FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
jamani hivi tuko Bungeni au wapi
Preta mrembo na mie nilikumiss sana hivo hiyo picha ndo mzee alikuwa anakufanyia massage
niliwamiss watu wote wa JF ..wapi Companero ?
ndio my dia..hapo ilikuwa kijijini Yaeda...hilo wese unaona linang'aa hapo ni la nyanyi...aaah home swt home...nina zawadi zenu mjue
mi ndio kama teja kabisa...lakini tupo pamoja, nice to see you guys again
xo xo xo...missed you Carth 😀
Mabinamu kuna mmasai mmoja anaitwa Handsome kiswahili yake imepindapinda kama kona za barabara kama sikosei nimegundua nammiss sana hivi yuko wapi thijui amenipuliziaLimbwata iweje leo namtafuta mie
mkimuona mwambieni ani-PM
nahitaji muda kuizoea hii jf mpya!naona kama sio yenyewe,lakini nitazoea tu😀
Finaly its back!! Missing you too Guys! nilikua naperuzi kwenye net kutafuta kama kuna forums nyingine lakini wapi!! niliishia kwenye blogs za umbea tu teh teh teh
ha ha ha utazoea tu 'kipya hakinyemi ingawa kidonda" he he he TUKI hiyo!!MEKU bana mimi inanishinda ngoja niende kwanza labda hii mbongo itadigest changes nikirudi.