Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

Ukweli lisu amehudhuria chuoni. Sasa anaponzwa na kubebeshwa maneno. Oh mwana sheria nguli. Ama kweli majanga
ooowoo makanga
 
Hapo ndipo upotoshaji unapoanzia. Kuwa na serikali Tatu hakufanyi kuwa muungano umevunjika. Kuwa na serikali tatu ni njia ya kupunguza kero zilizotokana na serikali mbili ili kuwa na muungano imara wenye uwazi na unaokubalika na wote huku kukiwa na equal bargaining kati ya Watanganyika na Wazanzibari.

Hebu nipe sababu zitakazoifanya Zanzibar ianze kuiheshimu Katiba ya Muungano wa "Serikali 3/Nchi 3!"
 
Chadema kama hawataangalia itakuja kuwakuta ya nccr mageuzi kipindi kile na ndiko wanakoelekea.
Mambo mengine wanakurupuka sana hasa likifikia suala limesemwa na mwanasheria tundu lissu basi bila utafiti wowote na hii mara nyingi huwa n kugharimu chama na kuonekana kama hakina mwelekeo.
Nguvu aliyotumia tundu lissu juzi kusema hakuna hati inasikitisha sana jaman kuna vitu vingine huitaji degree kufikiria haiwezekani suala kubwa kama hili hati kukosekana jaman tuwe na upeo mnatufanya hata ss tusio wanachama wa chama chochote kushindwa kuamua hasa nn kinatuongoza
 
kweli wewe ni batili, unaleta revision za sheria ndo unasema ni mwanzo wa sheria, kwa kuwa hauelewi chochote kwenye historia ya sheria za nchi hii naona tuishie hapo...nikudokeze tu kuwa baadhi ya sheria za nchi hii kabla ya kuwa ratified na bunge la tanganyika na Tanzania zilikuwa zinaitwa ordinaces, hizi zilitungwa na mkoloni na baadhi yake bado tunazitumia mpaka kesho,zipo hata tulizoletewa na wahindi na waingereza .... kuna vitu vichache tulikuja kubadilisha na kuziita sheria, ila kwa kuwa wewe na lissu ni vitu viwili tofauti na apo mmoja ni batili, basi kama uelewa wako ni kuwa sheria ulizozitaja zimeanza miaka ya 70 basi inawezekana watu wengi wana mawazo batili.

Katika sheria zote ipi ambayo ilikuwa Ordinance? Mambo mengine unayarukia tu hata huyajui! Yaani Sheria ya mwaka 1978, 1992 au 2005 itungwe na Mkoloni? Watu wengine bwana!
 
Waheshimiwa..mchungaji aliye bora ni yule mwenye kukaa na wakosaji na kuwasafisha na kamwe sio yule anayetazama walio wasafi tu na kunyooshea vidole walio wachafu...mistakes have alredy done....na kama unafuatitia.upuuzi wote huo ulifanywa hata kabla ya uzao wa Tundu lisu...sasa he need support kurekebisha haya na sio kunyooshewa vidole...atawezaje kurekebisha uchafu ulio ndani ya usafi pasipo kushika vyote uchafu na usafi?tunatumia hizihizo mamlaka batili na kuzikomboa kua halali na kuondokana na ubatili

Lissu anatoa uchafu kisha anajipaka yeye, that's the problem!
 
Sasa wewe mshazari...nakusemasema kote huko hiyo hati wewe umeiona?na kama umeiona una uhakika na ualali wake?kwani hakuna Samsung galaxy note 3 ya mchina na inafanana copyright na original?kwanza kikawaida mahali penye documents nyeti za kusaign maandalizi huwa mpaka kalamu za kusign zinaandaliwa...iweje Nyerere asign na kalamu ya blue then Karume asign na nyeusi hafifu?kama hati hiyo ni halali iweje tume halali ya warioba iliyopewa dhamana na Rais wanyimwe na hivyo kukabidhi Rasimu pasipo hata kuona sura ya hati?iweje vwai naodha aseme hati ipo UN wakati Msekwa anasema kilichopelekwa bungeni ni document ambazo hata hazikua na signature?...acha pumba wewe
 
Mkuu hujaelewa hata kidogo maana ya mada hii! Kama Muungano ni BATILI maana yake hata mchakato wenyewe wa kutunga Katiba Mpya ni BATILI
 
Nimeelewa sana....that's another issue...nilichojaribu kuchangia hapo ni suala kwamba haya hati hiyooooo...and that's all....nikasema suala hapa sio hati hiyoooo...issue ni uhalali wa hati hiyo...
 
Unamtaka nani akupe ushahidi kuwa ni hati halisi. Mtaje kwa jina unaye mwamini akuthibitishiye. Usiwe kama Tundu. Hili jina gumu sana.
 
Halafu tazameni hayo mapendekezo sasa huko KTK kuwapata viongozi hasa wabunge. Rasimu imependekeza wasomi na kweli wasomi na wameongeza siku 60 kama yalivyo andika magazeti ya Leo. Watakapo Julia viti na hizo kalamu tutakoma.
 
Katika sheria zote ipi ambayo ilikuwa Ordinance? Mambo mengine unayarukia tu hata huyajui! Yaani Sheria ya mwaka 1978, 1992 au 2005 itungwe na Mkoloni? Watu wengine bwana!

unajua sheria ya elimu ilitungwa mwaka gani wakati na kabla ya uhuru? acha kuangaika na usivovijua , na siwezi kuendelea kukuelimisha bure wewe, hii elimu tunaitoa kwa gharama sio bure, sasa unajifanya mbishi ili uelimishwe bure, kwa heri!
 
How, if I may ask?

I have heard him (Lissu) today elaborating the Nyerere saga and Article of Union signature controversies..., he has a valid point and he has used a very right approach. Very right approach, because, all of his explanations are based on facts, logical order, and very relevant assumptions.
 
Tundu Lisu katoa ufafanuzi vizuri kama MTU hataki kuelewa basi.
 
Muungano HARAMU huzaa nchi haramu(Tanzania), nchi haramu huundwa na watu haramu(watanzania).
Thanks TUNDU LISU, kwa kututukania baba wa taifa letu.tunashukuru kwa kumtukana MWENYEHERI NA MTAKATIFU MTARAJIWA. amini nakwambia, umeshachonga msalaba na UTABEBA KWA UCHUNGU MKUBWA KUELEKEA KATIKA ANGUKO LAKO KUU(KUSULUBIWA). time will be a vivid witness
 
Thread nyingine Bwana , yaani asiende shule kwa kuwa Chuo kimesajiriwa na serikali batili? Tusifanye biashara maana sharia za TRA na wizara ya Viwanda na Biashara ni za serikali batili? Tusinunue Viwanja maana Ardhi inasimamiwa na serikali Batili .What a shit!!!! Yaani uelewa wako ndo basi umeishia hapo? Huna tofauti na Lukuvi eti serikali tatu zitaleta mapinduzi ya kijeshi, au CCM eti vyama vingi vitaleta vita kama ya Rwanda na Burundi.
 
Kazi kweli kweli bado mpo tu na lisu. Kisha komba manoti huyoooo hadi pasaka tulivuuu. Wewe na mm tujaze pesa tu ktk haya makampuni ya cm. Faida kwa lisu na mitandaoni. Ndo uchungu wetu kwa taifa. Kujipa hasaraaaaa2
 
Tundu Lisu katoa ufafanuzi vizuri kama MTU hataki kuelewa basi.

Atoke Bungeni aendelee na shughuli zake, tumechoka dharau zake dhidi ya Mwasisi wa Taifa hili. After all kasomeshwa bure na baba wa Taifa leo analeta dharau hizi mbaya!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom