Duh. We mkaliDawa yake kidumu. Mimi huwa ninachumba ya maji ya lita moja kwenye gari. Nikifika nawatisha kuwa nataka kwanza lita moja ya kwenye hiyo chupa, wakichomoa nasepa. wakikubali nanunua lita moja kwanza alafu ndio naweka kwenye tank ya gari.
HIZI SIO NYAKATI ZA KUONEANA AIBU
Ivi kituo cha Puma pale Ubungo Riverside kalibia na Landmark wao awachakachui mafuta na pale maeneo ya Kimara BarutiKuna vituo wako vizuri saana. Kuna Total Mlimani City na PUMA mandela road. Vingine huwa siwaelewi.
Wakala wa vipimo ni binadamu kama binadamu mwingine mwenye matatizo Kwa iyo Rushwa anachukua kama kawaidaKwa wakala wa VIPIMO ni muhimu kuzikagua hizi pump kila kituo mara kwa mara.
Mkuu wewe ni kiboko...nimecheka sanaWewe ndiyo umejua leo. Wenzio kila gari lina kidumu unanunua kisha unaenda kuwekea mbele mwenyewe. Siyo huko Sinza tu ni karibu vituo vyote
Jamaa ana akili sana huyu.Inatakiwa mipira ambayo ni transparent. Wese likipita tu unaona
Si unawaambia naenda kuweka katika jenerata, watakataaa kwani?Asee mi wamenifilisi basi..
Mwaka wa tano huu ila kuanzia Leo ni dumu kwa kwenda mbele...
Hivi sheli wanakubali ushushe dumu ukiwa na gari hapo hapo?
Inaonyesha ndiyo mpango wa kujiongezea faida wa vituo vingi.[emoji15] [emoji15] [emoji15] Kumbe ndivyo ilivyo, mm huwa nashangaa nikiweka mafuta ya kias flan kwenye sheli flan yanachukua round ila kuna siku nikiweka mafuta ya kiwango kile kile kwa sheli nyingine yanawah kuisha
Yes..na ndio sheli yangu Mara nyingiIle ya Gbp?
Kwa hiyo kama anamiliki Gari? What's so special?Alitaka kutujulisha tu naye anamiliki gari
Swala la kuchimba kisima nyumbani umeongea kama vile kitu simple tu, kuna swala la tahadhari petroli sio maji kwamba kila mtu ajenge kwenye yard yake unataka kuleta maafa katka jamiiDawa yao ni kujenga ka shell kadogo nyumbani kwako! Angalau ukichimbia katenk ka Lita 10000 Lt unatumia hadi unasahau!
Ni suala la bajeti tu!
Tenga eneo la nyumba yako iwe mfano Wa yard! Chimbia tank chini, nunua pump zile ndogo funga Kwa matumizi yako! Yakiisha unajaza tu!
Yanini kujipa stress na mafuta ambayo hujui ubora wake?
FAIDA ZA KUJAZA GARI FULL TANK
1. Mafuta hayatumiki sana, kinachotumika sana hapo ni gas inayokuwa generated ndani ya tank..tofauti ni kwamba mtu anayeweka mafuta ya kibaba yanapofika ndani ya tank yanasambaa na kuisha mapema tofauti na aliyejaza full tank.
2. Uhakika Wa safari ni mkubwa
3. Unaepuka uwezekano Wa pump kufuta uchafu uliochini unaweza leta madhala kwenye injini.n.k
MADHALA YA MAFUTA MACHAFU KWENYE GARI
1. Injini kufa mapema.
2. Petrol filters kuziba au kutoa uchafu.
3. Gari kuanza kumisi na kupoteza nguvu.
4. Gari kutoa moshi mwingi
5. Gari kuzima au kutetemeka.
6. Service za Mara Kwa mara
Kwa maelezo zaidi Jinsi ya kufanya mafuta yako yasiishe haraka hata Mara mbili zaidi ni PM nikupe dawa ya kudilute
Wizi ndo huu hapa hata mikoani upo sana.Nimeona watu wakiibiwa zaidi ya mara mbili kwenye vituo tofauti.Ni vizuri kuwa makini.Hii nimeiona mara nyingi sana: Pump unayoshinikiziwa kupark gari huwa mara nyingi inakuwa imetoka kujaza volume ndogo ya mafuta kwenye chombo kingine cha moto, so ukipark hapo wanaanza kufuel kwako bila kuanzia ZERO reading ya meter yao (Mostly utakotakuta either imetoka bajaji or bodaboda) unaishia kulipa 20,000/= kumbe umewekewa mafuta ya 14,000/= hiyo 6000 ni faida kwake.
Pia huwa wanakuchangamkia mwingine anakuongelesha mwingine anaweka pump kwenye gari na kujifanya wamesahau kukuuliza waweke mafuta ya sh. ngapi na wanakwambia wameshaanza kuweka. Tabia hii ipo sana sheli za fulani hapa maeneo ya ubungo.
Huwa nikifika hapo nazima gari nashuka kabisa ndio naanza kuonea nao
Ungekuwa unaumri wa kutoshabusingeona kuwa na gari mtu anahitaji kujitangaza,ndiyo maana najua bado mtoto ambae unaonga gari ni kitu kikubwa sana,mshamba we!.Unajua nina umri gani? Ndio maana nakuona ni limbukeni,mpuuzi mkubwa