Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,483
- 19,281
hongera zao, Tony Blair ameishauri pia Rwanda na tunaona matunda yake. hata kama ni mmagaribi au alimwaga damu, nafikiri mama akimpokea na kusikiliza ushauri wake kwa faida yetu itaweza kutusaidia. hao pia ndio wanaoshawishi makampuni makubwa yaje kuwekeza hapa kwetu. ushauri mzuri tuuchukue toka kwao, ule mbaya kama ule wa cameron tuwaachie wenyewe.