Jinsi nilivyovalishwa sanda na mganga kisa mapenzi...

Kweli, acheni Mungu aitwe Mungu, hakuna wa kufanana na Mungu

Pole kwa yaliyokukuta lakini hongera kwa kupokea uponyaji kwa jina Yesu Kristo. Mungu aendelee kukubariki
 
Umepitia mapito magumu sana dada yangu,pole sana kwa njia uliyopitia na naamini huo ulikuwa mpango wa Mungu ili umjue,
Pole sana na hongera sana.
 
Umepitia mapito magumu sana dada yangu,pole sana kwa njia uliyopitia na naamini huo ulikuwa mpango wa Mungu ili umjue,
Pole sana na hongera sana.


Nafarijika kusikia kutoka kwako kk...
 
^^
SUZANE
Umepita salama kwenye bonde la mauti !! Ushindi wako ni fundisho kwangu.
God bless Suzane
^^
 
Last edited by a moderator:
Suzane, kuna mahali umeparuka; kumbuka uliniambia baada ya kuchanjwa zile chale zaidi ya 100 ulisogea kwa mtoto mwingine ambaye alikupaka dawa inayonatanata kama asali.

Mambo mengi yanayosimuliwa, au/na tunayoyaona kwenye TV zetu, drama, comedy n.k. Asilimia kubwa mambo yaha ni kweli yanatokea/yametokea/yalitokea, na kwamba yanafikishwa kwa hadhira kwa namna moja ama nyingine. Eidha yanakuwa yamepunguzwa makali yake au yameongezwa kidogo kuyaboresha.
 
Leo sijui kwanini
nimekumbuka hii stori!!!

Nawasalimuni nyote ndugu zanguni.

Nimiaka mingi kidogo imepita jambo hili lilinikuta.

Nilikua na boyfriend wng, siku zikaenda mpk akaja kuhitambulisha, baada
ya muda wakanilipia mahari... Maisha yakawa yanasonga huku vikao vikiwa
jikoni.

Nakumbuka cku moja rafiki yng Judy (rafiki wa moyo, msiba wake ni wangu,
na shida yangu ni yake, siri zake zangu, zangu zake).

Basi siku moja Juddy akanipitia kazini kwangu, lkn alikua akilia sana na
akilalamika kuwa anaumwa, basi niliomba ruhusa na boss wangu
akaniruhusu nimpeleke hosp.

Basi tulipokua njiani Juddy akakataa kwenda hosp akasema nitaenda kesho,
nilishangaa lkn ckua na la kufanya, tulikua tumekodi tax, ikamlazimu
mwenye tax abadili njia tumpeleke mgonjwa nyumbani.

Basi tukafika kwa Juddy maeneo ya vatikan pale sinza, nikamuandalia maji
ya kuoga na chakula cha usiku, then nikamuaga kuwa naondoka lkn Juddy
hakuonekana kufurahi, alianza kulia na kulalamika kuwa nitamwachaje ndn
peke yk wkt najua anaumwa!!! kiukweli nikawaza nikaona sio vema.

Basi nikamwambia ngoja niende nyumbani mara moja then ningerudi ili
nikachukue na uniform za kazini kwa ajili ya cku inayofuata. Juddy
alikataa kbs akidai kuwa nikimwacha lolote laweza tokea kwani hali yk
sio nzuri.

Basi niliamua nilale, kilichofuata nilimpigia cm mchumba wng na
kumweleza uhalisia kwakua anamfahamu Juddy hakuwa na neno. Nilioga
kisha nikala nikalala lkn kwakua nililala na mgonjwa ckupata usingizi
vzr kila mara niliamka na kumwangalia na nilimkuta macho hajalala basi
nikapitiwa na usingizi tena, ila mara hii ulikua mzito sn nilipojaribu
kumtizama juddy hakuwepo nilipotizama saa ilikua saa tisa kasoro,
nilisubiri mpk saa 11 alfajiri juddy ndio alirejea tena akiwa uchi wa
mnyama, alinikuta seblen kwake nikiwa nahangaika baada yakumtafuta nje
tena kwa kusaidiana na majirani, tukipiga cm inaitia chini ya mto wake
chumbani.

Kweli nilikasirika sana nikaita bajaji alfajiri ile nikasepa kwangu
kwani ilikua c mbali napale. Ilonichukua kama dk 4 au tano kwa alfajiri
ile mm kufika pale sinza madukani, nilijiandaa na kuelekea kazini
kwangu.

cha ajabu ss, mchumba wangu akanipigia simu mida ya saa nne kuwa
hanitaki tena, hiyo mahari nile na ndugu zangu yy haitaki wala
hataidai...

Ilikua ni msiba kwng, Juddy akiwa mfariji no 1... , niliwaeleza ndg zng
na hatua za mwanzoni za kutaka kuokoa uchumba huo zilianza, nilikua
siwezi kufanya kazi tena wala kula, nilikua mtu wa kulia kila wakati,
niliona huo nikama msiba mwingine. Mchumba wng hata wazazi wake
walishangaa, dd zake walilia na mm, halikadhalika kk zk na wdg zk hakuna
aliekua na jibu.

Baada ya kama wk 2 hivi yule mchumba wng akaenda kumtambulisha Juddy
kwao kama mchumba wake mpya... tulipopata taarifa hiyo ndg zng wakaapa
kuwa nasisi tukaloge mpk juddy aachike na yy...

Kwenye harakati za kuloga hapo ndipo tukajikuta tukiwa kwenye mikono ya
mganga mmoja hivi huko tanga almaarufu DR MANDONDO, Niibaada ya wifi
yng dd yk na mchumba wng kuagiziwa na rafiki yk. Tulifika ubungo na
kulisaka basi la Burdani linalofika aliko mtaalam huyo.

Kiukweli nusu ya basi tulikua safari moja, tulifika usiku, tukaanza
taratibu ambazo nasikia uvivu kuandika kwakua natimia cm.

ilifika zamu yng, nikaambiwa nilalie kitambaa cheupe ( sanda),
nikawekewa kitu kama tunda fulani mdomoni, nikafungwa kama pipikifua,
wakiniachia sehem ya kupumulia tu, nikabebwa kama maiti inavyobebwa mpk
mahali fulani ckupajua ni wapi, nikawekwa juu ya kitu fulani hivi,
wakaanza kusema maneno fulani ambayo sikuyaelewa.

Ngoja niishie hapa kwa leo... ila hivyo ndivyo mapenzi yalivyonifanya
nivalishwe sanda kama mfu.

Msipende kuwaamini marafiki zenu kbs juu ya mahusiano yenu...

Usimpe mwanaume moyo wako wote, acha yy akupe wake.

Mungu humtafuta mtu kwa kuruhusu majaribu magumu...

Kwa kupitia hilo ndipo nilipomju Jehova vema, akanipa kila kitu kipya,
biashara badala ya kazi, mume badala ya mchumba, nyumba badala ya
kupanga, bd naendelea kumtumaini yy, japo Juddy amechezea tumbo lng
nisipate mtoto lkn Mungu hana upendeleo ckumoja atanikumbuka...

Unataka kuuniuliza nn? mbona unasita?

imeandikwa amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na moyoni amemwacha
Bwana...

=====
Sehemu ya pili:


CC watu8 IDUNDA
kichomiz @Sucu MankaM
SIRJENITO Nivea
Crystal clear, Sista
mischa Himidini
Smile mwallu
deepsea honey
Faith utafiti
chakii Preta
kabanga [MENTION=96788]
kwa uweza wake MUNGU utapata hitajio lako.
 
Last edited by a moderator:
Suzane, kuna mahali umeparuka; kumbuka uliniambia baada ya kuchanjwa zile chale zaidi ya 100 ulisogea kwa mtoto mwingine ambaye alikupaka dawa inayonatanata kama asali.

Mambo mengi yanayosimuliwa, au/na tunayoyaona kwenye TV zetu, drama, comedy n.k. Asilimia kubwa mambo yaha ni kweli yanatokea/yametokea/yalitokea, na kwamba yanafikishwa kwa hadhira kwa namna moja ama nyingine. Eidha yanakuwa yamepunguzwa makali yake au yameongezwa kidogo kuyaboresha.

teh teh, acha uchokozi...
 

Similar Discussions

38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom