Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Si umemwaga ugali mtumishi,ulitaka nibakishe mboga ya kazi gani?Umeamua kuanika mushele kwa kuku eee#
Si umemwaga ugali mtumishi,ulitaka nibakishe mboga ya kazi gani?Umeamua kuanika mushele kwa kuku eee#
Ukituliaga una ushauri muruaaaa, najivunia weweUsiwe na hasira kiongozi,kuna baadhi ya wanawake wakishazaa mood ya sex inakata,wanakuwa kama wamepata athari flani kwenye purukushani za kujifungua,sex kwake haiwi tena starehe,anahisi karaha na kuchoshwa, chunguza kwanza na ukiweza mpeleke kwa wataalamu wa saikolojia,vinginevyo kama kuna shida nyingine. Pole sana kwa ukame kiongozi.
Ingia kwa room bathiSi umemwaga ugali mtumishi,ulitaka nibakishe mboga ya kazi gani?
Nimetulia sana,ni wewe tu hujiaminiUkituliaga una ushauri muruaaaa, najivunia wewe
Kumbuka lulike kabla huja ni quote dearNimetulia sana,ni wewe tu hujiamini
Tafuna wanaomzunguka, wadogo zake wa kike & house girl..Unanyimwa unamlewesha kwa sababu gani? Humo ndani housegirl hakuna,,,huoni wanawake wengine utongoze??? Huyo hujazaa nae?? Usingempa talaka atunze watoto, ungeanza kutafuna wanaomzunguka hapo karibu kwanza.Ukikaa kimya mwezi utashangaa ukuni anautafuta mwenyewe tu.
aiseee!! embu Nyani ngabu juja kipande hii..
ila unaonekana wewe bibi unajua kuukatikia ukuni..!!!
[emoji1] [emoji1] siku hizi umekuwa unapaniki..!!!Hata mama'ko anajuwa, angekuwa hajuwi ungezaliwa wewe?
Kamuulize mama'ko kama unabisha.
[emoji1] [emoji1] siku hizi umekuwa unapaniki..!!!
naruhusiwa kuja inbox ili tutete kidogo
kwa hiyo unataka niwe nakushikashika ukiwa unapika jikoni ndio inakuwa rahisi kupata papuchi sio?Sio kwamba mnabaniwa, wanaume wengi ni wavivu wa kuwaandaa wenzi wao, unakuja usiku mwenzako amelala halafu unataka game hivi kweli hiyo hamu itatoka wapi hapo
Muda wowote tu, hata nikiwa nafua ilimradi tu uwe mtundu wa kuniandaakwa hiyo unataka niwe nakushikashika ukiwa unapika jikoni ndio inakuwa rahisi kupata papuchi sio?
Kwani wanaume wote wa JF wamechangia huu uzi?Hio ndio jf buana,wote hapa watajifanya wana maamuzi magumu[emoji38] [emoji38] [emoji38] hatudanganyiki
Sasa huyu ni mke, shetani huwa hana habari na wanandoa kwanza ukute huyu bwana shetani ndiyo anakuwa bize kumshawishi mke asitoe mzigo ili ndoa isambaratike. Kumbuka shetani kazi yake kuharibuHapo ndo huwa naamini shetani hayupo au kama yupo hafanyi kazi yake kwa weledi, unawezaje kulala na mwanamke afue shetani asiwaapitie!!!!?
Aluuuuuh! basi raha kweli kweli, utundu hapa ndio kwaoMuda wowote tu, hata nikiwa nafua ilimradi tu uwe mtundu wa kuniandaa
Na wewe unatoa zawadi gani kwa wazazi wa mwanaume kwa kumlea mtoto wao? Au mtoto wa kiume halelewi?umenikumbusha thred ilikuwa inasema utajuaje mwenza 'anataka'siku hio....kuna mmoja alijibu anapalilia maua...😀😀😀........mkuu labda umeshindwa kusoma codes,mwenzako kashajua mkewe ni anapenda kupalilia maua😎...mkeo ni kama alikuwa anataka kuolewa basi,alijua tangu mwanzo hampo compartible....mtu ambae ham match unajua kabisa,alikokota aolewe akaringie mashosts😕...amini hili,tatizo lako linaenda way back mliyokuwa wachumba ...amechoka kupretend na mwili una shut down...hakuna kero kukaa na mpenzi asiyejua mahali pa kushika😕😕😕...na wewe pia huoni aibu kujixpose kuwa sio mzoefu kny mambo yetu yale lol,,,,,,,,,,,mwanamke lazma umpetipeti naseeb alisema,mshukuru akipika,akivaa nguo mpya mwambie amependeza...wanawake sisi ni watu wa emotions..tunapenda kuonewa huruma.....kuwa senstive when handling us,,,,,,,,,,,,,,,sio unakuja kijeshi....hapa naona wanaume wengi hapa wametaja mahari,kwani mahari inanunua papuchi?...hio si zawadi kwa wazazi kwa kulea binti yako....ni ZAWADI KWA WAZAZI....
Hapo sawa!!Aluuuuuh! basi raha kweli kweli, utundu hapa ndio kwao
Hahahaahahahahh wewe ulitia fora[emoji3]kuna wanawake wengine papuchi sijui wanahisi sijui ni rubi ama sijui wanakuwa na majinni mahaba yanawasumbua
nilishawai mtengua demu kiuno kwa habari hizi we tangu saa 4 usiku mpk 10alfajir naomba tu papuchi wakati ni mpenzi wangu nakugharamia umekuja mwenyewe kwa miguu yako
ana matatizo yoyote ya kimwili sasa unalala na mimi kitanda kimoja araf hutaki kunipa
pumbavu !! sukumia huko chini ya kitanda umia kiuno kufa kabisa
mana ilifika wakati nami nikajitia kususa vuta usingizi wapi auji
nkajidai kupeleka mkono taratibu naye anatulia najipa imani ukikalibia tu maeneo ya MTAA MAGOGONI bwana we mkono unaputwa kule kama sijui vile nini kah mihasira miguu miwiri ka unasukumiza gunia dondokea chini nikamtengua mtoto wa watu kiuno
shenzi zake