Jinsi tunavyoibiwa petrol station

Mimi nawaambiaga tu weka full huku nikihakikisha inaanza kusoma kwenye zero baada ya hapo nasinzia nakuja kuamshwa wameshajaza...nafuta kilometers kuanzia zero zikifika 390km naenda tena...ole wao isifike 390km wananijua maana gauge ilishakufa
Ha ha ha,lakini kuna factors nyingi zinazosababisha fuel consuption kuwa tofauti na mazoea,moja wapo ni foleni ya muda mrefu na pia mwendo wa kutumia gear kubwa yaani below 30km/h.
Pia acceleration inayopelekea speed ya above 90km/h, labda uwe na speed yako maalum na unajua hukai foleni.
 
Mkuu hapo ndio nimeweka na hizo factors zingine...ila ikifika 390 ndo naenda kujazilia tena ila wese linakuwemo kiasi
 
Hushikeshike pump, set kuanzia zero na huwache ijae nyenyewe,ukishika shika pump nakumaidi coz ndio wizi huo
 
Hujui unachoongea!
 
Kwakuwa mi najaza full tank sijawahi kujua hilo
 
Ndivyo ilivyo,ila wametutafuna sana.
Asee mi wamenifilisi basi..
Mwaka wa tano huu ila kuanzia Leo ni dumu kwa kwenda mbele...

Hivi sheli wanakubali ushushe dumu ukiwa na gari hapo hapo?
 
Sheli ya pale Sinza mapambano naona watu wanaisifia sana
 
Scientifically tunashauriwa kuweka mafuta ya gari alfajiri sana,

Kwa sababu mafuta yalipopigwa na baridi usiku mzima yanasinyaa na kuwa na ujazo mdogo zaidi, so ukiweka asbh unapata mafuta ya letsay lita 5 ila unapokuwa unayatumia mchana kipindi jua linapokuwa kali au kutokana na kutanuka kwa sbb ya joto la gari yanakuwa na ujazo mkubwa zaidi (ingawa sio sana).

Effect hii inaonekana kwa dhahiri kwa wale wasafiri wa masafa ya mbali ambao wanaweka mafuta asbh saana na wanakwenda safari ndefu
 
ushahama mwanza umekwenda jiji la bashite mbona hujatuaga huuku
 
Thread ya kipumbavu hii ugunduzi usio na ushahidi
 
Naona umetetea Sana au nikutokana na jina hilo unalotumia(metrology)???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…