Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Namshukuru MUNGU sijawahi kutapeliwa hata siku moja Zaidi ya kuwaokoa watu wengine, nimeshaokoa watu Zaidi ya wane kwa utapeli wa Simu/dawa za kutunzia samaki/Matrekta n.k. Sijisifu ila namshukuru MUNGU tu huwa nachezwa na machale mwanzoni kabisa mwa gemu.... kiasi kwamba na mimi nimegeuka kuwa mtaalamu sasa hasa nikikutana na Traffic......

Sikiliza nilivyomtapeli Traffic, natoka Dar naenda Morogoro, mbele kidogo ya Chalinze kuna vibwana mdogo vinashinda pale na nguo zao nyeupe na Kitochi chao wanakua wamejificha infact wanakuvizia! Ghafla hawa hapa, nikasimama, wakanifuata wakaanza maelezo marefuuuuuu ila nikawasihi sana Sanaa kuwa kwa muda ule sikua na kitu na kwamba wanisamehe tu, wakakomaa kabisa, nikaona isiwe shida. Nikamwambia kuwa nauza simu kwahio kama atakubali nimapatie ile simu halafu yeye aniongeze pesa kidogo baada ya ku-deduct pesa yake ya Fine, Dogo akajaa, kuangalia kitu iTel kubwaaa, screen kubwa, hahahahahaaa. Akaitest inawaka safi kabisa nini, nikamwambia anipe mia themanini tu, akaanza kulialia paleee, tukashushana hadi hadi mia ishirini, ukikata fine yake 30 elfu inabaki 90 elfu, nikaona haina shida.

Akafungua Kofia yake (kumbe pesa wanafichia kwenye kofia) akanihesabia change, nikaweka mguu kati nikatimka! Hahahahaha nadhani mpaka kesho atakua ananisubiri wakati nilirudi Dar saa moja kasoro. The issue is, ile simu ukiweka chip haifanyi kazi, hai-detect simcard, nimepeleka kwa mafundi kibao imeshindikana. Ngoja nae apeleke kwa mafundi wake pia. akome kupenda vya dezo na rushwa
Hapo wakikudaka tena......itakula kwako
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nawala sana wachezeshaji kamali mpaka walikuwa wakiniona wanashtuka. Sikutaka niwe adicted na Kamali niliachana nayo udogoni.
Mbinu gan ulzokuwa unatumia mkuu
 
niliwahi kutapeliwa kijanga sana tulipanda basi ubungo la kwenda mwanza kuna jamaa tulikuwa tumekaa naye siti 1 pale gari ilipoanza kuondoka akaniomba elf 5 anunue vocha alisema yeye ana elfu kumi hivyo chenji ingesumbua akamuita muuza vocha hakutokea akaniambia ngoja nishuke chini ninunue mwenyewe dah sikumuon atena mwaka nafika mwanza.ni pesa ndogo lakini alitumia technique sana na nivigumu kugundua kama ni utapeli maana hela yenyewe aliyoomba ni ndogo.
Aisee km mimi Bro, 2005 hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Hapo nilijitapeli mkuu.
Maana nilijipa matumain pasipo kitu.
Na ukiwa nje ya mchezo unaona ntapata.... Ukiona mwenzio amepata unaona sawa kumbe ni hao hao
Achakabisaa wanakuwakama wamekupiga pepo usonii usimikumbushe walimliza maza enzi za mash at it's Juliana krkoo ukafunguaa mauchafu mafundi nguoo
 
Daahhh nikikumbuka siku niliyotapeliwa huwa najiona mpumbavu kweli kweli.Ilikuwa maeneo ya mmanzi mmoja style ya utapeli huu ni ile ya kuopoa vikoponi kwenye kijimfuko ambavyo huwa na number ya bidhaa walizozipanga kama tv,deki,pasi,radio,jiko na vikorombwezo vingine kibao basi bwana nikatia mkono ndani nikaibuka na kuponi yenye number za music system wakadai thamani yake ni kama 1.7 ila sasa mimi itanipasa kutoa 150000K bahati nzuri sikuwa na hiyo hela nikikuwa na usd 30 na 10000k nikawapatia yote maana nilikuwa na njaa ya pesa kinyama pale pale nikaanza kuipigia hesabu ya matumizi ile 1.7ml ikaisha hata kabla sijajua kama nitaipata ama la,basi wakaendelea kunishawishi niongeze hela ifike mia hamsini bila mafanikio.Pembeni ya ile meza alikuwa amesimama kijana mmoja hivi akawa ananipa mahope kuwa nimeshawakamata hawana ujanja pesa nimepata basi mimi huku mapigo ya moyo yanaenda kasi kama saa ya automatic maana nikiangalia kikuponi number ndo ile ile nikajua mwanaume nimeula kumbe nimeliwa daahh kumbe yule jamaa aliyekuwa anani pump ni member pale,basi nikawakabizi ile $30 na 10000k ile wanafua vile vikupon nakuta number ni tofauti kabisaaaaaaaa pale ndo nikagutuka kuwa nimetapeliwa wala sikuuliza niliondoka maana ningeanzisha malumbano pale wangeweza pita watu wanaonifahamu wakaniona ikawa aibu mara mbili.
 
niliwahi kutapeliwa kijanga sana tulipanda basi ubungo la kwenda mwanza kuna jamaa tulikuwa tumekaa naye siti 1 pale gari ilipoanza kuondoka akaniomba elf 5 anunue vocha alisema yeye ana elfu kumi hivyo chenji ingesumbua akamuita muuza vocha hakutokea akaniambia ngoja nishuke chini ninunue mwenyewe dah sikumuon atena mwaka nafika mwanza.ni pesa ndogo lakini alitumia technique sana na nivigumu kugundua kama ni utapeli maana hela yenyewe aliyoomba ni ndogo.
akiwaibia watu kumi kwa siku tayari anakuwa na 50,000/=
 
Daahhh nikikumbuka siku niliyotapeliwa huwa najiona mpumbavu kweli kweli.Ilikuwa maeneo ya mmanzi mmoja style ya utapeli huu ni ile ya kuopoa vikoponi kwenye kijimfuko ambavyo huwa na number ya bidhaa walizozipanga kama tv,deki,pasi,radio,jiko na vikorombwezo vingine kibao basi bwana nikatia mkono ndani nikaibuka na kuponi yenye number za music system wakadai thamani yake ni kama 1.7 ila sasa mimi itanipasa kutoa 150000K bahati nzuri sikuwa na hiyo hela nikikuwa na usd 30 na 10000k nikawapatia yote maana nilikuwa na njaa ya pesa kinyama pale pale nikaanza kuipigia hesabu ya matumizi ile 1.7ml ikaisha hata kabla sijajua kama nitaipata ama la,basi wakaendelea kunishawishi niongeze hela ifike mia hamsini bila mafanikio.Pembeni ya ile meza alikuwa amesimama kijana mmoja hivi akawa ananipa mahope kuwa nimeshawakamata hawana ujanja pesa nimepata basi mimi huku mapigo ya moyo yanaenda kasi kama saa ya automatic maana nikiangalia kikuponi number ndo ile ile nikajua mwanaume nimeula kumbe nimeliwa daahh kumbe yule jamaa aliyekuwa anani pump ni member pale,basi nikawakabizi ile $30 na 10000k ile wanafua vile vikupon nakuta number ni tofauti kabisaaaaaaaa pale ndo nikagutuka kuwa nimetapeliwa wala sikuuliza niliondoka maana ningeanzisha malumbano pale wangeweza pita watu wanaonifahamu wakaniona ikawa aibu mara mbili.
Hapo ndipo walipo nikamua 40 yangu.
Halafu mpambe ni lazima aje.
Ukiliwa unasepa kimya kimya
 
Nakumbuka ilikuwa miaka ya tisini mwanzoni,brother wangu alitapeliwa mnazi mmoja pale. Siku hiyo asubuhi aliaga anaenda shule boarding iringa,akaondoka na baraka zote za wazazi,ghafla saa nne asubuhi asharudi home anahema kichizi,wazee wakamuuliza kulikoni hujaenda shule?akawakusanya wazazi chumbani wakajifungia mi nikawa nachungulia ,bro akatoa kidude flan hivi nikamsikia anasema dhahabu,aisee wazee wakaenda funga mageti yote nje,bro akawaambia alikutana na msukuma stand eti aliokota hiko kidude ila yeye hakitaki kimeandikwa GOLD FIRST CLASS FROM ..nimesahau jina la mgodi akaamua mpa nauli ya ke ya bus to iringa na poketi money yote. Aisee ile ishu iliwachanganya wazee wakajua utajiri huu. Milango imefungwa home hamna wa kutoka mpaka mimi wanani ignore,ikafika usiku wa saa nne wakatoka kwenda kwa mzee jirani yeye mtaalam wa madini hahaha,yule mzee akawasha stovu akayaiunguza yale mawaya dooh yakawa meupe na biashara ikaishia hapo.
Gold first class!!!!! Haya mambo yameanza zamani aiseeee
 
Back
Top Bottom