Jinsi suala la kuoa linavyonipa shida

Jinsi suala la kuoa linavyonipa shida

Sawa sawa mkuu.

Mke mwema kwa sasa ni shughuli nzito sana kumpata.

Wengi wako kimaslahi.

Haaa mkuu, kwa upande wangu kila nkitongoza demu ambae naona anaweza faa kuwa mke wangu its either:
1)Ataniomba pesa ndani ya wiki moja tangu tufahamiane
2) Atakuwa hanipendi kihivyo

So kupata mke inakuwa kaazi ngumu Devion
 
Moja ya majuto niliyonayo maishani ni kuchelewa kuwaza kuhusu ndoa. Ndoa kwa ujumla haina kuchelewa wala kuwahi, vyote ni sawa nut natamani sana kama ningewahi ....

Ndoa ni jambo jema sana ila tu kama utampata mwenza mwema.
 
Daah yaani hapo ndio changamoto.

Wa kumuoa atakayekubali kupambana ni shida kabisa.

Mwanamke anaweza kuambia atavumilia shida ila hilo jambo halitoki moyoni.
 
tafuta kazi kwanza ya kukuingizia kipato, komaa nayo hadi uwe na uwezo wa kujikimu wewe na familia yako, ukioa kwa kutegemea misaada utadharaurika na wa kwanza kukudharau atakuwa ni mkeo, maana hutokuwa na kauli wewe, mke atakuwa ni kama mke wa ukoo, jambo ambalo katika ndoa ni mwiko kuingiliwa maamuzi...pia utato...wa mke kama wewe mwenyewe umesema hujui hata namna ya kuingiza mia kwa siku
 
Tatizo ulilonalo huna mpenzi wa kuoa,ungekuwa nae ungeoa wasukuma wengi ndo walivyo wanahudumia watoto wao wa kwanza wewe kazi yako inakuwa kudinya tu na kuendeleza kufatilia shughuli za mzee
I wish ningekuwa msukuma.ningepiga mashine mimi afu babu yao akalee
 
Moja ya majuto niliyonayo maishani ni kuchelewa kuwaza kuhusu ndoa. Ndoa kwa ujumla haina kuchelewa wala kuwahi, vyote ni sawa nut natamani sana kama ningewahi ....

Ndoa ni jambo jema sana ila tu kama utampata mwenza mwema.
Pole sana mkuu uliingia ndoani ukiwa na umri gani
 
Kwenye harusi watakupa kila kitu na babako atakupa mtaji we andaa business plan mshua atamaliza oa dogo maisha ndo haya haya
Sawa ngoja nipambane kutafuta mke mkuu, ukimuona huko niambie.
 
Mkuu devion sio wewe tu suala la kuoa kwa sasa ni changamoto sna kwetu ss vijna lkn tafuta mtu ambae unaona mnaeweza kuendana nae muangalie back griund yake ndg zke origin yke na anafanya nn kwenye mausha ukiridhika muoe endeleni kutafuta maisha pmja mkishirikiana kupanga mambo yenu na kuomba Mungu awaongoze ktk maisha yenu hutajuta trust me
Hapo sawa mkuu itabidi umakini uwepo kwa mtu ninayetaka kumuoa.
 
I wish ningekuwa msukuma.ningepiga mashine mimi afu babu yao akalee
Kasema yeye ni mkurya wasukuma wana mila hiyo mtoto wa kwanza wa kiume,mimi nlikuwa huku lakini inategemea na aina ya mwanamke kwa mimi siwezi napendaga ile manhood mwanaume atimize si baba mkwe
 
Sawa ngoja nipambane kutafuta mke mkuu, ukimuona huko niambie.[/QUOTE]
🙂🙂🙂 sawa mkuu nitamshika mkono kabisa na kumleta kwako mpe mzee furaha yake uzee mzuri ni kucheza na wajukuu kupikiwa na mkwe.Mpe furaha mzee
 
Kasema yeye ni mkurya wasukuma wana mila hiyo mtoto wa kwanza wa kiume,mimi nlikuwa huku lakini inategemea na aina ya mwanamke kwa mimi siwezi napendaga ile manhood mwanaume atimize si baba mkwe
Teh teh hutaki masimango ya ndugu.ni kweli aisee vya kupewa na watu nyuma maneno hayaishi.
 
Teh teh hutaki masimango ya ndugu.ni kweli aisee vya kupewa na watu nyuma maneno hayaishi.
no siyo masimango mimi ni mtizamo wangu huo mwanamme ndo natakiwa atake care of his family not his daddy,incase akiwa hayupo sawa ila mimi mwanaume wa kunioa mkwe atimize kila kitu hapana aisee kwanza mimi mwenyewe mpambanaji ninakuwa najiskia vibaya sana nlishakuwa na mahusiano na familia ya dizaini hiyo yaani nlikuwa najiskia vibaya sana ila mwanaume yeye anaona kawaida tu na kwao wote wanaoa kawaida
 
Ni kweli aisee.hakuna hela tamu kama ya jasho lako mwenyewe.Hyo ya mtoto kuhudumiwa kila kitu mara nyingi unakuta ni wale precious baby kwao.Wazaz wanadekeza hadi akiwa mkubwaa
 
Tatizo sio kuoa mapema,tatizo ni hela,tafuta pesa
 
Ni kweli aisee.hakuna hela tamu kama ya jasho lako mwenyewe.Hyo ya mtoto kuhudumiwa kila kitu mara nyingi unakuta ni wale precious baby kwao.Wazaz wanadekeza hadi akiwa mkubwaa
Acha tu na ukiolewa na familia hiyo ni shida wazazi na ndugu ndo wenye sauti yaani
 
KInachokupa shida sio kuoa, ni kupenda ... ona ilivyokuwa kwangu ...
Nilipomaliza masomo (nikiwa na miaka 22) tayari nilikuwa na mchumba ambaye naamini tulikuwa tunapendana sana. Alipenda kunitembelea nyumbani jambo nililoliona kama ni kero; hivyo niliamua kupanga chumba. Ili mambo yaende sawa ilibidi nimfanyie mpango wa kazi ili aweze kutoka nyumbani kwao moja kwa moja. Na hiyo ndo ilikuwa staili yangu ya kuoa. Mambo mengine niliyarekebisha wakati tunaendelea kuishi.
Kwa sasa nafurahia kuwa na watoto wakubwa ambao tunasaidiana kwa mambo mbalimbali.
Kuoa mapema kuna raha yake.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Acha tu na ukiolewa na familia hiyo ni shida wazazi na ndugu ndo wenye sauti yaani
Yeah Wazaz huwa wanaendesha kila kitu.hapo wanawake lazima ujute maana mpaka wakwe waamue ndio jambo linatendeka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom