Swali lako gumu.....Lazima uwe na mipango yako ya maisha ukiomba ushauri unajazia kwenye mipango yako.Kwahiyo vipi nikubali baada ya kumaliza?
Sawa sawa mkuu hapo umenena kabisa.Wabane kwanza wakutengenezee misingi ya kijitegemea haraka kama wanavyokulazimisha kuoa haraka, yaan kama baba anahitaji uwe na familia mwambie akufanye kwanza uweze kujitegemea wewe kama wewe kwenye mahitaji ya msing, akuwezeshe kwenye biashara au kilimo au chaguo lolote lilibora kwako kwanza,
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu.Mkuu umri sahihi wa kuoa ni huo ulio nao ukioa inakupnguzia jam ya kuhangaika na wasichna wengne huko nje mke ni jambo la baraka atakupa nguvu atakupa courage ya kutafuta maisha umri ukiienda ni chngmoto sna kwa msisha ya siku hz
Ndgu zetu waislam wao wna utaratibu mtoto wa kiume akikuua tu wanamtafutia mtu aoe ili imsaidie atulie kimaisha
The earlier the better hkuna muda utafika unasema unajipnga kila siku ni kujipnga anza sasa kujipanga huwa hakuishi ktk maisha
Mkuu devion sio wewe tu suala la kuoa kwa sasa ni changamoto sna kwetu ss vijna lkn tafuta mtu ambae unaona mnaeweza kuendana nae muangalie back griund yake ndg zke origin yke na anafanya nn kwenye mausha ukiridhika muoe endeleni kutafuta maisha pmja mkishirikiana kupanga mambo yenu na kuomba Mungu awaongoze ktk maisha yenu hutajuta trust meNashukuru sana kwa ushauri wako mkuu.
Kinachoniumiza ninahisi hata muda ukienda nitakuwa sipo tayari pia.
hilo Ndio tatizo kubwa la vijana napapuchi zimekuwa rahisi sana kuzipata Ndio sababu Hutaki kuoaMashine inasimama 4g.
Historia niliyonayo kuhusu mahusiano, ni Mungu tu anisamehe, nimebadilisha wanawake, sitaki kukumbuka kabisa.
Kuna wale wadada ukishaingia kwenye mahusiano baada ya wiki moja anata ndoa. Ukimpa sababu kuwa hauko tayari kimaisha sababu bado hujajijenga hawakuelewi.Hakikisha wamekuwekea mazingira ya kujitegemea na kumudu kuhudumia familia kwanza kabla kuoa vinginevyo utahangaisha mkeo na watoto utakaowapata
Yes huyu mke mwema ni variable. Tatizo akuwapata wake wema ni shughuli na huku muda unaenda kasi?Oa mkuu usiogope changamoto, hakuna changamoto isiyotaturika na ukipata mke mwema changamoto zitapita tu na kukuimarisha pia
Unapaswa kutumia imani yako kumuomba MUNGU akusaidie kwa hilo, maana changamoto kubwa ya kuoa no kumpata wa kuoa .Yes huyu mke mwema ni variable. Tatizo akuwapata wake wema ni shughuli na huku muda unaenda kasi?