaza ukimwi utaepuka kibebeshwa mtoto, period!
Muache kuloweka ovyo, ndo itakuwa pona yako. Ili usingiziwe mtoto ni lazma uwe umeshafanya nae ngono bila kinga. Ukiuwaza ukimwi utaepuka kibebeshwa mtoto, period!
Wanaume tuwe waangalifu sana tunalea watoto wasiokuwa wetu.Kuna dada mmoja tunafanya naye kazi yeye ni mjamzito alikuwa anadili na jamaa wawili, huyu jamaa wa kwanza ana mke na mke wake yuko mbali na ndio aliyempa ujauzito na ndiyo demu anampenda sana.Huyu wa pili yeye ndiye aliyekuwa analazimisha penzi lakini hapendwi na mambo yake yako freshi.Demu kachekecha kaona haina jinsi kaamua kumuuzia jamaa wa pili msela kakubali.Tuwe makini sana wanaume hawa wanawake wana siri kubwa usikute hata huyo mtoto sio wako hebu mwangalie kichwa unafananae kweli angalia na hayo masikio situka baba unaibiwa........................
Muache kuloweka ovyo, ndo itakuwa pona yako. Ili usingiziwe mtoto ni lazma uwe umeshafanya nae ngono bila kinga. Ukiuwaza ukimwi utaepuka kibebeshwa mtoto, period!
Wapo wanawake wajanja huwatafuta wanaume ambao wote wawili wanafanana kwa kiasi japo si kivile ili mtoto akizaliwa unabambikiwa lakini unakuwa ngumu kujua kwani sura inakuja kuja kiasi ukiambiwa mtoto si wako hauwezi kuamini kabsa kumbuka hata kwenye DNA napo huko uchakachuaji mwenye nazo atapewa majibu sahihi na asiyena kitu lazima ile kwako Chezea bongo wewe..
Wanaume wasiojua elimu ya maumbile ya mwanamke ndio wenye hatari ya kubambikiwa...
mkuu hik ulichoeleza si cha kuachia njian funguka zaid .
Il tatzo ni kubwa mno hapa bongo