Jinsi nilivyovalishwa sanda na mganga kisa mapenzi...

Ashukuriwe Mungu kwa mema yake kwetu. Hakika tumrudishie yeye sifa na utukufu. Hongera kwa kuokoka mpendwa,endlea kusonga mbele
 
Hapa ndio tunaona ukuu wa Mungu,hata kama ukipitia mapito magumu kiasi gani lazima atakutoa,ukimuamini na kumkiri yeye ndie mwokozi wetu.Huu ni ushuhuda mkubwa sana,watu wanateseka,shetani anatesa watu lakini Mungu aliemkuu utufungulia milango na kupita ktk majaribu makali.Ubarikiwe sana dada,naamini ushuhuda huu utawapa moyo na wengine waliokata tamaa,na Mungu atazidi kukubariki.
 
Kwa jinsi wachungaji wanavyofundishwa strategies za kudanganya waumini
Sishangai....
Btw it is good to be true
 
Teh.teh.teh...mijitu iliyo be poisoned na religion ina tabu sana...kuzunguka kote huko mwisho wa siku TB JOSHUA,HAPPLY EVER AFTER...wadangany.e misukule wenzio hizo hekaya zako!
 
Teh.teh.teh...mijitu iliyo be poisoned na religion ina tabu sana...kuzunguka kote huko mwisho wa siku TB JOSHUA,HAPPLY EVER AFTER...wadangany.e misukule wenzio hizo hekaya zako!


we mtu? wenzio mijitu? Namshukuru alieniumba jitu na ww ukaumbwa mtu, sifa na utukufu ni vyake...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom