Jinsi nilivyovalishwa sanda na mganga kisa mapenzi...

Kweli, acheni Mungu aitwe Mungu, hakuna wa kufanana na Mungu

Pole kwa yaliyokukuta lakini hongera kwa kupokea uponyaji kwa jina Yesu Kristo. Mungu aendelee kukubariki
 
Umepitia mapito magumu sana dada yangu,pole sana kwa njia uliyopitia na naamini huo ulikuwa mpango wa Mungu ili umjue,
Pole sana na hongera sana.
 
Umepitia mapito magumu sana dada yangu,pole sana kwa njia uliyopitia na naamini huo ulikuwa mpango wa Mungu ili umjue,
Pole sana na hongera sana.


Nafarijika kusikia kutoka kwako kk...
 
^^
SUZANE
Umepita salama kwenye bonde la mauti !! Ushindi wako ni fundisho kwangu.
God bless Suzane
^^
 
Last edited by a moderator:
Suzane, kuna mahali umeparuka; kumbuka uliniambia baada ya kuchanjwa zile chale zaidi ya 100 ulisogea kwa mtoto mwingine ambaye alikupaka dawa inayonatanata kama asali.

Mambo mengi yanayosimuliwa, au/na tunayoyaona kwenye TV zetu, drama, comedy n.k. Asilimia kubwa mambo yaha ni kweli yanatokea/yametokea/yalitokea, na kwamba yanafikishwa kwa hadhira kwa namna moja ama nyingine. Eidha yanakuwa yamepunguzwa makali yake au yameongezwa kidogo kuyaboresha.
 
 
Last edited by a moderator:

teh teh, acha uchokozi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…