Mkuu umeongea kitu cha msingi sana na umejifikiria nje ya box kitu ambacho hakuna mwanajf yoyote aliyeng'amua kwa sasa.
Vifo vya watoto wa kiume kwenye ukoo wetu ni vya kutatanisha.
Mdogo wangu hakufikisha miaka 10 akafa ndani ya usiku mmoja, inasemekana damu ilikauka, moyo ukafeli ndani ya usiku mmoja huo alifariki, wakati jioni yake alikuwa mzima kabisa.
Mama wa mtoto hajaolewa ila hatuwezi kuwa pamoja tena
Mtoto wangu alifariki kwa njia ya ajabu sana, hiki kisa nilileta humu, hebu pitia post zangu utakikuta.
Nitafuatilia zaidi kuhusu hilo mkuu.