Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,094
tuanze na sabuni.
inakuwa hivi; sabuni zinakuwa vipande vitatu ambavyo kwa juu vinabandikiwa karatasi ya kufunika zinazo fanana mfano karata. sabuni mbili za kukosea zikishabandikwa zile karata basi zinawekwa pembeni kisha wanachukua kile kipande cha tatu ambacho ndio chakupatia kinachimbwa kwa ajiri ya kuweka alama ya kupatia mfano labda kisoda sasa basi hiki kipande kinawekewa zile karata juu na chini kwa hiyo ukifunua kwa juu utakiona kile kisoda ila ukiigeuza chini juu kwenye ile karata ya upande wa pili ukiifunua ile karata hutakiona kisoda kitakuwa tayari kwa chini.anavyofanya sasa tupu na tupu anakufunulia unaona kabisa hazina kitu hivyo unajipa moyo kuwa ulipo weka hela yako umepatia kisha anakuambia ongeza hela hii ni bahati yako ukiongeza poa usipoongeza poa sasa kabla hajaifunua atafanya kila awezalo kuhakikisha ile sabuni anakuwa ameigeuza chini juu.akiifunua karata utaona umekosea kumbe sabuni hiyohiyo ukiigeuza kwa upande wa pili utaikuta karata tena ambayo ukiifunua utakiona kile kisoda.done.(samahanini jamani kuna kitu hapa nakimalizia kwanza nitakuja kuendelea)