Kenya 2022 Jinsi laana ya kuunga mkono Udikteta wa Magufuli ilivyomwangusha Raila Odinga

Kenya 2022 General Election
Sema chadema mnapenda kutembelea tu upepo kwa kila tukio hamtaki kupitwa.

Odinga kakosa uchaguzi hii ni mara ya 5 sijui sijui umeanza kuzifatilia siasa za kenya 2022.

Una heshima sana hapa JF sio kila hoja unaanzisha kwa kutegemea kuna wajinga wana kushabikia kwa kila uzi.
Chadema yenyewe ipo wapi kwa sasa ni kama hakunaga chama cha siasa
Watu tuchape kazi maisha ni haya haya
 
Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU

Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine waliosalia hapa Duniani , hata kama hawagombei madaraka , haijawahi kutokea binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu kuunga mkono matendo maovu , kwa vile tu yanafanywa na Kiongozi fulani , ni wafuasi wa Shetani pekee wanaoweza kuunga mkono unyama huo.

Raila akijua anayoyafanya Magufuli nchini mwake , ya kuruhusu utekaji na kupotea kwa watu , ikiwemo uporaji ulioitwa PLEA BARGAIN (ambao hela zake hazijulikani zilipo , hii ni kwa mujibu wa CAG ) , Wanasiasa kusingiziwa kesi za uongo za Uhujumu uchumi na utakatishaji hela , huku uporaji wa mifugo ya nchi jirani zikiwemo Rwanda na Kenya UKIASISIWA RASMI NCHINI TANZANIA , kukiwa pia na Ukatili ambao haujawahi kuonekana kabla ya HITLER kuzaliwa wa KUCHOMA MOTO VIFARANGA VYA KUKU KUTOKA KENYA VISIVYO NA UGONJWA WOWOTE, Lakini Raila Odinga akatia pamba masikioni akaamua kumuunga mkono Magufuli bila hata aibu hadharani, huku akiahidi kuiongoza Kenya kama Magufuli alivyoongoza Tanzania , Hatimaye Mungu amekataa Wakenya kuteswa kinyama kama Watanzania .

ASANTE MUNGU NA SHUKRANI SANA WAKENYA KWA KUKATAA UDIKTETA NCHI MWENU.

FUNZO : HATA KAMA WATAWALA WATASIMIKA MTU WAO BADO WANANCHI MKISHIKAMANA MNAWEZA KUMKATAA NA AKASHINDWA.

Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya.
Kwa wanaokufahamu hapa jukwaani hakuna atakayeshangaa wewe kuandika huu upumbavu wako, tunajua kabisa una chuki dhidi ya ccm na mwendazake.
Nyie c ndio mnasema chadema ni mpango wa mungu sasa mbona kila uchaguzi ni maumivu tuu, mwambieni mungu wenu aingilie kati kama huko Kenya.
Wanachadema mna wadudu waharibifu kichwani
 
Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU

Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine waliosalia hapa Duniani , hata kama hawagombei madaraka , haijawahi kutokea binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu kuunga mkono matendo maovu , kwa vile tu yanafanywa na Kiongozi fulani , ni wafuasi wa Shetani pekee wanaoweza kuunga mkono unyama huo.

Raila akijua anayoyafanya Magufuli nchini mwake , ya kuruhusu utekaji na kupotea kwa watu , ikiwemo uporaji ulioitwa PLEA BARGAIN (ambao hela zake hazijulikani zilipo , hii ni kwa mujibu wa CAG ) , Wanasiasa kusingiziwa kesi za uongo za Uhujumu uchumi na utakatishaji hela , huku uporaji wa mifugo ya nchi jirani zikiwemo Rwanda na Kenya UKIASISIWA RASMI NCHINI TANZANIA , kukiwa pia na Ukatili ambao haujawahi kuonekana kabla ya HITLER kuzaliwa wa KUCHOMA MOTO VIFARANGA VYA KUKU KUTOKA KENYA VISIVYO NA UGONJWA WOWOTE, Lakini Raila Odinga akatia pamba masikioni akaamua kumuunga mkono Magufuli bila hata aibu hadharani, huku akiahidi kuiongoza Kenya kama Magufuli alivyoongoza Tanzania , Hatimaye Mungu amekataa Wakenya kuteswa kinyama kama Watanzania .

ASANTE MUNGU NA SHUKRANI SANA WAKENYA KWA KUKATAA UDIKTETA NCHI MWENU.

FUNZO : HATA KAMA WATAWALA WATASIMIKA MTU WAO BADO WANANCHI MKISHIKAMANA MNAWEZA KUMKATAA NA AKASHINDWA.

Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya.
Ww ni mpumbavu kama wapumbavu wengine huko chadema, kwani vipindi vingine hivyo Odinga alivokosa urais Magufuli alikuwepo.?
 
RUTO ni kiongozi kutoka chama kilichopo madarakani, Raila Odinga ni mgombea kutoka chama pinzani.

Mashangilio yako ni kama kushangilia CCM ikishinda uchaguzi hapa Tanzania

..Na Raisi uhuru kenyatta aliyekuwa akimpinga makamu wake yuko chama cha upinzani?
 
Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU

Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine waliosalia hapa Duniani , hata kama hawagombei madaraka , haijawahi kutokea binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu kuunga mkono matendo maovu , kwa vile tu yanafanywa na Kiongozi fulani , ni wafuasi wa Shetani pekee wanaoweza kuunga mkono unyama huo.

Raila akijua anayoyafanya Magufuli nchini mwake , ya kuruhusu utekaji na kupotea kwa watu , ikiwemo uporaji ulioitwa PLEA BARGAIN (ambao hela zake hazijulikani zilipo , hii ni kwa mujibu wa CAG ) , Wanasiasa kusingiziwa kesi za uongo za Uhujumu uchumi na utakatishaji hela , huku uporaji wa mifugo ya nchi jirani zikiwemo Rwanda na Kenya UKIASISIWA RASMI NCHINI TANZANIA , kukiwa pia na Ukatili ambao haujawahi kuonekana kabla ya HITLER kuzaliwa wa KUCHOMA MOTO VIFARANGA VYA KUKU KUTOKA KENYA VISIVYO NA UGONJWA WOWOTE, Lakini Raila Odinga akatia pamba masikioni akaamua kumuunga mkono Magufuli bila hata aibu hadharani, huku akiahidi kuiongoza Kenya kama Magufuli alivyoongoza Tanzania , Hatimaye Mungu amekataa Wakenya kuteswa kinyama kama Watanzania .

ASANTE MUNGU NA SHUKRANI SANA WAKENYA KWA KUKATAA UDIKTETA NCHI MWENU.

FUNZO : HATA KAMA WATAWALA WATASIMIKA MTU WAO BADO WANANCHI MKISHIKAMANA MNAWEZA KUMKATAA NA AKASHINDWA.

Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya.
Tatzo la chadema mna fanya vizuri ndani ya anga za tz lakini siasa za inje ambazo hufanya upinzani ukawa solid hamnaa,mna kurupuka sana kutolea maamuzi katika siasa za inje ambazo mnge pata platform yenye maana ,mnapenda kukurupuka mnoo,malema ana nguvu katika vugu vugu na hii ni moja ya sababu ana jua siasa za inje zinazo mpaa credit mpinzani,ukiwa mpinzani hutakiwi kukurupuka mwanzo una tizama je hili swala kisheria lipoje!!!je ki utuu, lakini pia kisiasa ebu jaribuni kua makini,mna mifumo ya ku kopy na kupest,swala la raila limekaa ovyoo sana ki siasa za wataka haki,mtadharaulika miaka nenda kwa kukurupuka mpe salamu yerick,na kumbusho ,
 
Sema chadema mnapenda kutembelea tu upepo kwa kila tukio hamtaki kupitwa.

Odinga kakosa uchaguzi hii ni mara ya 5 sijui sijui umeanza kuzifatilia siasa za kenya 2022.

Una heshima sana hapa JF sio kila hoja unaanzisha kwa kutegemea kuna wajinga wana kushabikia kwa kila uzi.
Kinachokuumiza ni nini ?
 
Hatimaye kwa mara ya kwanza Pinga Pinga Kiranga kaamini Mungu yupo.

YESU NDIYE BWANA NA MWOKOZI KWA KILA KIUMBE HAI DUNIANI
Wewe hujui kusoma kwa ufahamu.

Mimi naweza kuja kwako nikaiba kitu, ukaniuliza nani kaiba, nikasema James Bond 007 kaiba.

Kwa kumsingizia.

Hata kama James Bond 007 hayupo kiuhalisia, ni character wa kutengenezwa kwenye thamthiliya tu.

Hakuna popote nilipoamini Mungu yupo.

Wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu.
 
Back
Top Bottom