Ngwakwiii
JF-Expert Member
- Dec 6, 2019
- 426
- 526
Chadema yenyewe ipo wapi kwa sasa ni kama hakunaga chama cha siasaSema chadema mnapenda kutembelea tu upepo kwa kila tukio hamtaki kupitwa.
Odinga kakosa uchaguzi hii ni mara ya 5 sijui sijui umeanza kuzifatilia siasa za kenya 2022.
Una heshima sana hapa JF sio kila hoja unaanzisha kwa kutegemea kuna wajinga wana kushabikia kwa kila uzi.
Watu tuchape kazi maisha ni haya haya