Jinsi taasisi zinavyopaniki zinapoanikwa hapa JamiiForums

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,716
JamiiForums is Where we Dare to Talk Openly. Hii ndiyo slogan yetu,kufunguka. Tunafunguka katika nyanja zote kijamii, kisiasa, kimataifa, kimapenzi nk. Hata wale wasioweza kupata ujasiri wa kufunguka hadharani, Mkuu Melo na wenzie wametupa Jukwaa la kutema sumu.

Sasa basi, members kibao wamekuwa wakileta tuhuma nzito kuhusu mamlaka za serikali, taasisi na watu binafsi.

Kama hufahamu tuhuma hizi nzito zimekuwa mwiba mkali sana kwa wahusika. Msichukulie poa, misumari huwa inawaingia vizuri tu.

Binafsi nimeshuhudia paniki kibao katika maofisi ya umma kuhusu tuhuma za taasisi au mtumishi wa taasisi kuanikwa hapa JF.

Mara ya kwanza kuna bosi mmoja wa Halmashauri alituhumiwa kula watumishi wake, akatuhumiwa kutumia cheo chake kuchakaza kila mwanamke mwenye shida ya kiofisi. Asikwambie mtu, kesho yake ile ofisi ilikuwa kama imefiwa. Kikao kisicho rasmi kiliitishwa kujiuliza nani kamfunga paka kengere? Azimio ikawa kuna watu mlemle wameamua kukashfu na azimio ikawa kujibu na kukashfu wale waliohisiwa.

Baadae tena kikao cha kiofisi kikaitishwa ili kuwasiliana na JamiiForums kuwauliza nani kaleta tuhuma hizo. Nikaona hawa mabosi washamba.

Baadhi walikiri kuwa shutuma hizo ni za kweli ila ni mambo binafsi.

Kiufupi, stori za JF za kuanika uchafu wowote huwa zinaleta paniki kubwa sana huko field.

Vipi huko kwako, umewahi kushuhudia paniki yoyote ya mtu au taasisi baada ya uchafu wake kuletwa humu? Tuambie
 
Mimi mara kibao tu, tena mbaya zaidi tuna magroup ya WhatsaApp kwa ajili ya kupashana taarifa za maendeleo ya taasisi yetu. Kikitumwa huku kitu chochote watu wata ki cumpture kama kilivyo na kukipeleka huko - sikilizia moto wake.

Yaani mhusika anaweza akajinyonga kwa kusakamwa.
 
Samahani wadau Mbunge wa Temeke amesema CHADEMA ni chama cha fujo kifutwe.
Anadai wimuuwa Akwilini na mengine kibao.

Mnisaidie huyu jamaa kama sio mnafiki kitu gani?

Akwilini alipigwa risasi na polizi nchana kweupe Mkuu wa polisi akasema wanachunguza!
Tundu Lissu mchana kweupe kapigwa risasi wapigaji hawajakamatwa hadi leo.

Mabinti wamekwenda kumpokea M/Kiti Toka Gerezani wakapigwa hadi kulazwa Hspl.
Sasa fujo za CHADEMA ni zipi hadi kifutwe usajiri?

Tusaidiane jamani au tumeshindwa upinzani TZ tuwe na chama kimoja??
 
Nilishuhudia post ya jamaa ambaye walitaka kumuolewa ndugu yao mwanamke

Ambae hawa kujua Dini yake na malezi yake ndugu yao na ndugu yetu wote walikurupuka kisha wakapeana mimba
Hivyo wakataka wawaidhinishe

Kumbe majamaa yana udini baada yakujua dini ya mwenzangu namie yakaghahili ndipo jamaa akaja huku na kupanik huku akionyesha kutudisi

Na me ile post niliiona ila sijawahi kuiambia familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishuhudia post ya jamaa ambaye walitaka kumuolewa ndgu yao mwanamke
Ambae hawa kujua Dini yake na malezi yake ndugu yao na ndugu yetu wote walikurupuka kisha wakapeana mimba
Hivyo wakataka wawaidhinishe
Kumbe majamaa yana udini baada yakujua dini ya mwenzangu namie yakaghahili ndipo jamaa akaja huku na kupanik huku akionyesha kutudisi
Na me ile post niliiona ila cjawahi kuiambia familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio wewe baada ya kuanikwa humu haukupanic?
Kama haukupanic basi hii mada itakua haikuhusu, humu leo wanazungumziwa waliopanic baada ya kuanikwa humu jukwaani.

Maendeleo hayana chama
 
Siku za nyuma kidogo uliwekwa uzi wa watoto wa vigogo ktk baadhi ya taasisi za umma. Ule uzi ulipeleka moto mzito sana kuliko hata watu wanavyodhani.

Na habari zako za ufanisi mbovu zikianza kujadiliwa humu kama wewe ni mteule ktk nafasi yako, siku si nyingi utatenguliwa.
 
Nilishuhudia post ya jamaa ambaye walitaka kumuolewa ndugu yao mwanamke
Ambae hawa kujua Dini yake na malezi yake ndugu yao na ndugu yetu wote walikurupuka kisha wakapeana mimba
Hivyo wakataka wawaidhinishe

Kumbe majamaa yana udini baada yakujua dini ya mwenzangu namie yakaghahili ndipo jamaa akaja huku na kupanik huku akionyesha kutudisi
Na me ile post niliiona ila sijawahi kuiambia familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wake ukawaje
 
Samahani wadau Mbunge wa Temeke amesema CHADEMA ni chama cha fujo kifutwe.
Anadai wimuuwa Akwilini na mengine kibao.

Mnisaidie huyu jamaa kama sio mnafiki kitu gani?

Akwilini alipigwa risasi na polizi nchana kweupe Mkuu wa polisi akasema wanachunguza!
Tundu Lissu mchana kweupe kapigwa risasi wapigaji hawajakamatwa hadi leo.

Mabinti wamekwenda kumpokea M/Kiti Toka Gerezani wakapigwa hadi kulazwa Hspl.
Sasa fujo za CHADEMA ni zipi hadi kifutwe usajiri?

Tusaidiane jamani au tumeshindwa upinzani TZ tuwe na chama kimoja??
Achana nae mshamba yule
 
Mtolea hana nafasi kwenye hilo jimbo sasa anatafuta huruma ya mkulu ili nae aonekane asisahauliwe kwenye kula za maoni, lakini kwa ufupi mamluki wote wajiandae kisaikolojia
Samahani wadau Mbunge wa Temeke amesema CHADEMA ni chama cha fujo kifutwe.
Anadai wimuuwa Akwilini na mengine kibao.

Mnisaidie huyu jamaa kama sio mnafiki kitu gani?

Akwilini alipigwa risasi na polizi nchana kweupe Mkuu wa polisi akasema wanachunguza!
Tundu Lissu mchana kweupe kapigwa risasi wapigaji hawajakamatwa hadi leo.

Mabinti wamekwenda kumpokea M/Kiti Toka Gerezani wakapigwa hadi kulazwa Hspl.
Sasa fujo za CHADEMA ni zipi hadi kifutwe usajiri?

Tusaidiane jamani au tumeshindwa upinzani TZ tuwe na chama kimoja??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JamiiForums is Where we Dare to Talk Openly. Hii ndiyo slogan yetu,kufunguka. Tunafunguka katika nyanja zote kijamii, kisiasa, kimataifa, kimapenzi nk. Hata wale wasioweza kupata ujasiri wa kufunguka hadharani, Mkuu Melo na wenzie wametupa Jukwaa la kutema sumu.

Sasa basi, members kibao wamekuwa wakileta tuhuma nzito kuhusu mamlaka za serikali, taasisi na watu binafsi.

Kama hufahamu tuhuma hizi nzito zimekuwa mwiba mkali sana kwa wahusika. Msichukulie poa, misumari huwa inawaingia vizuri tu.

Binafsi nimeshuhudia paniki kibao katika maofisi ya umma kuhusu tuhuma za taasisi au mtumishi wa taasisi kuanikwa hapa JF.

Mara ya kwanza kuna bosi mmoja wa Halmashauri alituhumiwa kula watumishi wake, akatuhumiwa kutumia cheo chake kuchakaza kila mwanamke mwenye shida ya kiofisi. Asikwambie mtu, kesho yake ile ofisi ilikuwa kama imefiwa. Kikao kisicho rasmi kiliitishwa kujiuliza nani kamfunga paka kengere? Azimio ikawa kuna watu mlemle wameamua kukashfu na azimio ikawa kujibu na kukashfu wale waliohisiwa.

Baadae tena kikao cha kiofisi kikaitishwa ili kuwasiliana na JamiiForums kuwauliza nani kaleta tuhuma hizo. Nikaona hawa mabosi washamba.

Baadhi walikiri kuwa shutuma hizo ni za kweli ila ni mambo binafsi.

Kiufupi, stori za JF za kuanika uchafu wowote huwa zinaleta paniki kubwa sana huko field.

Vipi huko kwako, umewahi kushuhudia paniki yoyote ya mtu au taasisi baada ya uchafu wake kuletwa humu? Tuambie
Kuna ishu moja ilishawahi kulipotiwa JF juu askari mmoja wa Jwtz kuwapiga watuhumiwa akishirikiana na migambo ndani ya ofisi ya kata,huko Mza. Tukio lilitokea ndani ya ofisi ya mtendaji wa kata ya kahama,wilaya ya ilemela,askari huyo aliwapiga watuhumiwa na mmoja alifariki alikuwa akiwatuhumu kuiba Tv. Ishu hii ilitaka kuzimwa kiaina. Ila baada ya kuwekwa humu nasikia watu matumbo joto.
 
Back
Top Bottom