Hapo ndipo upotoshaji unapoanzia. Kuwa na serikali Tatu hakufanyi kuwa muungano umevunjika. Kuwa na serikali tatu ni njia ya kupunguza kero zilizotokana na serikali mbili ili kuwa na muungano imara wenye uwazi na unaokubalika na wote huku kukiwa na equal bargaining kati ya Watanganyika na Wazanzibari.
kweli wewe ni batili, unaleta revision za sheria ndo unasema ni mwanzo wa sheria, kwa kuwa hauelewi chochote kwenye historia ya sheria za nchi hii naona tuishie hapo...nikudokeze tu kuwa baadhi ya sheria za nchi hii kabla ya kuwa ratified na bunge la tanganyika na Tanzania zilikuwa zinaitwa ordinaces, hizi zilitungwa na mkoloni na baadhi yake bado tunazitumia mpaka kesho,zipo hata tulizoletewa na wahindi na waingereza .... kuna vitu vichache tulikuja kubadilisha na kuziita sheria, ila kwa kuwa wewe na lissu ni vitu viwili tofauti na apo mmoja ni batili, basi kama uelewa wako ni kuwa sheria ulizozitaja zimeanza miaka ya 70 basi inawezekana watu wengi wana mawazo batili.
Waheshimiwa..mchungaji aliye bora ni yule mwenye kukaa na wakosaji na kuwasafisha na kamwe sio yule anayetazama walio wasafi tu na kunyooshea vidole walio wachafu...mistakes have alredy done....na kama unafuatitia.upuuzi wote huo ulifanywa hata kabla ya uzao wa Tundu lisu...sasa he need support kurekebisha haya na sio kunyooshewa vidole...atawezaje kurekebisha uchafu ulio ndani ya usafi pasipo kushika vyote uchafu na usafi?tunatumia hizihizo mamlaka batili na kuzikomboa kua halali na kuondokana na ubatili
Sasa wewe mshazari...nakusemasema kote huko hiyo hati wewe umeiona?na kama umeiona una uhakika na ualali wake?kwani hakuna Samsung galaxy note 3 ya mchina na inafanana copyright na original?kwanza kikawaida mahali penye documents nyeti za kusaign maandalizi huwa mpaka kalamu za kusign zinaandaliwa...iweje Nyerere asign na kalamu ya blue then Karume asign na nyeusi hafifu?kama hati hiyo ni halali iweje tume halali ya warioba iliyopewa dhamana na Rais wanyimwe na hivyo kukabidhi Rasimu pasipo hata kuona sura ya hati?iweje vwai naodha aseme hati ipo UN wakati Msekwa anasema kilichopelekwa bungeni ni document ambazo hata hazikua na signature?...acha pumba wewe
Katika sheria zote ipi ambayo ilikuwa Ordinance? Mambo mengine unayarukia tu hata huyajui! Yaani Sheria ya mwaka 1978, 1992 au 2005 itungwe na Mkoloni? Watu wengine bwana!
How, if I may ask?
I have heard him (Lissu) today elaborating the Nyerere saga and Article of Union signature controversies..., he has a valid point and he has used a very right approach. Very right approach, because, all of his explanations are based on facts, logical order, and very relevant assumptions.
Judge it logically and not ideologically. Start parking your bags cowardTundu Lisu katoa ufafanuzi vizuri kama MTU hataki kuelewa basi.
Tundu Lisu katoa ufafanuzi vizuri kama MTU hataki kuelewa basi.