Jinsi Mc wa Ifakara alivyonipa fedheha mbele ya umati

Nilienda Kwa jamaa yangu Ifakara kusikilizia harakati zinavyoenda ikiwezekana na mimi nijichanganye area hizo ili niweze pata chochote so ikawa tunadamka asubuhi tunaenda ofisini kwake then jioni tunageuka.

jamaa yangu ni mtu wa kujifutafuta(smart) na mimi ikabidi nijitahidi Kuwa Smart nikawa napiga kicorporate kasoro tai tu shingoni kumbe kuna majirani zake wamezimia mziki. ule usmart ukawaaminisha kuwa pesa zipo kumbe ni vile umaridadi uficha umasikini.

Kipindi nafanya field bank nilipewa form six na t-shirt za benki zakutosha nilikuwa na utamuduni wa kuvaa zile t-shirt wikiendi basi wale majirani wakaconclude kuwa Mimi ni muajiriwa wa benki kumbe nilikuwa jobseeker.

Jamaa yangu alipewa kadi ya mualiko kwenye sherehe ya kipaimara ya moja wa mtoto wa jirani zake badluck hiyo siku jamaa alienda Morogoro akanipatia ile kadi nikamwakilishe.

Kama kawaida Mzee nikatinga t-shirt langu la benki nikaenda kuwakilisha kwenye sherehe nilipokelewa na bashasha za kiwango cha juu nikaonyeshwa sehemu ya kukaa na kupewa msosi na kinywaji.

Kumbe Ifakara sio kwetu Namtumbo, kumbe huku utaratibu wao ni kuwa Kila tukio mnaitwa kuchangia pesa tena unasema kiwango unachotoa ile sherehe ilikuwa ina matukio kama manne hivi kwanza kuchangia mavazi ya mwali, pili keki, tatu shampeni na nne zawadi.

Mzee mfukoni nina Tanzania shillingi 4000, elfu mbili ndio nilikuwa nimepanga kumpa mwali zawadi alafu buku mbili inayobaki nikomae nayo mwenyewe.

Mc akaanza kuita watu Kwa mbwembwe yule mama shughuli akaja kuniuliza unaitwa nani nikamtajia jina nikamuona anampelekea Mc kikaratasi.

Baada ya dk Tano Mc akaanza namnukuu "Sasa anakuja mtu mwenye hatimiliki na pesa bila Saini yake yeye pesa haingii kwenye mzunguko Kwa heshima yake nyote msimame tusije kumuudhi si unajua pesa hainuniwi si mwingine ni.. akanitaja Mimi kutokea benki ya(ile t-shirt niliyokuwa nimevaa)" mheshimiwa karibu sana" nikapewa mic kiukweli nilipata mshituko sana na mfadhaiko kabla sijatulia mc ananiuliza unamchangia mwali wetu shilling ngapi? Mi nikasema elfu nne watu wakashtuka na kuanza kucheka mc akaropoka wewe tajiri wa mchongo unatuangusha.

Nikampa mic yake ikabidi nipitilize hadi geto kwenda kulala maana walikuwa tayari wamekill vibes na hata ile elfu nne niliyosema nikadhira kuitoa sababu ya dharau zao.

Yule Mama shughuli na mc wake niliwamaindi sana sema nilipata fursa ya kutoa hasira zangu kwa mama shughuli.
Pole
 
Dah!, Umenichekesha sana mkuu, pole sana.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaa! Mbavu zangu jamaniii...
 
Wenzako kwenye matukio kama hayo huwa tunaenda na bahasha ndani ikiwa na karatasi nene nene yenye ujumbe. Next time usiwe unaenda kibwege bwege kama Mandonga anaenda kupigana😅😅😅
 
Hebu weka mambo sawa

Hebu weka mambo sawa, uliondoka kwenye shughuri kabla ya kuisha sasa mama wa shughuri ulimpataje usiku ule?
 
Back
Top Bottom