Jinsi suala la kuoa linavyonipa shida

Jinsi suala la kuoa linavyonipa shida

Aone pale atakapopata mwenza sahihi awe na kazi asiwe nayo huyu inaonekana kwa sasa hata mahusiano serious hana alishapeleka tangazo mpaka love connect anatafuta mke,kwa sasa atulize kichwa aoe atakapopata mtu sahihi yuko under pressure
Uko sawa mkuu
 
Nililiona mkuu, maeneo niliyopo naona kila mwanamke ni wa thamani zaidi.

Si unajua chuo mkuu?
tulia mkuu usiwe na papara ndoa ni maisha mpaka unazeeka unatakiwa umpate mtu unayempenda kwa dhati,mnayeaminiana,mnayeheshimiana,mnayetiana moyo,mnayevumiliana na kusameheana mnayekubaliana yaani muwe kwenye flow moja nakiri kusema kwa wewe huwezi kupata kutokana na pressure uliyonayo acha tu mda uamue mzee unaweza tunga uongo wowote
 
Uko sawa tena mkuu, naona kwa pressure hii sitopata mtu kwa kweli, ngoja niache muda utaniamulia niwe na nani
 
mm nilishauriwa hivyo nilipowaambia mchumba wa kwanza na ni wa nyumbn kbs nlikatazwa kata kata
 
Wewe ndio dereva wa Maisha yako fuata unaloona linakufaa maishani mwako na ulisimamie kwa miguu yote miwili usiyumbe kwenye maamuzi yako. Hakuna mtu anayeweza kukutenga kwa kusimamia uamuzi wako. Nakushauri fuata moyo wako na si vinginevyo
 
Nilijitahidi kung'ang'ania tena juzi juzi tu nimepata ajali na huyo dada kanisaidia sana siwezi kuchuchumaa choon hadi niwekewe ndoo nikae na mengine mengi mama kaja kwangu kuniangalia amemkuta na yule binti yupo huku duh et siku aliyorud tumekaa tunaongea ananiambia tena nimwacho sio binti mwenye maadili mema[emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Story yako sijaielewa mkuu unaweza rudia kdg?
 
Baada ya kuajiriwa mwaka juzi nilishauriwa ili nisiyumbe kwenye maisha sababu ya mabinti ni heri nioe ili niweze kumtumia mke wangu kimaendeleo nikaanza kuufuata huo ushauri nikatafuta mchumba ambaye alinivutia nikaamua kumwambia mama angu kuwa ninamchumba now na ni mtu wa nyumbani pia tunaishi jirani dsm so nikachukulia na uzoefu wangu kwake kuwa itakuwa rahisi mno kudumisha amani kama tutaishi pamoja cha ajabu mama yangu alikataa kata kata kuwa hataki nioe huyo msichana kwa sababu zake alizoona kuwa hawezi kunifaa ikiwemo na kuwa kwao ni washirikina pia yeye alianza habari za mabwana zamani mno niliamua niwe mpole kwa maneno ila serous ninampenda sikuweza kumwacha ila sikuweka sana akilini suala la kumwoa baada ya hapo tuliendelea kufatiliwa sana na kuletewa maneno mengi ili kyvunja relation yetu japo niliitikia kwa mdomo ila sikumwacha sasa hv karibun nilipata ajari mjini dodoma na yule bint alikuja dodoma kunitembelea kabla ya ajari hivyo ilivyotokea ajari kwa kuwa yeye alikuwepo huku ikabidi ndy anihudumie baada ya siku chache nikiwa bado naugua mama mzazi alikuja kunitembelea na akamkuta huku yule binti akiwa ananihudumia siwezi kuvaa mwnyw nilikuwa siwezi kukaa choon yeye ndo ananisaidia kuoga pia yeye alikuwa akiniogesha nilikuwa nikishukuru kimoyo moyo msaada wa huyu bint na kuamini kuwa kwa msaada huo tungeweza kuruhusiwa kuishi pamoja laah ajabu siku ambayo mama alitaraji kurudi nyumbani aliniaga na kunishauri mengi likiwemo moja kubwa kuwa hapendi kuniona nipo naye sababu hana maadili yule na ananiwangia sana ili niwe chini yake na nimuoe... dah nikabaki njia panda aysee nampenda sana ila wazazi ni changamoto na pia ninawapenda wazazi zaidi ya chochote
 
Pole sana mkuu, umepangaje kutoka kwenye huu mtego
 
Mlikuwa watoto wa kiume wawili tu ila 2017 mdogo wako wa kiume alifariki na mwaka huu mwanao wa kiume amefariki, pole sana mkuu. Je mama yake na huyo mtoto wako alishaolewa? Mliachana? Bado una watoto wengine wa kike/kiume huko nje?

NAKUSHAURI UFATILIE VYEMA HISTORIA YA FAMILIA YENU HASA KWA UPANDE WA USTAWI WA WATOTO WA KIUME.

PILI, KUWA KARIBU NA BABA YAKO HUENDA KUNA JAMBO LA SIRI LINALOPELEKEA AKUSHINIKIZE KUOA MAPEMA.

Ukishapata majibu ya hayo mambo niliyokwambia hapo juu basi amua mwenyewe kwa mstakabari wa ustawi wa familia yenu.
 
Dah kama n mm afu ding ndo kanambia mbona atajuta n kutafta mke anaenifaa na kuingiza ndan usiogope majukumu kaka ukishakuwa na familia akili pia inafunguka zaid na bia kuna baraka zaid na milango inafunguka zaid maisha n hayahaya unaeza ukakataa ila hvohvo inafika wakat unataka familia unaona bado hujajipanga
 
Unaeza weka kondition kwamba kabla ya kuoa unapewa kwanza mtaji hyo itakusaidia
 
Dah kama n mm afu ding ndo kanambia mbona atajuta n kutafta mke anaenifaa na kuingiza ndan usiogope majukumu kaka ukishakuwa na familia akili pia inafunguka zaid na bia kuna baraka zaid na milango inafunguka zaid maisha n hayahaya unaeza ukakataa ila hvohvo inafika wakat unataka familia unaona bado hujajipanga
Kijana naona ungekamatia fursa vibaya mno.
 
Pole sana mkuu, umepangaje kutoka kwenye huu mtego
Dah mzee nimeamua kuliweka pending namwomba mungu tu kama kuna mabadikiko nioneshwe njia now nimeamua kusimamia shughul zangu za kiuchumi habari zenyew za ndoa nshazitia kapuni maana nimekuwa mtu wa kuvunjwa moyo tu na sijui lipi jema kati ya wazo langu na la wazazi wangu so nipo katikati selewi upande wa kwenda na kwa kuwa linaniumiza kichwa nimeamua kutolifikiria tena
 
Mlikuwa watoto wa kiume wawili tu ila 2017 mdogo wako wa kiume alifariki na mwaka huu mwanao wa kiume amefariki, pole sana mkuu. Je mama yake na huyo mtoto wako alishaolewa? Mliachana? Bado una watoto wengine wa kike/kiume huko nje?

NAKUSHAURI UFATILIE VYEMA HISTORIA YA FAMILIA YENU HASA KWA UPANDE WA USTAWI WA WATOTO WA KIUME.

PILI, KUWA KARIBU NA BABA YAKO HUENDA KUNA JAMBO LA SIRI LINALOPELEKEA AKUSHINIKIZE KUOA MAPEMA.

Ukishapata majibu ya hayo mambo niliyokwambia hapo juu basi amua mwenyewe kwa mstakabari wa ustawi wa familia yenu.
Mkuu umeongea kitu cha msingi sana na umejifikiria nje ya box kitu ambacho hakuna mwanajf yoyote aliyeng'amua kwa sasa.

Vifo vya watoto wa kiume kwenye ukoo wetu ni vya kutatanisha.

Mdogo wangu hakufikisha miaka 10 akafa ndani ya usiku mmoja, inasemekana damu ilikauka, moyo ukafeli ndani ya usiku mmoja huo alifariki, wakati jioni yake alikuwa mzima kabisa.

Mama wa mtoto hajaolewa ila hatuwezi kuwa pamoja tena

Mtoto wangu alifariki kwa njia ya ajabu sana, hiki kisa nilileta humu, hebu pitia post zangu utakikuta.

Nitafuatilia zaidi kuhusu hilo mkuu.
 
kati ya vitu ambavyo hupaswi kuvifanya kwa shinikizo ni kuingia ndoani...
maumivu & athari zake utapambana nazo mwenyewe wakati hao wapambe watakuwa zao pembeni wanabwia popcorn wanacheki hilo muvi.

pole sana kwa kufiwa na mwanao.
 
Nilijitahidi kung'ang'ania tena juzi juzi tu nimepata ajali na huyo dada kanisaidia sana siwezi kuchuchumaa choon hadi niwekewe ndoo nikae na mengine mengi mama kaja kwangu kuniangalia amemkuta na yule binti yupo huku duh et siku aliyorud tumekaa tunaongea ananiambia tena nimwacho sio binti mwenye maadili mema[emoji26] [emoji26] [emoji26]
Hapo ndio sometimes nashindwa kuwaelewa wamama. Maana muda mwingine, yaani wakimuona demu wako siku ya kwanza wanaanza sema ni mbaya? How? Mtu umemuona kwa mara ya kwanza?
 
Mkuu umeongea kitu cha msingi sana na umejifikiria nje ya box kitu ambacho hakuna mwanajf yoyote aliyeng'amua kwa sasa.

Vifo vya watoto wa kiume kwenye ukoo wetu ni vya kutatanisha.

Mdogo wangu hakufikisha miaka 10 akafa ndani ya usiku mmoja, inasemekana damu ilikauka, moyo ukafeli ndani ya usiku mmoja huo alifariki, wakati jioni yake alikuwa mzima kabisa.

Mama wa mtoto hajaolewa ila hatuwezi kuwa pamoja tena

Mtoto wangu alifariki kwa njia ya ajabu sana, hiki kisa nilileta humu, hebu pitia post zangu utakikuta.

Nitafuatilia zaidi kuhusu hilo mkuu.
Kwa maneno hayo nakushauri utafute mke sahihi umpendae uoe mapema kabisa,

Inaonekana kuna siri baba yako anaijua kuhusu hayo uliyoandika hapo juu ila wewe huijui na huenda hakwambii kwasababu hujawa karibu naye zaidi yaani hujajenga urafiki mzito.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom