Jamaa walitaka kumkamata Yesu, jamaa walikua wanamjua Yesu. Uhusika wa bwana Eskarioti naona kama ilikua ni kumbebesha tu lawama. Kama inawezekana Yuda akatiwe rufaa asee!Hata Mimi hapo siwaelewagi.Yuda mwanafunzi tu wa Yesu kati ya wale thenashara ,wajeda wangekuja wanamtaka Ni Nani angewazuia? Yuda labda kwa kuwa alitanguliza mapenzi ya pesa ndo kulimponza
Ni kweli kabisa,halafu pia,mhanga alijua nini Yuda angefanya na hakuchukua hatua yoyote ili asidhurike.Na hapo kuna maneno kwamba Yuda alisaliti ili neno la Mungu litimie,sasa Yuda yeye alikuwa na nguvu gani ya kuzuia neno la Mungu lisitimie? Labda tuje na principle Actus reus non facit reum nisi mens sit reaJamaa walitaka kumkamata Yesu, jamaa walikua wanamjua Yesu. Uhusika wa bwana Eskarioti naona kama ilikua ni kumbebesha tu lawama. Kama inawezekana Yuda akatiwe rufaa asee!
Hahahaa! Sio utani wengi wetu tungekuwa PeterYule aliemkana yesu hadi jogoo akawika pia hana kosa
Yaani nione mtu anapigwa mijeledi anagongelewa misumari kwenye mikono na miguu anavalishwa miba kwenye miti na ananing'inizwa juu ya mti kama nyama buchani na askari halafu askari haohao wananifuata wananiuliza
" unamjua huyu mtu ?"
Ndugu msomaji embu tuacheni unafiki pembeni we ungejibuje?
Judah Eskariot is not guilty your honor!Ni kweli kabisa,halafu pia,mhanga alijua nini Yuda angefanya na hakuchukua hatua yoyote ili asidhurike.Na hapo kuna maneno kwamba Yuda alisaliti ili neno la Mungu litimie,sasa Yuda yeye alikuwa na nguvu gani ya kuzuia neno la Mungu lisitimie? Labda tuje na principle Actus reus non facit reum nisi mens sit rea
.Yuda ana hatia ama hana.
Antipas. TUNDU LisuUnazaa mtoto na kumuita Antipas, mara pah! anakuwa mwanasheria.....!
tumerithi toka vizaziHv kwa nn kesi ya YESU haikuhairishwa hata x1? Ktk Kesi ya Uchochezi... Nimejifunza Njaa KUCHUMIA TUMBO kulianza zamani tu... hata PILATO alikuwa MchumiaTumbo...
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hebu lete mfano wa majibu aliyokua akiyajibu MKUU.Ila jamaa alikuwa na majibu ya kukera sana aisee hata kama hakuwa na hatia unaweza ukamhukumu kifo tu
Ona sasa akili za wavuta bangi zilivyo!!Kwa sababu hizo tajwa hapo juu nimeamua kumfungulia pilato mashitaka dhidi ya Yesu